uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huduma za afya BUre mkinichagua-Mgombea Urais CUF

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amesema akichaguliwa kuwa Rais, mara baada tu ya kuapishwa siku hiyo hiyo atatangaza huduma za afya nchini kuanza kutolewa bure kwa watu wote bila malipo wala kutumia bima. "Nikimaliza...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na shida yeyote ile

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuimarisha zaidi huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino ikiwa ni pamoja na afya, maji na barabara. Akizungumza Agosti 31, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha hii ni nyomi iliyosombwa na Malori kwenye kampeni za CCM Morogoro

  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyumbani kumenoga, waliosepa kwenda CHAUMMA wamerudi CHADEMA!

    Waliondoka CHADEMA sasa hivi wamerejea tena….. 🤣 Baadhi ya wanachama wa chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) ambao awali walikuwa CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo unyanyasaji dhidi ya wanawake, uongo na ahadi hewa ya kupewa mikopo.
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: CUF ikingia madarakani itahakikisha kuna kodi moja na NIDA itatolewa siku moja mtoto anapozaliwa

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema serikali yake itahakikisha kuna kodi moja tu kwa kila mtanzania na hakwamba kitambulicho cha NIDA kitatolewa siku moja mtoto anapozaliwa.
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF: Watanzania tuache kulalamika, tukapige kura

    Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema wananchi hawapaswi kukata tamaa na wanapaswa kwenda kupiga kura na kuchagua serikali itakayo rekebisha matatizo yanayowakabili.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA walituahidi bodaboda na shilingi 15 lakini wamekuwa wabinafsi, kwahiyo tunaondoka

    Leo, baadhi ya wanachama wa CHAUMMA waliokuwa awali CHADEMA wamejivua uanachama wa chama hicho kutokana na changamoto kadhaa, ikiwemo ufisadi, unyanyasaji dhidi ya wanawake, na kutowapa mikopo waliyoahidiwa. Vijana waliokuwa wameshatiwa ahadi za boda boda pia wamegundua kuwa ahadi hizo...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo Gombo: Mkichagua CUF tutakomesha utekaji

    Chama cha Wananchi CUF kimesema endapo kitaingia madarakani kitahakikisha kinapambana na utekaji wa watu nchini ikiwemo na kuhakikisha kinaimarisha vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Mwanza mgombea urais kupitia CUF Gombo Samandito Gombo amewaomba watanzania...
  9. leefrankne

    JamiiForums Tanzania INEC yafanya mkutano na wawakilishi wa vyama vya siasa

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndugu. Kailima Ramadhani leo tarehe 30 Agosti, 2025 ameongoza kikao cha wawakilishi wa vyama vya siasa kupitia na kufanya mabadiliko madogo kwenye ratiba ya mikutano ya hadhara ya kampeni za wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia: Nipeni tena urais, migogoro ya ardhi itakoma

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine. Akizungumza na wananchi wa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mvua yatibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK)

    Unaweza kusema mvua imetibua uzinduzi wa kampeni za Chama cha Kijamii (CCK) zinazoendelea leo Jumamosi, Agosti 30, 2025, katika viwanja vya Kwa Tesha, Mbagala Kijichi jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, licha ya mvua hizo, wafuasi wa chama hicho waliendelea kubaki kwenye matenti yaliyokuwa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

    CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo. Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea AAFP: Nitaruhusu kilimo cha bangi kukuza uchumi, Walevi lazima wakate Leseni

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amesema moja ya ajenda zake kuu endapo atapewa ridhaa ya kuongoza ni kuruhusu ulimaji wa bangi kwa matumizi ya kiuchumi, akisisitiza kuwa hatua hiyo inaweza kuwa mkombozi wa maisha ya wananchi na chanzo kipya cha mapato...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Alaudin: Sisi Ulanga ukimsema vibaya Rais tunakuloga

    Wakuu! Kampeni za CCM zinaendelea kwa nguvu huku Salim Alaudin, mbunge wa jimbo la Ulanga kwa kipindi cha 2020/25 na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CCM, Agosti 29, 2025. amesema, "Mhe. Rais sisi Wananchi wa jimbo la Ulanga tumejiambia hivi, tukimuona Mtu anakusema vibaya tunatumia njia...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHAUMMA kuzindua kampeni Agosti 31, 2025 Kinondoni

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa umma wa CHAUMMA, John Mrema amebainisha hayo kwenye taarifa aliyoitoa kwenye ukurasa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rasmi Dkt. Mwinyi achukua fomu ya Kugombea Urais Ofisi za ZEC

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amechukua fomu ya kugombea Urais katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ifikapo Oktoba, 29, 2025 katika siku ya Uchaguzi Mkuu wa Wagombea wa 2025-2030.
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni za Mgombea Urais wa CCM zapotea Mitandaoni, inadaiwa Chanzo ni Bomu la Polepole

    Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni Taarifa fupi ya timu yetu ya ufuatiliaji inaeleza kwamba, Sababu Kuu ni Kombora Takatifu Alilolivurumisha Mzalendo Polepole, ambalo...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wema Sepetu: Ukisema huyu Mama hasitahili nakuona kama hauko 'Ok'

    Mlimbwende kutokea kwenye kiwanda cha filamu Tanzania na aliyekuwa Miss Tanzania, Wema Sepetu ameweka wazi Rais Samia kumrahisishia mazingira ya kazi zake kupitia taasisi yake ya Wema wa Mama na hapa anafunguka.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa apinga kuvuliwa Uanachama ACT Wazalendo

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunataka Tanzania ijitegemee Kiuchumi bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni kuona Tanzania ikijitegemea kiuchumi kufikia mwaka 2050, bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje...
Back
Top Bottom