uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia: CCM imetoa usafiri kwa Maafisa Kata kuwasaidia kuhakikisha wote ambao hawajapiga Kura kuwanasogeza kwenye vituo vya Kura

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Huku ndiko ziliko Kura za Chama cha Mapinduzi, CCM tumetoa vitendea kazi na usafiri...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais CCM ameshachapia huko yupo Ngerengere anataja Ngorongoro kila wakati

    Wakuu, Inabidi wanaosimamia kampeni za Mgombea urais CCM wawewanamkaririsha vizuri hotuba maana anachapia sana. Mgombea unachanganya maeneo ya nchi yako tena ndo upo ziara? hii ni aibu sidhani kama anaelewa anachohutubia
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi alivyowasili jijini Mwanza tayari kuanza kampeni Kanda ya Ziwa

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu. Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba, uwanja wa Ngudu mjini ambapo atafanya Mkutano Mdogo wa hadhara, baadae atapita wilaya ya Misungwi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Natabiri CCM Zanzibar kushinda kwa zaidi ya asilimia 90

    Nilienda Zanzibar kufanya utafiti wa uchaguzi wa 2025. Nilikaa karibu miezi 4 kabla sijarudi Tanzania bara, lengo likiwa ni kuangalia siasa za upinzani Zanzibar. Kila uchaguzi hufanya hivyo. Nilichogundua Katika mwaka huu, tangu siasa Zanzibar zilipoanza, CCM itashinda kwa kishindo cha juu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Morogoro: Kampeni ya Uchaguzi ya Samia Suluhu kata ya Ngerengere

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Mkuu kata ya Ngerengere Mkoa wa Morogoro leo tarehe 29 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/NjSBxy7UE98 Mgombea wa nafasi ya Rais wa...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha Wakulima(AAFP) kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 31, 2025, Kisaki Morogoro

    Chama cha Wakulima(AAFP) kinatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake za uchaguzi mkuu mwaka huu siku ya Agosti 31 Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na mgombea Urais kwa tiketi ya chama hicho Kunje Ngombale Mwiru ni kuwa uzinduzi huo unatarajiwa kufanyikia katika kijiji cha Kisaki Mvomero...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais CCM: Ahadi zisizoeleweka, tena ni nje ya Dira ya taifa 2050

    Kwa ufupi; Samia haoni matatizo ya kitaifa; Usalama na utekaji, Rushwa na wizi wa mali za nchi, Huduma duni za elimu na afya. Nilipoona kampeni zinaanza na jukwaa kupambwa na watu wapuuzi, nikajua hakuna kitu hapo! Wa-TZ tuendelee kuwa na uongozi wa kipuuzi. Huwezi kuanzisha kampeni ukiwa na...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea wa CHAUMMA na TLP wasikitika kuenguliwa na tume Longido

    Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki. Mbali na Mayunga, mwingine ambaye hakuteuliwa ni Johnson Mauma wa Chama cha TLP, ambaye naye anadai sababu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini sasa ikitokea kwenye uchaguzi ikawa SAMIA vs LISSU, Upinzani utachukua nchi

    Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi! Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CNBC Africa: Rais Samia apitishwa Kugombea Uchaguzi wa Oktoba, Wapinzani Wakuu wazuiwa

    Wakuu! CNBC Africa wameandika kuwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewazuia wagombea wa Vyama vikubwa vya upinzani kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, hatua inayomwacha Rais Samia Suluhu Hassan wa CCM akikabiliana na wagombea kutoka vyama vidogo pekee. == Tanzania’s...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima kupitia ACT: Nilizuiwa kurejesha fomu na Msimamizi wa Uchaguzi "Alikuwa radhi tuzichape"

    Mgombea Ubunge Jimbo la Itilima kupitia ACT Wazalendo Jackson Scania: Nilizuiwa kurejesha fomu na Msimamizi wa Uchaguzi "Alikuwa radhi tuzichape" na fomu zangu alikataa kuzipokea na lilitokea kundi kubwa la watu wa CCM wakisema tumpige lakini baada ya kuona mazingira si salama ikabidi niondoke...
  12. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Ikulu mawasiliano wanapost kampeni za CCM, kwahiyo watapost na za ACT au ndio tayari wanamjua mtu wao?

    Ikulu mawasiliano wanaendelea ku-update kinachoendelea kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, Swali la kujiuliza Ikulu ni mali ya serikali au ni mali ya CCM? Je watapost kampeni za vyama vyote? Maana kwa sasa ikulu haina mwenyewe, kwanini iwe inapost kampeni za CCM? Watanzania hadi haya pia...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mkuu kuhusisha CCM na vyama vingine bila CHADEMA, ni sawa na ligi kuu huku mmoja kati ya Simba au Yanga akiwa amefungiwa

    Huu ndio ukweli mchungu na ni aibu na fedheha kwa CCM . Yaani kama ambavyo ligi kuu haiwezi kunoga ikiwa mojawapo ya timu kati ya Simba au Yanga ikiwa haishiriki kwa kufungiwa au kususia ligi. Tunaamini wazee ndio watu wenye busara na hekima, ila hii CCM imetu- prove wrong kabisa. Wazee...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwamposa na Hananja wasanii na wajasilia Dini wa makanisa ya mchongo na neno la Mungu ndio walio ongoza sala Kawe!

    Kweli Hananja. msanii wa dini, Mwamposa Msanii wa Dini leo ndio wa officiate sala ya ufunguzi? Nchi hii ina vituko. --------- Mtumishi wa Mungu, Apostle Mwamposa, alivyoshusha maombi katika uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Kawe - Dar es Salaam Chanzo: Global TV
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahadi za Mgombea Urais CCM, Samia Suluhu Hassan kwa siku 100 za kwanza za uongozi wake miaka mitano ijayo (2026 -2030)

    AHADI ZA SAMIA NDANI YA SIKU 100 BAADA YA KUCHAGULIWA (ATAKAYOFANYA) 1. Utazinduliwa rasmi mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, kwa awamu ya majaribio. Wakianza Wazee, Watoto, Wajawazito, na Wenye Ulemavu. Gharama za matibabu kwa makundi haya zitabebwa na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. 2. Serikali...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Nchimbi asema yupo tayari na timamu kupokea maelekezo ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amebainisha kuwa yupo tayari na timamu kuzitafuta kura za ushindi za Chama Cha Mapinduzi CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba 2025, akiahidi pia kufanya kazi kwa bidii...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijembe cha Kikwete kwa Polepole kuhusu fedha za Uviko

    Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu...
  18. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Suluhu: CCM kugharamia kwa asilimia 100 matibabu ya watu wasiokuwa na uwezo

    Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu, matibabu ya watu wasio na uwezo hasa kwenye magonjwa yasiyoambukiza kama sukari, figo, presha, saratani na...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu azijalipwa. Tutakuja na mfumo wa kuhakikisha jamaa ya marehemu wanalipa gharama, lakini sio kuziwia miili ya watu waliotangulia mbele ya haki...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Rais Samia ni kiongozi mwenye maono ya mbali, 4R zake zimeimarisha Amani, Umoja na Muungano

Back
Top Bottom