uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Waganga wa Kienyeji, mgombea akija na fungu, wewe kula; lakini…

    Wakuu, Akizungumza leo kwenye Tamasha la Utamaduni la Bulabo la Kanda ya ZIWA, leo tarehe 21 Juni, 2025, Rais Samia amesema: "Ombi langu hasa kwa viongozi hasa wa kimila, waganga wale wa kienyeji ombi langu, kipindi hiki wanaoomba kupata nafasi mbalimbali watawatembelea na wanapo watembelea...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM wanashindana na nani na kwanini watupotezee muda na pesa?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama tawala. Kinashiriki uchaguzi sijui uchakachuaji sijui uchafuzi, wala sijui. Kimelazimisha mgombea wake wa urais hata kwa kuvunja na kuvuruga kanuni zake chenyewe. Kinapoteza fedha na muda kutupigia makelele kwa kisingizio cha kampeni za uongo na vitisho...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 BabaLevo: Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini Baba Levo amesema kuwa rais Samia ametoa zaidi ya Bil. 4 ili kujengwa kwa mifereji ya kutoa maji kata ya Katubuka.
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo: Naahidi vitu vichache ambavyo naweza kuvipata

    Miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM walinivutia na hoja zake moja wake ni huyu jamaa Babalevo licha ya uchawa lakini unaona hoja zake zinaweza kutekelezeka kabisa. ================ Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Baba Levo amesema kuwa yeye ataahidi vitu...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Watanzania twendeni tukaweke historia kwa kumchagua Rais wa kwanza mwanamke anayetokana na kura za Watanzania

    Watu wakapige kura kwaajili ya maendeleo au kwaajili ya kuweka historia ya mtu? Huu ni ushamba mwingi bhana unachekesha sana. Uchawa uchawa uchawa tuuuu! ============== "kura yako ya ndiyo ni yenye thamani kubwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan tumpe ahsante kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ngombale Mwiru awavaa wakuu wa mikoa wanaoonya kuhusu maandamano, asema wanatafuta teuzi

    Mgombea Urais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Kunje Ngombale Mwiru AAFP ameendelea na kampeni katika Mkoa wa Tabora ndani ya Wilaya ya Nzega. Mgombea Urais huyo wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kunje Ngombale Mwiru amewavaa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya ambao wanatishia wananchi...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Jacob Kahemele: Kugombana siyo kukomaa kisiasa, nendeni mkapige kura

    Mimi sikatai kuna mambo watu wanaona si sawa hatuwezi kubisha, si wewe unavyoona na mimi ni nanvyoona na mimi nikiona mambo si sawa nitasema mambo hako sawa. Lakini hatua gani nachukua baada ya kuona mambo si sawa ni majadiliano na kuzungumza ili niweze kuwasilisha hoja yangu kwamba mambo haya...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kama unakaa pazuri, unakula vizuri, afya nzuri, maji unayapata maana yake furaha ipo tu

    Hapo kwanza nichekee! Samia kumbuka kuna familia hawajui wapi walipo ndugu zao, wametekwa ============= Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika eneo la furaha na uhuru kwa Watanzania, serikali...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjadala wa wasanii na Machawa kusifia Viongozi wa serikali kuonekana kama usaliti kwa vijana na Taifa

    Ripoti ya Shirika la habari la DW inaeleza namna wimbi jipya la wasanii, wanamuziki, na watu maarufu pamoja machawa wamekuwa wakisifia serikali na viongozi kwa nyimbo, kelele na majigambo mitandaoni na hata maigizo wakionyesha kuridhishwa na hali ya maendeleo ya uongozi unaomaliza muda wake...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na kusini kidogo na kati, Tanzania ni pepo

    Jamani njooni mmsikie mama kizimkazi, Mama anabwebwe huyu za mdomoni. Kama kweli Tanzania ni pepo mbona shida zipo nyingi, utekaji umeshamili, ufisadi ndio maisha ya vigogo. Embu tuache kidogo. ============ “Lakini vijana wa Kitanzania, msidanganywe. Ukichukua Afrika Mashariki, pengine na...
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muhammad Kassim: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna maandamano

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Muhammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za chama hicho zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote. Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Wana Feri msikubali kuiondoa amani, tukapige Kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Christian Makondaameendelea na kampeni zake za kumuombea kura Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia ambapo leo Oktoba 23, amefika katika Soko la Ferri lililopo Kigamboni, Dar es Salaam.
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

    Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Naiona hatari ya kazi ya bodaboda kuzidiwa na itakuwa si msaada tena

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa licha ya pikipiki za biashara maarufu kama bodaboda kuwa mkombozi wa ajira kwa vijana wengi nchini, ipo hatari kubwa sekta hiyo kupoteza maana kama suluhisho la ajira endapo serikali haitatafuta mbadala wa kudumu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Singida wahamasisha maafisa usafirishaji kulinda amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu

    Maafisa wa usafirishaji wa Stendi ya Zamani, Singida wametakiwa kuendelea kuwa mfano wa kuigwa katika kulinda amani na utulivu, hususan kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa kuwa amani ni msingi wa maendeleo na si jukumu la vyombo vya dola pekee, bali la kila mwananchi Wito huo...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nilikerwa kuona makundi ya watu wanasubiri usafiri usiku

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu amesema alikasirishwa kuona makundi ya watu wakisubiri usafiri usiku kwenye vituo vya daladala, ambapo ameeleza kuwa changamoto hiyo itamalizwa karibuni.
  18. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Morogoro: Wanaoratibu vitendo vya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu kukiona

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Malima, ametoa onyo kali kwa makundi au watu wenye nia ya kuanzisha fujo ama vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi Mkuu wa Tanzania, akisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vipo imara na makini kuhakikisha amani na utulivu vinaendelea kudumishwa nchini...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Khamis Masoud: Kupiga kura ni jambo la kikatiba

    Mkurugenzi wa Everlasting Legal Aid Foundation, Dokta Khamis Masoud, amezungumzia umuhimu wananchi kupiga kura pamoja na madhara ya vurugu na maandamano wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Jumatano ya Oktoba 29 mwaka huu.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Miraj: Serikali makini haiogopi wapinzani

    Said Miraj, Mtaalamu wa masuala ya Siasa ameeleza umuhimu wa Mtanzania kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba 29, faida zinazoweza kuletwa na mabadiliko yanayoweza kutekelezwa na kura yake. Said ameeleza umuhimu na utekelezwaji wa sera ya vyama vingi, namna inavyofanya kazi nchini kulinganisha na...
Back
Top Bottom