uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

    Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vyama vingine vinaruhusiwa kuja kusikiliza sera za CCM Agosti 28, 2025

    Wakuu, Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi ----------- Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ACT Wazalendo anapitia wakati mgumu sana kwa sasa

    Wakuu habari, Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wajasiriamali wamchague Samia: Mikopo yao kabla hajawa Rais ilikuwa trilioni 7 tu leo mikopo hii imefikia trilioni 14 sawa na ongezeko la 200%

    Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia jumla ya TZS 14Trilioni sawa na ongezeko la TZS7Trilioni au 200% pia ni ongezeko la mara mbili...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yakabidhi gari 'Land Cruiser' GX PHR' mgombea urais CCM

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imemkabidhi mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, gari aina ya Land Cruiser pamoja na dereva, kwa ajili ya kampeni na kwamba ataambatana nalo kuanzia leo, mpaka kampeni zitakapokwisha.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea CHAUMMA achanganya mafaili akifikiri bado ni CHADEMA, asema 'Peoples'

    Lumola Kahumbi mwanachama wa CHAUMMA na mgonbea ubunge wa jimbo la Bariadi amejikuta akitamka neno "pipoziiiiii" mbele ya wanachama wa CHAUMMA Hali iliyozua mshangao kabla ya bwana Lumola kurekebisha kauli yake Ikumbukwe kuwa Lumola alikuwa mwanachama wa Chadema kabla ya kuhamia CHAUMMA
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina afika INEC kurejesha fomu ya Urais ila ameishia Getini

    Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi. Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT wanaituhumu INEC kuwa ni aibu kwa tume kumzuia mpina kurejesha fomu

    Chama cha ACT Wazalendo kimepinga kwa ukali hatua ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kumzuia mgombea wake wa urais, Luhaga Joelson Mpina, kurejesha fomu za uteuzi, kikieleza kuwa maamuzi hayo ni ‘ya aibu, kinyume cha Katiba na hatari kwa demokrasia ya nchi’. Katika barua ya tarehe 27...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Hatutasita kumchukulia hatua atakayeenda kinyume kwenye kampeni

    “Kamwe asiwepo mmoja wetu akawa chanzo cha kukiuka sheria, kanuni na taratibu wakati wote wa kampeni na baada ya kampeni ili kuepuka vurugu au uhalifu wa aina yeyote ile kutokea.” Hiyo ni kauli ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyotolewa kupitia msemaji wake, David Misime leo Jumatano Agosti 27...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumekucha, CCM Njombe waanza Kampeni kwa mabango kabla ya muda

    Haya sasa mambo yapo nje ya muda, yaani CCM mwaka huu hata hawaogopi ni mambo hadharani kuvunja kanuni na sheria za nchi na hawachukuliwi hatua. Hapo ingekuwa ni CHADEMA tayari huyo mgombea angefutwa na kuondolewa kuwania tena Tume ya uchaguzi wangeshatangaza ila kwa sababu ni CCM ni kama...
  12. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Kanisa la katoliki lasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025

    Hii ni kweli, kanisa la katoliki lawasisitiza watanzania kushiriki uchaguzi mkuu 2025?
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ofisi ya tume huru ya uchaguzi kuna picha ya mgombea ukutani, sasa hizi kampeni za nini?

    Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya. Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine? Mnalikosea...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi latoa tamko kuelekea kampeni ya vyama vya siasa Agosti 28, 2025 " usiwe chanzo cha vurugu"

    Wakuu habari, Tufuatilie live ya Jeshi la Polisi ikitoa tamko kuelekea kampeni za vyama vya siasa inayotarajiwa kuanza kesho Agosti 28, 2025 https://youtu.be/oMKspe2-o1Y?si=K58UWSQsgIJMBPg7 Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime: " Kesho Agosti 28, 2025 kama ilivyotangazwa na Tume huru ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yawakabidhi magari mapya wagombea Urais 2025, haitakua busara Mgombea wa CCM akipewa gari

    Wakuu habari, Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer. Haitakua busara Mgombea wa CCM kupewa gari maana wanajitosheleza wale, kwanza msafara wa kuchukua tu fomu ilidhihirisha tayari...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yawateua Samia na Nchimbi kugombea urais kwa tiketi ya CCM

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewateua Rais Samia Suluhu Hassan na mgombea mwenza wake, Dk Emmanuel Nchimbi, kugombea nafasi ya urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yamzuia Mpina kurejesha fomu za kuwania Urais Ofisi za Tume, ACT Wazalendo yaandika barua kumjibu

    MKURUGENZI WA UCHAGUZI TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI UCHAGUZI HOUSE ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA P.O.BOX 358 41107 DODOMA YAH: KUPINGA MAELEKEZO YA TUME KUTAKA MGOMBEA WA ACT WAZALENDO KUTOFIKA KURUDISHA FOMU Naomba urejee suala tajwa hapo juu. Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa mshtuko na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Alute Mughwai afafanua namna ambavyo Rais anaweza akatoa Ushaidi kwenye kesi ya Tundu Lissu

    "Katiba yetu inasema watu wote ni sawa na watawajbika kwa mujibu wa sheria, kwa maneno mengine hakuna mtu yeyote ambaye yuko juu ya sheria isipokuwa kama sheria hiyohiyo inampa kinga kwamba hawezi kwa mfano kushitakiwa au hawezi kwenda kutoa ushahidi", - Wakili Alute Wakili Alute Mughwai, mmoja...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 KKKT Dayosisi ya Karagwe yatangaza jumapili ya Agosti 31, mitaa yote ifanye maombi kuenzi haki na amani

    TWENDE MAGOTINI KWA NIA NA IMANI Jumapili ya 10 baada ya UTATU, KKKT utafakari juu ya HAKI HUINUA TAIFA, na DHAMBI NI AIBU KWA WATU WOWOTE. Tumo katika juma hilo. Tunaalikwa sote kumlilia Mungu ili tusitenganishe HAKI na AMANI. 1. Kama HAKI huinua Taifa, basi dhuluma huangusha taifa. 2. Ili...
Back
Top Bottom