Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,335
- 144,808
Hahahaaa.
Niliposikia anaenda kuonana na Trump ikulu ya Marekani, nikasema huyo anaenda kufanya nini huko?
Hakuona jinsi vile Zelenskyy alivyofanyiwa.
Haya, leo naye yamemkuta kiaina 🤣.
===============
Donald Trump amemshambulia ghafla Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, wakati wa mkutano katika Ikulu ya White House kwa kuonesha video ambazo alidai zinahusiana na tuhuma za mauaji ya halaiki nchini Afrika Kusini.
Rais huyo wa Marekani alikuwa akimkaribisha kiongozi huyo wa Afrika Kusini, ambaye alikaa kimya wakati video hizo zikipigwa. Baadaye, Bw. Ramaphosa alisema:
"Ningependa kujua mahali hapo ni wapi kwa sababu hizi video sijawahi kuziona."
View: https://x.com/JoeyMannarinoUS/status/1925235398243909955