McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,168
- 3,736
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela kwenye miradi ya maendeleo
Ikumbukwe kuwa siku chache nyuma Polepole alisema kuwa kuna ubadhirifu mkubwa sana ulitokea baada ya hizo hela za Uviko kupewa Serikali ya Tanzania