DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Said Miraj, Mtaalamu wa masuala ya Siasa ameeleza umuhimu wa Mtanzania kushiriki uchaguzi mkuu Oktoba 29, faida zinazoweza kuletwa na mabadiliko yanayoweza kutekelezwa na kura yake.
Said ameeleza umuhimu na utekelezwaji wa sera ya vyama vingi, namna inavyofanya kazi nchini kulinganisha na mataifa mengine. •
Said ameeleza umuhimu na utekelezwaji wa sera ya vyama vingi, namna inavyofanya kazi nchini kulinganisha na mataifa mengine. •