uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Utapeli wa Lissu: Majimbo ya uchaguzi yako 264 yeye katembelea 20 anasema katembea nchi nzima na anapendwa nchi nzima!!

    Tanzania Ina majimbo 264 ya ubunge Lisu kutafuta wadhamini kaenda majimbo 20 tu majimbo ambayo hakukanyaga kabisa na kuhutubia Ni majimbo yote ya mikoa ya kusini ,majimbo yote ya zazibar,majimbo yote ya mikoa Kama Tabora,kigoma,katavi,Geita,Kagera, Kigoma,Shinyanga ,Mwanza nk Hata...
  2. B

    GE2020 CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu

    22 August 2020 Tunduma, Songwe Tanzania CHADEMA imeomba vyombo husika vifuatilie tetesi za kuwepo mipango ya kuvuruga mchakato wa kuelekea katika hatua za kurudisha fomu za wagombea. Hivyo wameomba uchunguzi na hatua za haraka za kiuchunguzi zifanyike ili kama kweli mipango hiyo ipo basi...
  3. Z

    GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  4. A

    Uwezekano wa Taznania kuwekewa vikwazo baada ya uchaguzi

    Katika historia za chaguzi Tanzania, Zanzibar mara nyingi ndio huwa inaleta utata. Kama mnakumbuka uchaguzi wa 2015, alioporwa Maalim Seif, ulisababisha wadau wa maendeleo kukisusia kisiwa hiko. Marekani iliondoa msaada kwa Tanzania wa takribani trillion moja, huku wadau wengine kama UK na nchi...
  5. Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable

    Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local currency issuer ratings of the Government of Tanzania to B2 from B1 and changed the outlook to stable from negative. The...
  6. P

    Pendekezo: Viongozi wa vyama vyote na viongozi wa dini mkutane kujadili mada moja tu-haki katika uchaguzi huu. Baada ya hapo muwaombee wagombea wote

    Waheshimiwa Viongozi wetu wa vyama na Wagombea, Waheshimiwa viongozi wetu wa Dini zote, Wadau wa uchaguzi. Amani iwe kwenu. Wapendwa viongozi wa dini na viongozi wa vyama vya siasa vinavyogombea urais mwaka huu, kwa unyenyekevu mkubwa ninaomba kutoa pendekezo kwenu, ikiwapendeza mkaufanyia...
  7. M

    Naona Wagombea wengi wa CCM wameshangilia baada ya kusikia wameteuliwa. Wanadanganyika kuwa mwaka huu uchaguzi ni rahisi ukiwa CCM

    Kwa wale mnaofuatilia mtakuwa mmegundua furaha waliyonayo wale walioteuliwa kukiwakilisha chama Cha mapinduzi kwenye uchaguzi wa Out Oktoba. Na hii Ni kutokana na sababu kuwa wengi wanaamini kuwa Magufuli amejenga imani kwa wananchi ndani ya miaka hii mitano hivyo uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa...
  8. Uchaguzi 2020 ni Uchaguzi wa mtaa kwa mtaa na kitanda kwa kitanda

    Kila mtu Kuna vile anavyotaka awe navyo chumbani kwake, nyumbani kwake, na mtaani kwake anakoishi ambavyo vinategemea na Ni chama na kiongozi gani anayeongoza Mtaa, Kijiji, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa na Taifa. Watu safari hii hawatapiga kura za jumla jumla Kama zamani Bali watajipigia kura wao...
  9. GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa mwepesi sana kwa Dkt. Magufuli

    Yaaani katika chaguzi zoooote zilizowahi kufanyika tangia mfumo wa vyama vingi uanze huu ndo utakua mwepesi sana kwa Chama cha Mapinduzi. Kwa kazi alizofanya Mheshimiwa Rais zinatosha kabisa kumpa kura hata asipofanya kampeni maana kazi alizofanya zinaonekana hana haja ya kutukumbusha kupitia...
  10. J

    Kongamano la Kitaifa la Kiongozi wa Dini kuombea Uchaguzi kufanyika 24/08/2020, mgeni rasmi atakuwa Rais Magufuli

    Shehe wa mkoa wa DSM Alhad Mussa Salum ametangaza kuwepo kwa kongamano kubwa la viongozi wa dini jijini Dodoma kwa ajili ya kuombea uchaguzi na kutoa mwelekeo kwa waumini kuhusu mazingatio wakati wa uchaguzi. Kongamano hilo litafanyika katika uwanja wa Jamhuri na mgeni rasmi atakuwa Rais...
  11. GE2020 NEC yatoa siku 2 kwa Vyama vilivyopata changamoto kutambulisha Wagombea wao baada ya Watu wasioteuliwa kuchukua fomu za Uteuzi

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inafuatilia zoezi la kuchukua fomu za uteuzi na kubaini kuwa kuna changamoto ambazo zimejitokeza kutokana na vyama vya siasa kutokujipanga na kuweka utaratibu mzuri wa Wagombea wao kuchukua fomu za Utezi Tume imesema kutokana na hilo watu ambao...
  12. GE2020 Uchaguzi wa mwaka huu ni mrahisi sana kwa Wapinzani. Chukua fomu kupitia chama chochote kisicho na mwakilishi hapo ulipo, hakika utashinda

    Huwezi amini, mwaka huu Uchaguzi ni rahisi Sana kwa wapinzani wote waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali, sema Kuna maeneo hayajapa wawakilishi hasa vyama chipkizi, nakushauri ndugu yangu, Kama unajiamini, chukua fomu, utashinda mapema tu, ninazo sababu kusema hivyo; 1: Chama chenye nguvu...
  13. GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  14. GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  15. GE2020 Siwafundishi kazi Tume ya Taifa ya Uchaguzi ila mkilifanya hili mtaondoa lawama nyingi

    Mapema kabisa tayari jinamizi lakuaanza kuchafua Tume ya uchaguzi kushindwa simamia wajibu wake vizuri limeanza onekana. Tayari kuna Mgombea ubunge na mwingine Diwani ambao ni halali kulalamika kuchukuliwa fomu zao kwa watu wasiojulikana. Kwa upande wangu naona ni makosa makubwa hasa kwa...
  16. GE2020 Baada ya mbinu hii, Uchaguzi wa 2020 tulidhani Magufuli atapita bila kupingwa

    Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, tumeshuhudia kila mbinu imetumika kuhakikisha mwenye mawazo mbadala hatoi maoni yake kwa namna yoyote ile. Kwa miaka 5 vyazo vyote vya habari vilitekwa, kila chombo cha habari kilihakikisha kinatangaza sifa za mfalme, kuna TV zimediliki hata kuacha...
  17. GE2020 Sioni utulivu wa CHADEMA mara baada ya uchaguzi huu wa 2020

    Kabla ya uchaguzi Mkuu ujao, Chadema wamekuwa wakiishi na kufanya kazi na Tundu Lissu kama Mwanasheria Mkuu wa Chadema, na Mjube wa Kamati Kuu. Kumekuwa na tofauti ndogo ndogo ambazo ni kawaida katika chama chochote ambacho sio Chama Dola. Tofauti hizi zitajitokeza wazi baada ya Lissu kujua...
  18. J

    GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
  19. GE2020 Tume ya Uchaguzi mnamuelewa Mzee Butiku?

    Mzee Butiku alikuwepo kwenye awamu zote, yupo na atakuwepo Mungu akipenda. Inaelekea kuwa Mzee Butiku anafahamu mengi kuhusu mambo ya chaguzi zetu na mambo ya tume zetu hizi za uchaguzi kwa miaka 60 Sasa. Mwaka huu Mzee Butiku kila anapopata nafasi ya kuzungumza jukwaani anasisitiza umuhimu wa...
  20. Nini cha kujifunza yanayoendelea Mali, Belarus na Thailand tukiwa tunaelekea Uchaguzi?

    Kama unafuatilia vyombo vya habari nchi ya Mali moto umefuka. Wananchi waliingia mitaani mpaka raisi aliyetawala miaka 25 na ushee aondoke. Wanajeshi wakamteka Rais na waziri Mkuu, wakakamata nchi. Sema wanajeshi kiroho safi wataandaa uchaguzi wa huru wameahidi. Belarus, wananchi wameingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…