uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya ACT Wazalendo na Mpina dhidi ya Tume INEC imefanyika kwa njia ya Mtandao

    Kesi ya Luhaga Mpina wa ACT -Wazalendo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) sasa inasikilizwa kwa njia ya mtandao. Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC kutumia bilioni 12 katika shughuli zote za Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025, Vyama 17 Kushiriki

    Licha ya ratiba ya uchukuaji wa fomu za uteuzi wa nafasi za urais, uwakilishi na madiwani kuanza leo, lakini kwa nafasi ya urais vyama vya siasa vimeandika barua za kuomba kuchukua fomu kuanzia Agosti 30, 2025. Wakati mchakato huo ukiendelea, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), inatarajia kutumia...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, matukio na makongamano makubwa ya kampeni yanaweza kukushawishia kukipigia Chama Kura yako?

    Wakuu! Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kuwaidhinisha wagombea 17 wa vyama vya kisiasa na kuanza rasmi kwa kampeni, ni wazi huu ni mwaka wa uchaguzi ,Tumeona wagombea wakijinasibu kwa mbwembwe na kuonyesha uwezo wao. Sasa ni wakati wa kujiuliza: Je, tutachagua chama kwa sera na mipango ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CHAUMMA, Salum Mwalimu na Devotha Minja

    Uzi Maalum wa mijadala yote ya michakato ya ziara za kampeni za mgombea nafasi ya Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na Mgombea mwenza Devotha Minja. ---------------- Agosti 27, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemteua...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi: Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu wa kujua matumaini na matarajio ya maendeleo tuliyofikia leo yametokana na Chama hiki, kwasababu...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkutano wa Mpina na waandishi wa Habari umeahirishwa

    Ahirisho la Mkutano na Waandishi wa Habari Mkutano na waandishi wa Habari na Ndg Luhaga Mpina, uliokuwa ufanyike leo Alhamis tarehe 28.8.2025 saa Saba Kamili Mchana umeahirishwa kutokana na Mzungumzaji kuendelea na usikilizaji wa Kesi mahakamani Mpaka wakati huu. Tunaomba radhi kwa usumbufu na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Kinondoni ajinadi kumng'oa Abbas Tarimba wa CCM

    Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala. Moza amesema anafahamu matatizo mengi ya watu wa Kinondoni hivo itakuwa kazi nyepesi kwake kufikisha matatizo yao BUNGENI na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi umekwisha, tuonane mezani

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana. Akizungumza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 PICHA:Uchambuzi, Historia na Uelekeo wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2025

    https://www.youtube.com/live/75BCyq8wmtw?si=_JM6YbzjI4WT5SjH Habari Watanzania, naomba nifanye uchambuzi wa kina kuhusu Siasa za Tanzania. Historia ya Vyama Vingi Nchini Tanzania Kipindi cha Uhuru (1961 – 1964) Baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, kulikuwepo na vyama vingi vya siasa...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, unatarajiwa kukamilika Aprili 24, 2026

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi, Bi. Mwajuma Nasombe @mwajumaa_abasy ametangaza Kurudi kazini kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Stendi ya Kimataifa Moshi, huku ukitarajiwa kukamilika ifikapo april 24, 2026. Amesema hayo Leo, mbele ya Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 'Dorothy atimuliwa kimya kimya, Act Wazalendo yazidi kudhihirisha mfumo Dume'

    Wakuu ===== Hizi taarifa niza kweli kwamba Dorothy Semu ametimuliwa kimya kimya ndani ya ACT Wazalendo?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yapitisha vyama 17 kuwania Urais Oktoba 29, 2025

    Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo. Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnyika: Muunganiko wa INEC, NIDA na CCM ni tishio kwa demokrasia

    Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa madai ya kuunganisha mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ni tishio kwa uhuru wa uchaguzi nchini Tanzania. Akizungumza Jumatano Agosti 27, 2025...
  15. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uzinduzi wa Kampeni za CCM Viwanja vya Kawe, Agosti 28, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kupitia tiketi ya CCM leo, Agosti 28, 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe, Dar es Salaam. https://www.youtube.com/watch?v=vGoVYh_ObHU Mwenyekiti Mstaafu wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Chalamila: CCM Mnapaswa kuwa Mabalozi wazuri wa Demokrasia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amesema kwa mujibu wa ratiba ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi mikutano yote ya hadhara katika mkoa huo imewekwa wazi katika viwanja na tarehe za mikutano kuanzia tarehe iliyotangazwa na tume hadi karibu na uchaguzi Mkuu RC Chalamila ameyasema...
  17. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katiba ya ACT inatamka wazi sifa za mtu kugombea Urais kuwa awe anamwezi ndani ya chama Sasa sijui huwa hawasomi Katiba yao au ni uzembe tu

    Inakuwaje mnaandika wenyewe Katiba kujipiga kitanzi halafu mnasahau Kama mlijipiga kitanzi au mnaanda Katiba kwa kutumia AI? How comes mtu anasiki 3 ndani ya chama halafu anapata sifa ya kugombea Urais inamaana hakuna kuhoji huko ACT? Halafu wanajifanya wanashituka huku hayo mashart...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

    Wakuu! Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini. Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Vyama vingine vinaruhusiwa kuja kusikiliza sera za CCM Agosti 28, 2025

    Wakuu, Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi ----------- Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi pale ACT-Wazalendo tatizo ni ombwe la uongozi makini wa kitaasisi au shida ni uchu wa madaraka na kukurupuka kwa Luhaga Mpina kugombea urais?

    Hii ni kashfa kubwa na ya kipekee kwa uongozi mzima wa ACT-Wazalendo kitaifa, hasa katika kipindi hiki nyeti kuelekea Uchaguzi Mkuu wa kihistoria wa Tanzania. Swali la msingi ni: kweli viongozi wote wa ACT-Wazalendo hawajui taratibu za kikatiba zinazowataka wanachama wapya waendelee kuwa ndani...
Back
Top Bottom