uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT mmeshindwa hata kuvunga kuwa nyie sio CCM B? Eti Mpina kama mgombea Urais! Watu sio wajinga bana!

    Kulingana Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa; "Vyama vinavyopata ruzuku ni vile vilivyopata angalau asilimia tano ya kura zote halali zilizopigwa katika Uchaguzi Mkuu na vyama vyenye Wabunge au Madiwani. Kigezo kinachotumika ili chama kiweze kupata ruzuku ni kuangalia matokeo ya uchaguzi kuona...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

    Nimesikitishwa na kutishika na video hizi zinazodaiwa kuwa za Wananchi jimboni kwa Job Ndugai wakishangilia kifo chake
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kumbikizi: Yericko Nyerere aliwahi kusema atakayepigwa kwenye uchaguzi wa ndani wa CHADEMA hakuna kuhama chama, ila leo kiko wapi?

    Wakuu mnakumbuka hii kutoka kwa Yericko Nyerere? Alipokuwa akihojiwa siku ya uchaguzi wa CHADEMA kwa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti, alisema kuwa ukipigwa hakuna kuhama chama lakini baada ya timu yake kupigwa ameshindwa kuvumilia😂
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Festo Sanga ashinda Kura za Maoni Jimbo la Makete

    Festo Richard Sanga ambaye anatetea nafasi yake amepata kura 4,104 akimshinda Dr.Toba Nguvila aliyepata kura 2,359 na kufuatia na mfanyabiashara Award Mpandilla aliyepata kura 946.Wengine ni Prof.Norman Sigalla 103 aliyepata kura na Selina Msigwa aliyepata 21.
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Aggrey Mwanri kwenye harakati za kutafuta kura za wajumbe aimba wimbo wa "Asimama peke yake"

    Wakuu, Yaani huyu jamaa ni full comedy. Wajumbe wote wamebaki na vicheko. Huyu asiposhinda CCM watatuambia kura zake walizipeleka wapi
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kimewaka CCM Kibaha: Wajumbe wawakataa watia nia wazee wa udiwani, wasusia kikao

    Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Kibaha wametoka nje ya ukumbi wa Mkutano maalum wa kuwatambulisha watiania wa Ubunge na Udiwani uliofanyika kwenye Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha. Wajumbe hao wamechukua hatua hiyo mara tu baada ya kumaliza kutambulishwa majina...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM yataka wagombea udiwani wote waliopitishwa na walio kwenye orodha ya awali kurejeshwa ili wapigiwe kura za maoni

    Taarifa ya Sekretariati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyotolewa Agosti 1, 2025 imewataka Wagombea wote wa Udiwani wa Kata, waliopitishwa na Kamati za Siasa za Mikoa warejeshwe ili wakapigiwe Kura za maoni. Pia, taarifa hiyo imeeleza wote waliopo kwenye orodha ya awali waliyotumiwa Makatibu wa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Itakuwa jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi, tunasikitika wana matatizo mengi

    Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu. Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Simon Sirro ndio Mfano wa Polisi Tanzania? Je, Polisi wote ni CCM?

    Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania? Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi. Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio? Hapa ni aliyekuwa IGP Mkuu wa Mapolisi wote Nchini baada ya kuvua sare ya Polisi Ndio maana kila siku...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkojani amwaga machozi akililia laki 5 ya fomu ya Ubunge baada ya jina lake kukatwa

    Wakuu! :D:D sasa hii ndio kazi yako Mkojani, endelea kuchekesha Watu tu! Mwigizaji na mchekeshaji Abdallah Mohamed Nzunda, maarufu kama Mkojani, amemwaga machozi akidai kufadhaishwa na matokeo ya kura za maoni za Ubunge Jimbo la Temeke kupitia CCM. Adai Wajumbe walimtia moyo sana kuwa atatoboa
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Askari Magereza wamsukuma Lissu kidogo aanguke Kizimbani wakati akiaga Mahakamani

    Wakuu! Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, alisukumwa na baadhi ya Askari wa Magereza wakati akitoka kizimbani akiwa anaaga kwa waliofika kufuatilia mwenendo wa Kesi yake ya Uhaini, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, hali iliyomfanya akaribie kuanguka kabla ya kudakwa na Askari wengine waliokuwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili wa Jamhuri aomba Mahakama iahirishe tena Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama kuahirisha kwa mara nyingine usikilizwaji wa kesi hiyo. Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Agosti 13,2025

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu baada ya kuahirishwa Julai 15, 2025 inatarajiwa kuendelea tena leo, ambapo bado inasubiriwa hatua ya Ofisi ya Mwendesha mashtaka (DPP) kufanya uamuzi wa kufikisha kesi hiyo Mahakama Kuu ambayo ina hadhi ya kisheria. Mara ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 EFM si mjiite tu ECCM? Mnampongeza Rais Samia utafikiri nyie ndio wajumbe!

    Eti mnapongeza Mwenyekiti kwa kutoa majina:BearLaugh::BearLaugh: Kama nani? Wajumbe mliokuwa mnayasubiri kwa hamu ili mkachinje wagombea kwenye kura? Hiki kituo kibadilishwe tu jina ili watanzania wawe wanajue kuwa mpo kwaajili ya kutoa habari za chama, mambo mengine wakatafute kwenye vyanzo...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

    Wakuu! Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitu cha nusu saa tu mmetufanya tukeshe na hamjatoboa, Dira ya miaka 25 wataweza kuitekeleza?

    Alooooo, yaani picha limejirudia, kila walichobeza kimerudi kwa namna nyingine🤣🤣🤣 ulianza mpasuko sasa hili! Yaani kuchuja tu majina na tayari yapo mmekwama kiasi hiki, nyinyi hiyo dira yenye mambo kibao mtaweza kuitekeleza kweli tufike kwenye Tanzania tunayoitaka?:KEKWlaugh::KEKWlaugh: Sasa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Kamati Kuu CCM yamaliza kikao saa 5 usiku, yapitia na kuchuja mapendekezo ya majina ya Wagombea

    Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Taifa, iliyoketi Jumatatu, tarehe 28 Julai 2025, Dodoma, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakitoka kikaoni, baada ya kikao hicho kumalizika usiku huu. Fuatilia...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama 11 wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali - Wilayani Nkasi‎

    Jeshi la Polisi mkoa wa Rukwa limewakamata wanachama 11 wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (CHADEMA) kati yao wanaume 7 na wanawake 4 wakiwemo viongozi wanne wa chama hicho kwa kufanya mkusanyiko usio halali. Viongozi hao ni Winfrida Joseph Khenani (Katibu mwenezi wa Baraza la vijana CHADEMA...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Moza Ally kuwania Ubunge Kinondoni kupitia CHAUMMA

    Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana uhakika wa kushinda nafasi hiyo iwapo Chama chake kitampatia ridhaa ya kugombea. "CHAUMMA kikinipa...
Back
Top Bottom