uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa uchawa na umungu mtu tulio nao, Magufuli alitujenga au kutubomoa?

    Japo alijenga vitu, Hayati John Pombe Magufuli alibomoa. Japo tunaweza kumlaumu Rais Samia kwa uchawa, kimsingi aliyeuumba ni Magufuli. Ukiachia mbali kutupiga changa la mato kwa kudai alikuwa mtetezi wa wanyonge. Je, hajatuachia unyonge uliozaa uchawa. Karibuni tujadili.
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Wazalendo Tanzania: Sisi ni waumini wa Demokrasia, tutachukua hatua kumlinda Rais

    Wakuu, Kumbe vijana Tanzania tumetoa tamko na hamsemi, mna siri nyinyi:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh: ==== Vijana Wazalendo nchini wamesema watandelea kumlinda Rais Samia kwa wivu mkubwa huku wakiwaonya baadhi ya Watanzania ambao wanafifisha juhudi za Serikali ya awamu ya sita kwa kutumia...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Uchawa umekuwa janga la kitaifa Tanzania

    Habarii ndugu zangu Watanzania??, Nilikuaga nachukulia suala la UCHAWA ni la watu wachache wasiojitambuaa Leo nimengudua ndugu yangu Ninaemheshimu Sana na ana Masters kabisa na yeye ni Chawa expert,,,,,,, UBINASFI,UBINAFSI,UBINAFSI Ee Mungu tusaidiee!!!!!
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna tabia ya kujichukia, tuache upotoshaji, bado tuko nyuma sana ukilinganisha na uwezo wetu(potential)

    Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa sasa kwamba tuko vizuri ndio imenichekesha anazungumzia SGR, movie ya Idriss Sultan huko Netflix...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ukikubaliana na Uchawa, na wewe ni Chawa

    UKISHINDWA KUJIBU HOJA, TAFSIRI YAKE HOJA ZILE NI HOJA ZA UKWELI Hoja nyingi huwa na uchungu kwa sababu zinabeba ukweli unaoumiza. Hatupaswi kuukwepa ukweli, kwani ukweli wa jambo ndio haki yenyewe. Haki hutetewa, na tukishindwa kuitetea haki, tunakuwa viumbe wa ajabu kabisa, ambao tunapaza...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Musomba: Uchawa ni dhambi ya Jamii, anapokosea aambiwe ukweli sio kumsifia tu

    Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine. Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waliofungwa jela maisha ni matokeo ya Uchawa. Anayekutuma hatakuwepo siku ya madhira juu yako

    Ndani ya Taifa letu ni wazi sasa Tunu ya Vijana imekuwa ni Uchawa. Ili utoboe maisha lazima uwe chawa wa kisiasa au wa namna nyingine pia. Waliofungwa miaka ya maisha Jela ni chawa ambao awali zilivuma kuwa walitumwa. Ukitazama nyuso za wale vijana zilo Innocent kabisa. Huwezi kufikiria kuwa...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ukienda mikoa hii kwa nenda kufanya kilichokupeleka, hawapendi watu wanaopenyeza mambo ya uchawa kupitiliza, Case study ni Zuchu

    Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa) Na kama unaingiza mambo ya...
  9. hitler2006

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Kijah wa radio ya Clouds anasukuma agenda ya nani?

    Ni sawa kuwa na mtazamo tofauti lakini huyu dada wa kipindi cha nyuzi 360 huwa anapenda sana kutetea viongozi hasa pale wanapokua wametoa matamshi tatanishi. Hata kama ni uchawa huu sasa utakua pro max kwa dada. Nadhani kipindi hiki hakimfai ni bora atafutiwe kipindi cha udaku au singeli. Pia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa sio uzalendo; tuweke hili sawa

    Uchawa ni utaratibu wa kujipendekeza ili kujinufaisha. Hii ni tabia ya kinafiki ya kukuza wanao kusaidia kwa kupandisha ego zao ili waendelee kuishi kwa kufikiri wenyewe ni wa maana hata kama sio hivyo. Kibaya ni pale ambapo hata vyombo vya sheria na kiusalama wamekuwa machawa. Ali Kiba alisema...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

    Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame. Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kukosa elimu sahihi kunasababisha wenye roho mbaya kuishi hapa duniani wakiwa na raha kama wako peponi

    MTU AU KIONGOZI MWENYE KUILETEA KEJELI ELIMU, MTU HUYO ANAKUWA NA CHEMBE CHEMBE HAI ZA KISHETANI MADHARA YAKUKOSA ELIMU SAHIHI YAMEPELEKEA WATU WENYE ROHO MBAYA KUISHI HAPA DUNIANI WAKIWA NA RAHA KAMA WAKO PEPONI KWA SABABU YA UJINGA WA WATU WALIO WENGI KUENDEKEZA KUJIITA MACHAWA Tusome Kitabu...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Momose Cheyo auzungumzia “Uchawa” wa Tanzania

    Huyu hapa, Msome mwenyewe namna watu wanavyokwaa vyeo kwa sababu ya Uchawa
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna Cheo chochote kile Mtangazaji Babie Kabae anakitaka ndani ya Serikali ya Rais Samia?

    Manake si kwa Kujikomba na Kujipendekeza huku. Mara amuite Malkia mara ampe Sifa zingine za Uwongo na Ukweli hadi Rais kamshtukia na kamkata Maini kabisa kwa kumwambia kuwa ampumzishe kidogo kwa Maswali atayajibu baadae (mbeleni) kwani kuna matukio anataka kuyaona baada ya Treni kufikia Pugu...
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Aomba kazi kwa kutumia Uchawa

    Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tatizo siyo viongozi wala vyombo vya dola bali mamlaka makubwa aliyonayo Rais, mwishowe wanafanya kazi kulinda ugali wao!

    Vyombo vyetu vinafanya kazi kubwa sana, yapo mambo makubwa ambayo yanahitaji hadi Rais ashirikishwe kufanya maamuzi lakini mambo mengi hupuuzwa. Kwa sababu Katiba imempa mamlaka makubwa mkuu wa nchi hasa kwenye teuzi na mambo mengine ndiyo maana anapoona unaenda kinyume naye utaishia...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kenya wanajivunia generation Z, Tanzania tunajivunia uchawa!

    Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Video: Huyu chawa wa Rais Samia yuko katika viwango vya SGR! Duh! Si kwa uchawa huu bali ni jinai

    Ebu msikilize!
  19. 100 others

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kiume unakuwaje chawa? Kuna shida mahala

    Chawa ni zaidi ya mpambe. Napenda kuzungumzia hawa chawa wa kiume, kuanzia kwenye siasa, music industry hata mtaani. Chawa wanapenda lifestyle la wanaume wenzao wenye pesa, ili kuweza na yeye kufika pale na aishi yale maisha atatengeneza ukaribu na boss ili kumfurahisha kwa maneno ama vitendo...
Back
Top Bottom