uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura oktoba 29

    Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo Oktoba 24, 2025 baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura kwa kuwa Serikali imejipanga na kuwahakikishia wananchi hali ya amani na utulivu katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Wamesema, tarehe 29...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Mwaswengu awataka Wananchi Songe kudumisha Amani na Utulivu

    Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Mwaswengu, ambaye ni Polisi Kata ya Songe, Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, amewataka wananchi wa kata hiyo kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kampeni na kuelekea Uchaguzi Mkuu. Wito huo umetolewa Oktoba 24, 2025, wakati Mkaguzi huyo...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtendaji mkuu wa TANROAD aungana na Rais Samia kuhimiza watu kupiga kura

    MTENDAJI MKUU WA TANROADS AHIMIZA WATUMISHI KUSHIRIKI KUPIGA KURA OKTOBA 29, 2025 Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amewahimiza wafanyakazi wote wa TANROADS nchini kote kujitokeza kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Jumatano...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: Wanzibar acheni mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wakulima (AAFP), Said Soud Said, amewataka Watanzania, hususan Wazanzibari, kuacha mihemko na misukumo ya kisiasa inayoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi. Soud ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi za...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 SP Jumbe: Wananchi tuzeni amani kuelekea uchaguzi mkuu, jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja

    Mkuu wa Polisi Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha, Mrakibu wa Polisi SP Shaban Jumbe amewataka wananchi wa Wilaya ya Karatu kuendelea kutunza amani na utulivu huku akisisitiza kuwa jukumu la kulinda usalama wa jamii ni la kila mmoja. SP Jumbe ametoa rai hiyo leo Oktoba 24, 2025 wakati akiwatoa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa ACT Wazalendo wakwama kuapishwa

    Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache! Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi siku hiyo! ================ Mawakala 27 wa mgombea udiwani wa kata ya Masaba, Wilaya ya Butiama...
  7. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Marwa Kisyeri: Msidanganyike kuvuruga amani ya nchi na kutojihusisha na maandamano yasiyo na tija

    Amani inazidi kupigiwa debe kila kukicha. Na jeshi la polisi wakiwa msatari wa mbele sana kipindi hichi. Uchaguzi ukiisha hapa hizi bwebwe zote kwisha ================== Mkaguzi Msaidizi wa Kata Bulongwa wilayani Makete Mkoa wa Njombe Marwa Kisyeri Oktoba 24,2025 ametoa elimu kwa vijana...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Haki za Binadamu haziruhusu kuzuia wengine kwenda Kupiga Kura, atakayefanya hivyo Sheria inaruhusu ashughulikiwe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa. Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhende: Tutaanzisha dawati maalumu la kisheria la kuwasaidia wale wananchi wasiokuwa na uwezo wa kupata wanasheria

    Kutokana na changamoto za msaada wa kisheria zinazodaiwa kuwakabili wakazi wa Jimbo la Bukene, Mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) John Luhende, ameahidi kuanzisha dawati maalumu la kisheria na kuajiri wanasheria kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jimbo...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Oktoba 29 imetangazwa kuwa siku ya uchaguzi, hivyo ni marufuku kuandamana kwa kigezo cha kudai haki

    Huyu jamaa naye anamikwara sana! ==================== Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, amesema serikali haitatoa kibali chochote cha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa siku hiyo imetengwa mahsusi kwa ajili ya wananchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nyarandu: Vijana wote wawe mstari wa mbele, wawasaidie wazee watakapofika kupiga kura

    Aliyekuwa Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amewataka vijana siku ya uchaguzi kutoa nafasi kwa watu wasiojiweza kama Wazee, walemavu na wajawazito kupiga kura kwanza ili kutimiza haki hiyo ya kikatiba. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Mwanza, Nyalandu...
  12. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vita ya Kisaikolojia katika uchaguzi: Matumizi ya Jeshi na Polisi

    Katika vita yoyote, mshindi mara zote ni yule mwenye kisosi jasiri, nyenzo za vita, na mbinu za ushindi. Hata hivyo, ujasiri ndio kiambata muhimu zaidi katika saikolojia ya mwanajeshi. Bila ujasiri na morali, nyenzo za vita zinaweza zisiwe na maana sana, na unaweza ukajihakikishia kuwa, jeshi...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda atoa elimu Zanzibar ya namna ya kupiga kura Oktoba 29

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Magari ya Polisi mnayoyaona barabarani yapo ili kuimarisha ulinzi

    Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa kuwepo kwa magari ya polisi barabarani ni kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi “Magari ya polisi...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi wa dini: Hakuna kitabu cha dini kinachoonyesha kiongozi wa dini akipingana na Serikali

    "Hakuna Kitabu Chochote Cha Dini kinachoonesha Kiongozi wa dini anapingana na Serikali, bali Vitabu Vinaonesha kuwa hata Yesu alitoka kilomita nyingi kwenda kuhesabiwa"- amesema Kiongozi wa Dini kwenye Kongamano la Amani Nyanda za Kusini Soma pia GE2025 - Viongozi wa Dini Mwanza: Serikali...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Mbeya, Benno Malisa: Mnaondamana mjionye kwanza kabla ya kuonywa, vyombo vya ulinzi vipo imara

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye kabla hawajaonywa na vyombo vya ulinzi na usalama Malisa amesema hayo wakati akitoa tamko mahususi kwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Oktoba 29 tutarusha makombora kuwajibu wahuni wanaotaka kuvunja amani

    Nchi hii ukidai haki unaitwa Muhuni kisha kuna kikundi kitakwambia wanakushughulikia alafu Mkuu wao anamaliza kwa kusema anaongoza kwa kutumia 4R, hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywinywi :FeelsWeirdMan: --------------- Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa elimu ya Juu Tanzania TAHLISO ambaye pia...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Tumejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi

    Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi kuhakikisha usalama na kuwa uchaguzi unafanyika kwa amani "Na yote hii ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 UDASA: Hatujasema tamko letu ni msimamo wa UDSM wala Viongozi wake. Tutawachukulia hatua wana-UDASA wasiotekeleza jukumu hili

    Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) na UDSM wameendelea kumenyana kuelekea uchaguzi Mkuu. Baada ya UDSM kutoka na tamko linalopinga tamko la UDASA, ambapo pamoja na mengine lilisema kuwa tamko la UDASA si msimamo wa UDSM na viongozi wake. UDAWA nao wamekuja kujibu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Makosa ya kiuchochezi Mitandaoni hayavumiliki, ukihusika unashughulikiwa kisheria

    Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa yeyote atakayevunja sheria Jeshi la Polisi litahakikisha anashugulikiwa kwa mujibu wa sheria Aidha ameonya kuwa sheria ifuatwe na...
Back
Top Bottom