uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wadau Vipi huko mliko kweli kuna harakati za Uchaguzi 2025? Mimi nafsini mwangu nishasahau na kupotezea 100%

    Katika historia ya Tanzania huu mwaka ni wa kipekee sana kwangu, tangu niote Tanzania itavurugika mwezi wa 2 yaani February 2025, nafsi yangu ilishafuta na kupotezea kuhusu uchaguzi wa 2025. Nimebaki kama mchina kichwa wazi nachojua ni kwamba Mungu ashaimuru nguzo kuu ya Taifa kufanya ipasavyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni Uchaguzi 2025, Iko wapi REDET ya Dr. Benson Bana? na wengine!!

    Nimejiuliza ni kwa nini REDET - A University of Dar es Salaam centre for Research and Education for Democracy in Tanzania, haifanyi utafiti (survey on opinion polls) kama ilivyofanya mwaka 2020 Tanzania ilipokaribia uchaguzi mkuu. This time, nafikiri REDET wanapaswa kufanya utafiti wa kisayansi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Taarifa ziwafikie popote walipo ya kwamba CCM ni namba moja daima

    𝗧𝗔𝗔𝗥𝗜𝗙𝗔 𝗭𝗜𝗪𝗔𝗙𝗜𝗞𝗜𝗘 𝗣𝗢𝗣𝗢𝗧𝗘 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗪𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗖𝗖𝗠 𝗡𝗜 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗠𝗢𝗝𝗔 𝗗𝗔𝗜𝗠𝗔 Hayo sio maneno tu ya msanii Alikiba bali ameyanukuu kutoka kwa Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba CCM ni namba moja daima, wapinzane wakae wajue hilo, waache kujisahaulisha...
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Mkinichagua nitajenga viwanda vya matunda

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema akichaguliwa kuwa Rais atahakikisha Viwanda Vidogo vidogo vya kusindika Matunda vinaanzishwa katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga ili kuwasaidia Wananchi kiuchumi tofauti na sasa Matunda hayo yanaoza...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais Zanzibar atinga na Bodaboda kuchukua fomu

    Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais. Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ikishinda, ni chama kipi cha upinzani kitaibuka nafasi ya pili na ya mwisho kwenye uchaguzi ?

    Katika vyama vya siasa 17 vyenye wagombea urais waliothibitishwa na tume huru ya Taifa ya uchaguzi kushiriki uchaguzi mkuu wa October 29,2025, ni wazi CCM itaibuka mshindi wa jumla kwenye urais, ubunge na udiwani, kwa namna ilivyojipanga na kujiandaa. Kama mdau wa jukwaa hili makini la siasa...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Amejiandalia wapinzani wake, amewapa magari na nini cha kumsema

    Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake. Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka. Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!! What a shame kwenye uongozi wa Nchi yetu. Hawa hawawezi kukupa uhalali. No legitimacy kwenu. Watanzania hawatakubali...
  9. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nipeni sababu, kwa nini Askofu Bagonza hajagombea hata Udiwani?

    Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati. Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule. Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime. Askofu Bagonza kwa nini...
  10. Chakaza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Baada ya Scandal Hizi Kuwekwa Wazi, Kuna Awezaye Kupanda Jukwaani Kujinadi? Wizi na Ufisadi ni Aibu!

    Hivi binadamu hawa wa Kitanzania aibu wamepeleka wapi? Aibu hizi za wizi na ufisadi wa mali za umma kutokea katika viunga vya ofisi kuu kama unavyo wekwa wazi na mtu mwenye hadhi ya Ubalozi, Katibu wa uenezi na itikadi wa chama tawala, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, na mtu wa karibu kabisa...
  11. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Kwanini Rais aliyepo Madarakani anafanya kampeni wakati bado Yuko Ikulu?

    Habari ndugu zangu, hivi huu ndiyo uchaguzi wa haki na tunategemea Kuna siku upinzani utakuja kushika nchi? Yaani rais anatoka Ikulu anaenda Kwenye kampeni Kisha anarudi tena Ikulu kupumzika. Kwanini kipindi kama hichi Cha kupambania uongozi Nchi asikabidhiwe mkuu wa majeshi mpaka pale...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna kila dalili CCM wakakatisha kampeni. Sababu ni hizi hapa

    1. Kutokuwa na hoja makini na jadidi. Wamebaki na vijembe kejeli na majigambo 2. Mafunuo ya Polepole yanawabagaza vibaya sana na kuwaacha uchi.. Anaamsha hasira ya watanganyika 3. Wasombwaji kwa maroli kukaidi 4. Zomeazomea.. Ikifanikiwa kwenye kampeni moja tu huko kwingine itakuwa ndio ada...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nashauri CCM iteua mwandishi kutoka kila chombo wa kutembea naye

    Haya mambo ya na hujuma kila mahali. Jana nadhani yule ni Idda Mushi, ndiye alipewa kazi ya kuripoti ziara ya kampeni.! Naongelea taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku Kwa kushirikiana na Mhariri wa ITV walikuwa wanaonyesha sehemu ambazo watu hawakukaa kwa sababu ya jua kali, mwisho kabisa...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, inakuwa ngumu zaidi kwa upinzani kuchukua madaraka

    Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa sababu hii, na baada ya kuona kua wanaweza fanya chochote kwenye figisu na hakuna impact, ni ngumu...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hoja yenye mashiko: Ikiwa mahakama itamrejesha Mpina apewe kura za hasira dhidi ya wahuni

    Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais. Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi. Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
  16. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye. Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Haya magari waliyopewa Wagombea Urais pamoja na madereva yanakuja na mafuta yake? Au hela ya mafuta inatoka kwenye fundraising?

    Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za kiuchumi. Sasa mtu kapewa V8 na dereva ili azunguke nchi nzima kupiga kampeni swali langu ni je...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwana FA anaogopeka, hasemwi na anaonekana ni kijana aliyefanikiwa! Wasanii wengine kuwa CCM inaonekana nongwa?

    Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba. Sababu ni ipi...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaiza: Hakuna mwana CHADEMA aliekuja Chaumma aliesema anarudi nyumbani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Agness Kaiza, leo tarehe 27 Agosti 2025 amerejesha fomu yake ya kugombea na kusema Tume ya Uchaguzi imeridhia kuwa anazo haki zote za kushiriki uchaguzi huo. Akizungumza na wananchi wa Segerea, Kaiza aliahidi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!!

    Uchaguzi 2025 ni ufisadi mkubwa!!! yaani uchaguzi ambao kwasasa kila mtanzania anajua hautakuwa wa huru na haki. Wagombea wanazuiwa au kufungwa!!! halafu Tume ya CCM inagawa magari kwa wagombea Uraisi bure ! kama hongo pesa za walipa kodi wakati nchi yetu ni masikini kiasi hiki. Imefika...
Back
Top Bottom