Uchaguzi ulishaisha, kilichobakibaki ni kukamilisha ratiba tu

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
2,820
2,755
Sioni wapi kitu cha kubadilisha ushindi wa CCM

Sioni kipi cha kufanya CHADEMA kushinda zaidi ya viti vitano vya ubunge ukiacha labda Prof Jay kule Mikumi.
Sijaona mtu wa kumtingisha JPM(Mungu Amweke Salama-M.A.S)

Sijaona mtu wa kumtingisha Mama Tanzania kule Vunjo-Mhe Mrema keshaning'ata sikio kuwa na kampeni atampigia Mama Tanzania

Laiti kama Lowassa asingeivunja mkono Nguvu ya Umma mwaka 2015 leo nisingekuwa nayàandika haya.

Lile Katazo la watu kutokuingia barabarani kudai ushindi pamoja Mbogwe kuuahirisha OP ya UKUTA ndiyo vilikuwa kaburi la Upinzani.

Ila nina uhakika na haya.

As long as John Pombe Joseph Magufuli(Mungu Amweke Salama-M.A.S) yupo sijaona cha kubadilisha nilichokiandika hapa
Amina.
 
Mara muovu yule anaewapa kiburi anatwaliwa kama niivyoonya siku chache zilizopita kupitia bandiko langu hapa JF huku mkiwa hamjajipanga zaidi ya kumtegemea yeye.

Majinga huwa yanafikiria umbali wa sentimita moja kutoka yalipo!
 
As long as he is alive and kicking nothing changes
 
October ni mbali sana, unaweza ukashangaa unaingia kwenye huo uchaguzi bila Magufuli wala Ndugai...Usiku wa mwaka huu mrefu mwanangu oohooo!
 
October ni mbali sana, unaweza ukashangaa unaingia kwenye huo uchaguzi bila Magufuli wala Ndugai...Usiku wa mwaka huu mrefu mwanangu oohooo!
Kamanda,unafikiri nakubishia basi,wala
Korona imenifunza mengi mkuu
Ila as long as yupo hai,nothing changes
 
Back
Top Bottom