Video: Wanasimba wakataa uchawa wa kisiasa

Video: Wanasimba wakataa uchawa wa kisiasa

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,176
Reaction score
8,302
Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao..

Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa msimamo wenu thabiti wa kukataa kutumika kama daraja la watawala kujipatia umaarufu kunuka kupitia mapenzi yenu kwa timu yenu ..huo ni ujumbe tosha kwamba wananchi wakipenda wako radhi kulipia na kupoteza muda wao , lakini wakikukataa , hata uwasombe kwa malori utaishia kupata aibu.
Nimatumaini yangu Eng hersi umeliona hili , na sitarajii kumuona huyo Msigwa mahala popote pale Siku hiyo.

Hongera mbumbumbu fc
 
Kilichompata Mangungu kikampata na Samia😂
 
Back
Top Bottom