Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar katika kuhakikisha Amani na Usalama wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 limejipanga vyema kuhakikisha ulinzi na usalama unahimarishwa wakati wote na kwamba wananchi wanaitumia haki hiyo ya kikatiba kuwachagua viongozi wanaowataka.
Uchaguzi Mkuu...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa bila ya kutoa taarifa.
Akitoa Taarifa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali Bw. Salifu...
Mgombea Ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia ACT-Wazalendo amemuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Esther Nicholas Matiko pingamizi zito sana.
Pingamizi hili kungekuwa na utawala wa sheria Hakika Esther Matiko angeondolewa kuwa mgombea na angeshitakiwa kwa ubadhirifu wa mali za Umma.
Soma Pia...
Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
Habari Tanzania !
Eti mpenzi unaonaje, Wagombea waliothibitishwa na Vyama vyao na Tume ya Uchaguzi wapewe vyombo vya usafiri hoja kubwa ni; Wanatumikia umma.
Hii itachochea wagombea kujitokeza kwa wingi pasipo uoga wowowte ule na kutakuwa na uchanuaji wa ushindani kikamilifu. Baada ya...
Leo Mwanza, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa ya msongamano na foleni zisizo na mwisho kutokana na kufungwa kwa barabara kuu wakati wa kampeni za kisiasa.
Kwa heshima tunawaomba wagombea wote: msiharibu utaratibu wa kila siku wa wananchi katika siku hizi 30 za kampeni. Madhara...
Mimi, Charles Andrea Kulwa, nimepokea barua yako leo tarehe 28/08/2025 ukiambatanisha na barua yenye Kumb. Na: RM/INEC/SB/01/25 ya tarehe 28/08/2025 iliyoandikwa na Raymond N. Mwema; ukinitaarifu kuwekewa pingamizi na ndugu Raymond N. Mwema, Mgombea Ufiwani Kata ya Sabasaba kupitia Chama cha...
Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi kwa ujumla na kubaini kuwa umepoteza sifa za kuwa Mwanachama halali na hai wa Chama cha ACT...
Wakuu!
Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam ambapo akiwa huko amesema, "Niwaombe viongozi hatuna sababu ya kuto kutoka kwenda kwa Wananchi...
Niende kutiki au nisiende haina madhara yoyote kwenye matokeo
Sina sababu hata moja ya kuinua mguu kwenda kupiga kura.
Njia ni nyeupe kabisa, kuna uhakika tayari wa matokeo yatayobandikwa kuwa 90% au zaidi
Wakuu!
Katika mfumo wa kidemokrasia, ni muhimu vyombo vya habari vya umma kutoa usawa kwa vyama vyote ili wananchi wapate fursa ya kuamua kwa taarifa sahihi.
Hivi karibuni kumekuwapo changamoto ukurasa rasmi wa Ikulu unachapisha taarifa na video zinazomhusu Mgombea wa urais kupitia CCM, hata...
Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimesema kimejipanga kushiriki kikamilifu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kwa kusimamisha wagombea katika kila jimbo, kata na uwakilishi Zanzibar, kikijinasibu kwa kaulimbiu yake ya “Kaza buti, barabara ina kokoto.”
Soma pia: CHADEMA na TLP zaungana na...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema kwamba tayari Jeshi hilo limechua hatua kuhusu magari yaliyokuwa na namba za usajili SSH2530 ambapo amesema kwamba kwa sasa magari hayo hayataonekana.
Amesema kwamba baadhi ya magari yenye namba hizo yamekamatwa huku akitoa wito kwa...
Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni...
Wengine Walisema mwalimu Nyerere alitaka Salim Ahmed Salim ndio awe mrithi wake mwaka ule 11985 lakini Waunguja wakakataa
Ninachokiona kwa Mpina ni kukataliwa na Wahafidhina ndani ya ACT wazalendo wanaoamini katika “ project “
Kitambo sana 🐼😄
Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama hicho Flatei Gregory kwenye ofisi ya msimamuzi wa uchaguzi jimbo la Mbulu vijijini kwa madai ya kuwa...
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi ndani ya siku 100 baada ya kushinda kiti hicho ataunda Tume ya Maridhiano ambayo itasaidia kuweka mazingira ya kuandaliwa kwa katiba mpya.
Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake uliofanyika Agosti 28...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, Camilius Wambura amesema kuwa kipaumbele chao ni kuhakikisha waandishi wa habari wanakuwa salama katika kipindi cha uchaguzi, ambapo ameeleza kwamba wanahabari wakiwa salama katika kutekeleza majukumu yao jamii nayo inakuwa salama.
Ameongeza kuwa waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.