uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtendaji Bodi ya Ithibati: Ni kosa la Jinai kufanya uandishi wa habari bila Ithibati, adhabu ni kifungo miaka mitatu

    Akizungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Wakili Msomi Patrick Kipangula Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari amesema kwamba kwa waandishi wa habari ambao hawana Ithibati na wakaendelea kufanya uandishi wa habari...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Polepole hana athari zozote kisiasa na kijamii. Asanteni Watanzania kwa kumpuuza

    Tabia za mpambanaji manafiki daima huwa ni pamoja na kua mwoga, mfitini, muongo na mzandiki. Na mara zote nia yake hua ni uchochezi na dhamira yake ovu hua ni migawanyiko. Ni jambo la maana sana waTanzania wamempuuza katika umoja wao na wamebaki wamoja. Maoni, mtazamo na mawazo yake kwa jamii...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Hakuna chama kinachotaka kichafuke kwenye shughuli ya mchakato wa Uchaguzi

    Wakuu, Akizungumza kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025 Kamanda Muliro amesema kwamba watahakikisha Uchaguzi utafanyika kwa amani na vifaa vya Uchaguzi vitalindwa
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole acha maneno fanya vitendo. Kama mchakato wa mgombea Urais wa CCM umekosewa, peleka barua ya malalamiko kwa Msajili wa Vyama

    Bwana Polepole ulichoongea tumekusikia, Ila sisi Watanzania huwa tunasema kuwa maneno matupu hayavunji mfupa!. Tumeshaona precedent ya watu wasiokubaliana na mwenenendo wa mambo katika vyama vyao ambavyo wao wanaamini katiba za vyama vyao zikivunjwa wakiandika barua rasmi kwa msajili wa vyama...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Omary Mjengwa: Vyama vingi vya Tanzania havina siri. Unamueleza Mmarekani Tanzania ipo hivi na hivi ili iweje?

    Wakati akizungumza katika mkutano wa vya viongozi wakuu wa vyama vya siasa wakipatiwa mafunzo ya sheria ya gharama za uchaguzi. MWanadiplomasia na mbobezi wa Itifaki Omary Mjengwa amegusia suala la usiri ambapo ameeleza kuna vyama vya siasa havina siri. === "Vyama vingi Tanzania havina siri...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyejitokeza kupinga Mpina kuteuliwa kugombea Urais ACT Wazalendo afunguka. Kasema hajatumwa na mtu yeyote

    Wakuu. Mambo yanaendelea kuwa mazuri. Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa hajatumwa na yeyote kupinga Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kissa: Kipindi hiki cha Uchaguzi tutawatumia Mgambo kutazama Usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Akiba (Mgambo) kwenda kuwa wazalendo na nchi yao na kuilinda kwa wivu mkubwa ambapo pia ametoa ahadi ya serikali kuwatumia kwa ajili ya kutazama usalama katika kipindi cha uchaguzi. DC Kissa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaiomba halmashauri kuu ya taifa kuchunguza ushindi wa mgombea aliyeongoza kura za maoni jimbo la Rorya

    Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali. Ninaiomba...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima, ulitafakari kwa kina Madhara, Matokeo na Maana halisi ya kauli yako ya kutoa siku 10 kwa Mamlaka kutekeleza madai yako?

    Unajua kuwa kauli yako ni sawa na kuitisha Serikali iliyopo madarakani na yaweza hesabiwa kuwa ni Uhaini? Ukweli Nchi yetu imejaaliwa viongozi wenye hekima na huruma hilo ndilo jambo la kumshukuru Mungu. Kwa upendo mkubwa nakushauri utazame vizuri mahali uliposimama na uombe radhi mapema kwa...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina na Ferej Jumanne wachukua Fomu ya kuwania Urais Ofisi za INEC, Agosti 15, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhi fomu za uteuzi kwa mgombea wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina, na mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais, Ferej Jumanne, kupitia Chama cha ACT Wazalendo. Hafla hiyo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naweka kumbukumbu ya rejea: wanaCCM wanajengwa na mfumo wa Chama na hakuna mkubwa zaidi ya mfumo

    Sitozungumzia yaliyotokea huko nyuma lakini Uzi huu ubaki kumbukumbu ya rejea kwa vizazi vijavyo kwenye mambo yafuatayo kuhusu CCM: 1. CCM ni mfumo 2. CCM ni mfumo mkubwa kuliko mifumo watu 3. Umaarufu wa wanaCCM unajengwa na mfumo 4. Hakuna ndani ya CCM ambaye ni mkubwa kuliko mfumo 5...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao

    Agosti 13, 2025 wakati Humphrey Polepole akiendelea na mazungumzo yake kupitia mitandao ya kijamii ameeleza kuwa CCM inakaribia kutekwa na Wanamtandao na watu wanajua ingawa wanawaogopa ila yeye hawaogopi. "Huku sisi tunakaribia kutekwa na kundi la wanamtandao mtu yeyete aliyekuwepo toka zamani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kama sio uonevu wa makusudi, Lissu peke yake anawezaje kupanga uhaini wa kupindua serikali? Wahaini wengine walioshirikiana na Lissu wako wapi?

    Unajua serikali yetu hii na chama chake tawala mara nyingine ifikie mahali ione aibu kutumia njia za kimabavu kuonea watu. Ukitaka kuonea watu, basi fanya kwa namna ambayo watu watakuona una akili basi, sio kama mlevi wa pombe kali. Hivi umewahi kusikia duniani mtu mmoja peke yake anapanga...
  14. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania GE2025 Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025) wamekusanya Bilioni 86.31

    https://www.youtube.com/live/Kl7JY-zdy0c?si=TWJ9NKMmXZrdQII6 Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Mlimani City jijini Dar Es Salaam ambapo leo tarehe 12 Agosti 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya harambee ya kuchangia Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wawakilishi, Wabunge na...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Nikipata Urais nitafanya mabadiliko ya Katiba

    Mgombea Urais kupitia Chama cha maendeleo kwa Umma (CHAUMA) Salum Mwalim amesema kuwa Kama akipata ridhaa ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha anafanya mabadiliko ya Katiba ya nchi Pamoja na mifumo ya kisheria. Mwalimu ameyasema hayo mara baada ya kuchukua fomu ya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi wangeweka kanuni za kusimamia mchakato wa viti maalum bungeni ili kuzuia yale yaliyotokea mwaka 2020 sakata la wabunge wa Covid 19

    Wakuu, Kwa mambo yanavyoenda, ni dhahiri kuwa kuna uwezekano mkubwa CCM ikashinda ubunge kwa 99% kama ambavyo ilitokea mwaka 2020 Maana yake kuna uwezekano wa kukosekana kwa upinzani bungeni kama ilivyokuwa kwenye uchaguzi wa 2020. Kuna sheria zozote zilitengenezwa na tume kukabiliana na...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania: Tishio kwa CCM uchaguzi 2025

    Sote tunakumbuka kuwa tangu nchi yetu ipate uhuru kumekuwa na ukuaji mkubwa wa siasa za upinzani. Hali hiyo ya ukuaji imeanza tangu uchaguzi wa mwaka 1958,tukazuia vyama vingi lkn bado ndani ya TaNU kukawa na tishio la upinzani mkubwa uliotishia falsafa za Hayati Nyerere. Wakaibuka akina...
  18. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni Mkweli. Mimi (Britanicca) Mwezi wa Kwanza 2021 nilisema hili

    Huyo mzee anayekuwa anapeleka bahasha nilimjua kwa jina si vema kutaja alitumwa na nani ! I Niliandika Twitter Pitia 👇🏾
  19. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025: CcmA vs CcmB vs CcmC.. ..HII NI MAAJABU!!

    Unaambiwa kinyang'anyiro cha uchanguzi wa mwaka huu ni Mama Samia vs Salum Mwalim vs Mpina.. Uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya futuhi ni zaidi ya cheka tu ni zaidi ya sinema zetu kusema kweli ni vichekesho + comedy...nchi hii inadidimia na bado kuna nyumbu na vyura wa kijani unawasikia wakisema...
  20. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maneno ya Polepole hayawasaidii Watanzania kwa sasa, ni unafiki

    Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!! Nivyema akawashitaki wote anaowatuhumu kwa makosa yao siyo kuwatonesha vidonda watanzania ni uhuni.
Back
Top Bottom