uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bussungu: Nitanunua ndege za doria kila mkoa kuimarisha usalama wa Taifa

    Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kuiimarisha Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi kwa kununua ndege maalumu za doria katika kila mkoa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza leo na wananchi wa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bussungu: Nikiwa rais wafungwa watalipwa Posho na kufundishwa stadi za maisha

    Mgombea urais wa Chama cha ADA-TADEA, Georges Bussungu, ameahidi kufanya mageuzi makubwa katika Idara ya Magereza endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania, kwa kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya stadi za maisha na kulipwa posho kwa kila kazi watakayofanya, ili ziwe mtaji wa kuanzisha...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Bulaya aomba Kura huku akinyeshewa na Mvua

    Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani kufanyika nchini Tanzania, mgombea ubunge wa Bunda Mjini mkoani Mara kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Esther Bulaya ameendelea na kampeni zake licha ya mvua kunyesha. Bulaya akiwa kwenye mkutano wa kampeni...
  4. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi ndo linapoteza watu? Heche yuko wapi?

    Nipo hapa kuthibitisha kuwa Jeshi la Polisi nchini chini ya IGP Wambura ndio wanaowaua watu na kuwateka kwa sababu hakuna wakenya wala waganda watakaokuja kuua watu katika taifa letu. Asipoatikana John Heche itakuwa ni aibu kwa taifa haiwezekana mtanzania anachukuliwa mbele ya macho ya watu Elfu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Oktoba 29 mkapige Kura hakutakuwa na vurugu yoyote

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha zoezi la upigaji kura linakuwa la wazi kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi mkuu. "Ninajua watu wanahofu na uchaguzi, wengine wanauliza tukikupa kura hawa watu...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Dkt. Mwinyi atangaza Oktoba 29 ni siku ya mapumziko

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inaeleza kuwa sababu za Rais Mwinyi kufanya uamuzi...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche amesafirishwa Kutoka Da es Salaam hadi hadi kituo hapo lakini mpaka leo Makamu mwenyekiti hajafikishwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kibonde: Nikiapishwa Urais walimu watavaa suti pair 5 kutoka kwa Serikali na vijana watapewa ekari 5 bure

    Mgombea Urais kupitia Chama cha MAKINI, Coster Jimmy Kibonde, ameahidi kutoa ekari tano kwa kila kijana wa Kitanzania endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na kuboresha maslahi ya wafanyakazi wa umma wakiwemo walimu Soma pia GE2025 - Mgombea wa...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi mkuu wa 2025, Urais wa Tanzania Safari ngumu zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume?

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya siasa za vyama vingi nchini Tanzania,kuanzia kwa 1992 wagombea urais wanawake wamejitokeza kwa wingi na kwa nafasi ya juu ya kisiasa kuliko wakati mwingine wowote. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 unashuhudia siyo tu rais mwanamke akitetea kiti chake, bali pia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Ubunge siyo majaribio lazima tuulize katika taifa hili umefanya nini

    Tumuulize Mgombea ubunge nafasi ya urais Samia amefanya nini kwa Maendeleo kama siyo kuongeza deni la taifa anafanya kazi ya kukamia tu " Mimi ndiye amiri mkuu wa jeshi" ---------- Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini mkoani Simiyu, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais SAU: Tunataka tutengeneze Tanzania isiyo na Rushwa

    Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara akiwa kwenye Kampeni Tunduma alisema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata haki hasa katika utoaji wa huduma katika sekta mbalimbali...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Alhad Salum: Anayetaka damu imwagike Tanzania ni Shetani

    Sheikh Dkt. Alhad Mussa Salum, Mwenyekiti Wa Jumuiya Ya Maridhiano Na Amani Tanzania-JMAT Na Balozi wa Amani Duniani Kupitia Shirikisho La Amani Duniani (UPF), akizungumza kupitia Clouds TV leo Oktoba 23, 2025 amesema; "Sisi kama viongozi wa dini tuna wajibu na tusipofanya hivyo tunapata...
  13. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Wenzetu wamekubali kushindwa ndo maana wanapanga Maandamano, tuhamasishane Oktoba 29 tukatiki

    Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nini Zanzibar inapiga Kura tofauti na Bara?

    Tanzania ipo katika maandalizi ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, ambapo Wananchi kote nchini wanatarajiwa kushiriki kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali. Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya siku ya kupiga kura, ni muhimu kuelewa upekee wa visiwa vya Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Muungano wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia usiwasikilize washauri wako, ahirisha uchaguzi tuwe na maridhiano

    So called washauri wako wanatetea matumbo yao. Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa! Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza. Nakutakia matashi mema
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa sungusungu watakiwa kuwaongoza vijana kulinda amani

    Viongozi wa Sungusungu na wazee maarufu Kitongoji cha Maimba Kata ya Chamalendi wametakiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuwaongoza vijana kulinda amani na kuachana na vitendo vya uchochezi vinavyopelelea uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa Octoba 19, 2025 na Polisi Kata ya Chamalendi Mkaguzi...
  17. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Charles Gabriel: Jitokeze mapema kuhakiki majina yako kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 29

    Wananchi wa Jimbo la Ushetu, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wametakiwa kujitokeza mapema kuhakiki majina yao katika vituo 565 vya kupigia kura vilivyoandaliwa, huku waliopoteza vitambulisho vya kura wakiruhusiwa kutumia hati za kusafiria, leseni za udereva au vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
  18. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum: Kila raia ana wajibu wa kutumia haki yake ya kikatiba kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Salum Nyamwese amewahimiza wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kila raia ana wajibu wa kutumia haki yake ya kikatiba badala ya kutegemea wengine wawapigie kura. Nyamwese...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, vimejipanga vyema, na tumevijengea uwezo wa kutosha

    Bi mkubwa anaendelea kuwatisha watanzania ambao wapo tayari kutetea nchi yao. Ila hivi vitisho vina mwisho wake kwa wale wote wanajiona ni bora zaidi kuliko watanzania wengine. ========== "Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ndani ya Taifa hili vimejipanga vyema, tumevijengea uwezo wa...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Katavi wahimiza wanafunzi kuwa wazalendo na kutojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani

    Polisi wameamua! Kila kundi walipa semina ya bure kabisa katika kipindi hichi cha uchaguzi. Yani uchaguzi wa mwaka huu umekuwa kama vita maana hizi elimu ni kama vile kuna vita vinakuja hivi ============== Wanafunzi Shule ya Sekondari Mazwe Kata ya Ipwaga Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi...
Back
Top Bottom