Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani.
Katika siku ambayo nilimuona huyu mchambuzi ni shabiki wa waarabu fatilia uchambuzi wa sudani kule kwa bashiri RSF.Fatilia uchambuzi...
Hapa chini kuna uchambuzi kamili wa matukio (scenario analysis) kuhusu kile kinachoweza kutokea kwenye maandamano ya Desemba 9 nchini Tanzania. Nimeugawa katika:
HALI NZURI (Best Case)
HALI MBAYA (Worst Case)
HALI INAYOWEZA KUTOKEA ZAIDI (Most Likely)
1. HALI NZURI (BEST CASE SCENARIO)...
Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
amani
baada
inaweza
kisiasa
kupata
oktoba
oktoba 29
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uchambuziuchambuzi wa kisiasa
uongozi
uongozi wa samia
Wakuu,
Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba tusaidiane kuzitafakari hizi namba kwa pamoja, maana kwangu kimahesabu picha inagoma kukaa sawa.
Huu si...
Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili
Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇
Kipindi hiki cha...
Moja kwa moja.
Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ;
1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
KITAMBULISHO au Press Card anayobeba mwandishi wa habari, haina uwezo wa kumpa au kumwongezea elimu, maarifa wala stadi.
Tuseme hivi: Hiki ni kitambulisho tu. Hakina hata uwezo wa kukamilisha, kuongeza au hata kupunguza sifa za mwandishi wa habari. Ni kwa ajili ya kutambulishwa na...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
Kumekuwa na tuhuma zinazodai kuwa mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) umeunganishwa au unashirikishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa nia inayotazamwa/hisiwa kuwa ovu na inayokiuka haki za faragha na usawa wa kisiasa.
Uhalali wa jambo...
Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea.
Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii muhimu, Bodo Schäfer anaeleza kuwa hofu ndiyo kikwazo kikubwa cha mafanikio ya watu wengi. Washindi si watu wasiokuwa na hofu, bali ni watu wanaojifunza kuchukua hatua licha ya kuhisi hofu.
Dondoo Muhimu za Sura ya 6:
1. Hofu Ni...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii, Bodo Schäfer anasisitiza kuwa mafanikio hayawezi kupatikana bila nidhamu. Nidhamu ndiyo daraja linalokupeleka kutoka kwenye ndoto kwenda kwenye mafanikio halisi.
Dondoo Muhimu za Sura ya 5:
1. Nidhamu ni Uamuzi wa Kila Siku...
Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer
Katika sura hii ya kwanza, Bodo Schäfer anaweka msingi muhimu sana: hakuna mtu anayeumbwa mshindi wala mshindwa. Kila mtu anazaliwa akiwa na nafasi sawa ya kufanikiwa, na kinachowatofautisha watu ni maamuzi wanayofanya kila siku.
Dondoo Muhimu...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya.
Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi wa maelfu ya watu kupitia mitandaoni kumfuatilia. Huenda huu ni ushindi mkubwa sana kwake kisiasa...
IJUE ZAIDI NYOTA YA SIMBA ,
Angalia zaidi uhusiano wa nyota ya SIMBA na nyota zingine
Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Ifahamu Nyota ya Simba: Jasiri na Wenye Nguvu ya Uongozi
Watu waliozaliwa kati ya Julai 23 hadi Agosti 22 ni Nyota ya Simba.
Watu wa nyota hii wanajulikana kwa kuwa na haiba ya...
Uchambuzi wa Kibashiri: Simba vs Yanga – 25 Juni 2025
Matokeo ya Mechi (Full Time Result / 1X2)
Pendekezo bora:
X (Draw) au
X1 (Yanga au sare)
Sababu: Yanga wanahitaji sare tu kuwa mabingwa, watajilinda sana. Simba wanahitaji ushindi, lakini Yanga wana rekodi nzuri dhidi yao.
Double...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.