uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP, Kitinkwi: Mtu yeyote atakayevunja sheria atashughulikiwa

    Kamanda wa Polisi Kinondoni SACP, Mtatiro Kitinkwi akizungumza kupitia Clouds TV, amesema; atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria kutokana na kosa alilolitenda Soma: SACP Kitinkwi: Jeshi la polisi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano, na yale ya Oktoba 29 yamezuiliwa
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msigwa: Hakuna tishio lolote na hakuna kelele Oktoba 29

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka. Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Kitinkwi: Jeshi la polisi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano, na yale ya Oktoba 29 yamezuiliwa

    Akizungumza na kituo cha Clouds Redio Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi kinondoni amesema kuwa Jeshi ndiyo linawajibu wa kuruhusu na kuzuia maandamano kamanda huyo amesema kuwa jeshi limezuia maandamano yanayotarajiwa kufanyika Oktoba 29 kutokana na kusudi lake. (SACP), Mtatiro Kitinkwi
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Twawilu: Tusifumbie macho wanaotaka kufanya maandamano

    Sheikh Ramadhan Twawilu ametoa wito kwa viongozi wa dini kutumia nyumba za ibada kukemea wote wenye mipango ya kufanya vurugu na kuhatarisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi akisisitiza kuwa watu hao ni waumini ambao wapo katika nyumba hizo za ibada. Sheikh Twawilu ambaye ni Katibu wa...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Maandamano yanayohamasishwa mitandaoni ni marufuku

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, ACP Mkama, amewataka wananchi kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa mitandaoni kwa kueleza kuwa ni kinyume cha sheria na unaweza kuvuruga amani ya nchi. Kauli hiyo imetolewa Oktoba 24, 2025 wakati wa hitimisho la mazoezi ya pamoja ya majeshi yote ya ulinzi...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vyombo vya ulinzi acheni kutumia nguvu pasipo sababu za msingi, mkabiliane na vijana kwa namna walivyo

    Mwalimu Uzima Mkufunzi wa masuala ya amani kutokea Baraza Kuu la Waislama Tanzania (BAKWATA) amewakumbusha viongozi wa dini na wananchi juu ya uzalendo wa mtanzania ni kupiga kura huku akipita kwenye vitabu vya dini na maandiko matakatifu hakuna kitabu kilionekana kikipingana na serikali hivyo...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 OCD Nyamagana awataka wananchi kulinda amani kipindi cha uchaguzi

    Mkuu wa Polisi Wilaya ya Nyamagana Mrakibu Mwandamizi(OCD), SSP Virginia Sodoka, amewataka wananchi wa wilaya ya Nyamagana kuendelea kulinda amani na usalama kwa kushiriki katika shughuli nzima za ulinzi wa amani katika maeneo yao. Wito huo umetolewa Oktoba 23.2025 katika Soko kuu la...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tabora: Majeshi ya Ulinzi na Usalama yafanya matembezi ya pamoja ‘kuimarisha mshikamano na nidhamu’

    Maafisa na Askari wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama wakiwa kwenye matembezi ya pamoja yaliyofanyika leo Oktoba 24, 2025 katika manispaa na mkoa wa Tabora. Lengo la matembezi hayo ni kuweka utimamu wa mwili, kuimarisha mshikamano, nidhamu na ushirikiano baina ya majeshi husika pamoja...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025 Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi waaswa kuwa macho dhidi ya wahalifu kipindi cha uchaguzi

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Daniel Shilla, amesema licha ya Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yote ya Mkoa huo wakati wa zoezi la upigaji kura, pia wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari na kudumisha ulinzi jirani...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

    Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salim Morcase: Palipo na vurugu hakuna shughuli za kiuchumi zitafanyika

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wananchi wamehimizwa kutunza na kulinda amani katika maeneo yao ili waendelee kufanya shughuli zao za kiuchumi kwa utulivu na usalama. Hayo yamesemwa Oktoba 23, 2025 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Salim Morcase...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi alisha Njiwa wa darajani

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi akilisha njiwa katika eneo la Darajani, mara baada ya kumaliza ziara yake ya kuzungumza na wafanyabiashara na kunadi sera za maendeleo kwa Zanzibar yenye amani na umoja.
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aidhinisha Oktoba 29, 2025 kuwa siku ya mapumziko

    TAARIFA KWA UMMA Kama inavyofahamika, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza siku ya Jumatano tarehe 29 Oktoba, 2025 kuwa siku ya kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2025. Aidha, kwa madhumuni ya kuwawezesha wananchi wenye sifa stahiki wakiwemo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais NLD, Doyo Hassan aahidi kuondoa mfumo wa Kikokotoo

    Mgombea urais kupitia Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo,alieleza mfumo wa sasa unaotumika kuwapangia wastaafu na watumishi wa umma matumizi ya fedha zao baada ya kustaafu ni dharau na unaowafanyia wastaafu uonevu Akizungumza Oktoba 22,2025 na wananchi wa Wilaya ya Kigamboni kwenye mkutano wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Orodha za majina ya wapiga kura zabandikwa vituoni wananchi kuhakiki

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza kubandika majina ya wapiga kura walioandikishwa na kuwahimiza wananchi kuhakikisha taarifa zao kupitia kwenye vituo walivyoandikishwa. Chanzo: Azam news
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Nzega: Hatutamvumilia atakayeleta Chokochoko Oktoba 29

    Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, Naitapwaki Tukai amekutana na Viongozi wa makundi mbalimbali ya Viongozi wa Dini, Mila, Wafanyabiashara akiwaomba watumie nafasi zao kuwahamasisha Wananchi kushiriki uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, kwa amani na utulivu. Naitapwaki, amesema hayo wakati wa kikao...
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimati: Najivua uanachama wa CHAUMMA, narudi CHADEMA

    “NARUDI ZANGU CHADEMA” Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Jimbo la Arusha Mjini, Amani Kimati, ametangaza kujivua rasmi uanachama wa chama hicho na kuhamia CHADEMA, chama ambacho awali alikihudumia katika nyadhifa mbalimbali ikiwemo kuwa Katibu Mwenezi wa Kata ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Video: Ukitaka kwenda kutiki Oktoba 29 hiki ndo kitakachokukuta

    Wakuu, Oktoba 29 tunatoka kuanza kazi na hawa jamaa wa baiskeli na tisheti za buku, ni wakati wa kukomboa nchi kama hawajielewi tutawaelesha a
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu

    Shahidi wa Tatu (3) wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya amemaliza kutoa ushahidi wake hapo jana Leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, kesi hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
Back
Top Bottom