uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

    Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba. Sababu ni ipi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaiza: Hakuna mwana CHADEMA aliekuja Chaumma aliesema anarudi nyumbani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa anazo haki zote za kushiriki uchaguzi huo. Akizungumza na wananchi wa Segerea, Kaiza aliahidi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!!

    Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki. Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki. Imefika...
  4. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM ni Baba wa siasa za kimkakati Afrika

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni urithi wa kihistoria na kisiasa wa Tanzania, lakini pia ni somo la uthabiti barani Afrika. Kimekuwa chama pekee cha ukombozi ambacho hadi leo bado kinaendelea kushika hatamu za uongozi kwa amani na utulivu. Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umeleta upeo mpya wa...
  5. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Zuio la Mahakama halijatufanya CHADEMA tusitishe Michango ya Tone Tone

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema chama hicho hakijafunga mifumo ya uchangiaji wa chama hicho maarufu Tone Tone, akiwaomba Wanachama na wapenzi kuendelea kukichangia, kwani kwa makatio ya kujirudia. Mnyika ameyasema hayo leo Agosti 27 alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa...
  6. feyzal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naomba ufafanuzi: kuhusu wagombea wa urais kupewa gari landcruiser V8 GX mpya.

    Wakuu habari Nimeona kua Tume ya taifa ya uchaguzi itagawa magari kwa vyama vyote vinashindana katika nafasi ya urais ,kila chama itapata Land cruiser V8 GX mpya. Swali naomba kujuzwa hii system ipo kwa miaka yote ya uchaguzi tangu huko nyuma? Na je kuna sheria kabisa inayosema kuhusu jambo...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kawa wakwanza kurudisha fomu INEC

    Rais Dk.Samia Suluhu Hassan amewatangulia wagombea urais wa vyama vingine kurudisha fomu ya uteuzi katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndejengwa jijini Dodoma leo, Jumatano Agosti 27, 2025. Hatua hiyo, inampa nafasi mkuu huyo wa nchi ya kusubiri uteuzi wa INEC, kisha kuanza...
  8. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania GE2025 INEC kugawa magari mapya kwa wagombea Urais ni matumizi mabaya ya fedha

    Wasalaam. Kwa nchi maskini kama hii yenye umasikini uliokithiri inashangazwa kuona wagombea urais wanapewa magari ya anasa aina hii. Kama mgombea urais hana hata usafiri kupiga kampeni alichokua fomu ya nini? Huyu ikitokea bahati mbaya akashinda urais si anaenda kuwa mwinzi kuliko ccm ya leo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hii Media coverage anayofanyiwa Makonda, nyama choma, kubandika mabango na hizi kofia kabla hata ya kampeni ni gharama ya nani? na return ni ipi?

    Wakuu kuanzia jana naona vyombo vingi vya habari vilianza kurusha kuwa Paul Makonda atachukua fomu kesho (ambayo ndiyo leo) ikatangazwa uwepo wa nyama choma nk. Leo siku ya tukio 26 Aug, 2025) ameenda kuchukua fomu akifuatana na nyomi ya watu ikiwa na ngu za chama lakini kubwa zaidi zikiwa na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nini CCM wasibadili miongozo yao ili iendane na matakwa yao ya Sasa?

    CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali. CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye hakujua Imani ya Chama chake. Watu waliziimba, wakazielewa, wakazitumikia. CCM ya zamani ilikuwa na...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanga ni kubwa kuliko Ummy Mwalimu, ila hizi ni hasira tu kuliko uhalisia

    Umy tulia dada yangu, CCM ina kazi nyingi sana. CCM ni serikali ndani ya serikali, ina macho na masikio mengi na mikono mingi sana. Sema kweli kama hukutoa chochote kwa wajumbe hawa. https://www.youtube.com/live/4gphFo1NSv0?si=0wN2U524hCofQHh4
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 wakati Chama Kikuu cha Upinzani Kimewekewa Vikwazo Mahakamani ni Uchaguzi Huru na wa Haki?

    Ikiwa uchaguzi ni kitu kikubwa katika Nchi na madhara yake yanaweza kuwa Mbaya Sana kama tukikosea, sasa tulisikia Mahakamani kwamba vitendo vya kuweka vikwazo Kwa Vyama vya upinzani Mwaka wa uchaguzi, sio jambo la haki. Je wahusika wapo tayari kupisha uchaguzi huru na wa haki
  13. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania haiwezi kuvushwa na CCM ,HAIWEZEKANI ni lazima itafutwe namna ya kuikomboa hii nchi kwa mara nyingine

    Ndivyo ilivyo na msio ukweli , CCM haiwezi tena kuikomboa hii nchi na kuipeleka kwenye maendeleo ya kweli yanayo lingana na rasilimali zilizopo na sasa ndio kabisaa imesha jiingiza kwenye tope zito kabisa
  14. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babalevo: uwezo ule wa kuwasemea wananchi ndiyo sifa yangu pekee kubwa niliyonayo....

    Kazi kubwa ya diwani/mbunge ni kuwasemea wananchi wao matatizo yanayosibu ili kupata ufumbuzi kwa maendeleo ya watu wake hayo mengine i.e:kutunga sheria,kupangua hoja,kujadili miswada ni ziada tu na ujanjaujanja ili kuwaibia watu kwani hata madiwani wanatunga sheria ndogondogo bwana? Hili...
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba, nilikataa mipango yao ya kuuza bandari na rasirimali za nchi

    Mpeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina anasema kuwa sababu ya yeye kufukuzwa bungeni ni baada ya kuwakaba sana na kupinga baadhi ya mipango ikiwemo kuuza bandari na rasilimali za nchi. "Viongozi uliowapa dhamana wamefika mahali wanasema kwamba wanakula kwa...
  16. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia atakavyopata Ushindi Kupitia Wagombea wa Ubunge wa CCM

    Uchaguzi Mkuu wa 2025 unakaribia. Rais Samia Suluhu Hassan anaonekana kuwa na nafasi kubwa ya kushinda na moja ya silaha zake kuu ni aina ya wagombea ubunge waliopitishwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wagombea Wenye Ushawishi CCM imepitisha wagombea wanaopendwa na wananchi na wenye historia ya...
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Inawezekana CCM haikuwa Makini katika kuteuwa Wagombea ubunge baada ya Kura za Awali

    Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao CCM inaweza kukosa kwa mfano Tarime Mjini, Tanga mjini na kwingineko...
  18. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babalevo ni Traore wa Kigoma mjini asipuuzwe, uongozi siyo elimu!!

    Walikuja wasomi kina Dkt Kaburu walifanya nini cha maana? Wabunge wasomi wangekuwa wa maana kungekuwa na ufisadi kila leo? Kujua kuongea kiingereza ndiyo kipimo cha elimu kwa waTanzania walio wengi na ingekuwa hivyo basi nchini uingereza wote wangekuwa wabunge
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC): Polepole hana uelewa na ufahamu kuhusu mfumo wa Uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imekanusha taarifa zinazodai kuwa mfumo wa uchaguzi unaotumika na Tume hiyo umeunganishwa na mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na chama cha siasa, hususan Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na madai kwamba zoezi la upigaji kura tayari...
Back
Top Bottom