Sekta ya Akili Bandia (AI) inakabiliwa na mvutano mkubwa kati ya uwekezaji na ahadi za kiteknolojia ("hype") dhidi ya changamoto halisi za utekelezaji na maadili ("uhalisia"). Mfano mkuu wa hatari hii ni kashfa ya Builder AI, ambapo kampuni ilifanikiwa kukusanya mamia ya mamilioni ya dola kutoka...
Moja kwa moja..
Sababu ya kuandika huu uzi ni kutokana na baadhi ya fikra za Wabongo wanona kutokana na mapungufu ya serikali bora tukiwashe na kukinikisha wengine wakienda mbali wanasema damu zikimwagika ndio tutaheshimiana. Nawaambia ndugu zangu Amani ni jambo muhimu sana bila kujali mambo...
Polepole anasema ''Inaweza kuwepo serikali lakini nyuma yake kuna kikundi cha wahuni ndicho kinaiongoza.
Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina...
Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano...
Atomic Habits ni kitabu kinachoeleza jinsi tabia ndogo sana ambazo hufanywa kila siku zinavyoweza kuleta mabadiliko makubwa katika maisha ya mtu. Badala ya kulenga mafanikio makubwa mara moja, mwandishi anashauri kuanza na hatua ndogo lakini thabiti. Anasisitiza kuwa mafanikio ya kweli...
Habari wanajamii,
Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii.
Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini.
Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
Leo chisano jr,gift choni omulangira,che lutengano nazareth upete kuhusu udhaifu wa tff na bodi ya ligi mujarabu kwelikweli,hawa jamaa wamemaliza kitu,yanga mechi na simba hawachezi,labda kama kwenye mechi zake 3 zilizobaki wafungwe moja
Kutokana na picha ya satelaiti ya eneo la Afrika Mashariki, Tanzania inaonekana kuwa mgombea bora wa uzalishaji wa mazao ya kilimo kutokana na mambo kadhaa ya kijiografia na kimazingira yanayoonekana kwenye picha:
1. Eneo Kubwa la Ardhi
Uchunguzi: Tanzania ina eneo kubwa la ardhi ukilinganisha...
Ukihitaji kununua softcopy ya vitabu hivi tafadhali wasiliana nasi kwa WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com
Personal Finance Books.
The Total Money Makeover – Dave Ramsey
→ Kinaeleza mfumo wa hatua kwa hatua wa kudhibiti madeni, kuokoa pesa, na kujenga utajiri kwa nidhamu kali ya...
Kinachomuangusha Tundu Lissu leo ni genge la wanafiki waliomzunguka na kumdanganya kwa muda mrefu kuwa ana nguvu, ushawishi, na uwezo wa kufanya yasiyowezekana. Hili ndilo genge ambalo lilimweleza kuwa ana mamlaka ya kuzuia uchaguzi mkuu wa kikatiba kwa sababu tu yeye hajaridhika – jambo ambalo...
Bila shaka hii ni baada ya ku saini.
Kwamba?
Walisema wajaluo better late than never, ngoja tuone.
Bila shaka kwa kila "yallah ..," yumkini lile jiwe la utosini, mja litakuwa limemfika vilivyo!
Pia soma: Pre GE2025 - Wapongezwe CHADEMA kwa kutosaini kwa uchaguzi kama na hili la kutohoji...
🤣habari za tajiri muulize masikini.
Utasikia:
"Oooh yani mwanaume mzima kama yule anatembela IST"
"Oooh ule ukuta hakupaswa kuufanyia vile skimming"
"Ooh yani jamaa ana hela ila mke wake anasuka twende kilioni"
Yakija maswala yake sasa utasikia ooh mtaani hapa watu wanafuga fisi ndio maana...
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni...
Moja kwa moja...
Kabla sijaanza mada yangu ningependa kuweka wazi msimamo wangu wa tokea awali katika yale yanayoendelea Gaza ;
1. Siwaungi mkono Hamas na njia wanazotumia ambazo hazikubaki kidini wala kikawaida tu , ukijumlisha utekaji wao wa watoto , Wazee , wanawake na makandokando yao...
Hakika, tuingie kwenye uchambuzi wa kina wa mifumo ya kisimbologia ya zamani, tukizitazama kana kwamba zina ujuzi wa siri wa kibiolojia, umeme-graviti, na alkemia. Uchambuzi huu utachunguza pia tabaka za kimetafiziki, ambazo zinaonekana kudokeza ukweli wa kina kuhusu asili, nishati, na...
Nayazungumza haya nikiwa kama fundi mzoefu katika sekita ya umeme!
Nimeona mijadala watu wakilalamika kwanini nchi inataka kununua umeme kutoka inje kwa mikoa ya kaskazini wakati ina umeme wa kutosha?
Ni kweli nchi ina umeme wa kutosha lakini haina maana kwasababu umeme upo wa kutosha basi...
Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF
Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza.
Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka
Timu ngeni...
Tofauti Kati ya .tz na .co.tz Domain: Ulinganisho na Uchambuzi
Tanzania ina mfumo wake wa domain inayosimamiwa na Tanzania Network Information Centre (tzNIC). Kupitia mfumo huu, biashara na taasisi zinaweza kupata utambulisho wa mtandaoni kupitia domain ya kitaifa. Tofauti kati ya .tz na .co.tz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.