Wakati wanazindua mzigo mpya 'Bazzika' walijifanya wanapunguza bei za vifurushi lakini kiukweli WAMEPANDISHA BEI.
Hawa ni wapigaji kama wapigaji wengine. Wangebakiza channel za vifurushi husika kama zamani, kwa mfano: Vifurushi vilivyokuwa vinapatikana ndani ya Azam Lite ya Sh. 10,000/=...