Heshima kwenu Ndugu wanajamvi,
Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020.
Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa.
Mosi ni Tume huru ya uchaguzi.Suala hili limekuwa likipigiwa debe na wadau mbali mbali wakiwemo wansiasa,viongozi wa dini...