Uchawa umezidi . Unaonaje huko mbeleni nchi inapoeleke?

Tafuta pesa hao wajinga utawaona ni vinyago tu 😅
 
Uchawa unazidi kwenye nchi
Hii
Unaonaje huko mbeleni na hii hali?
5fb83bfb-4fca-419f-beb5-1b3689a90c0c.jpeg
 
Kitakuwa na Vyuo kabisa na sifa pia level za uchawa kulingana na Elimu ya chawa.
Nchi itaendelea sana ikiwa itaweleza eneo hili kwa upana wake. Ajira zitaongezeka. Fikiria kila mwenye nafasi iwe kwa cheo au uchumi akiwa na chawa walau kila mkoa.
 
🤣🤣

Vizaz vitaathiriwa
 
yh waspecialize huko
Hapana itakuwa ni aina mpya ya kujipatia kipato. Unajua viwanda kuanzisha no gharama sana hali kadhalika kilimo hivyo hii fursa ya uchawa itakuwa yenye kuingiza kipato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom