uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majizzo apata ajali mbaya akiwa kwenye kampeni za CCM Zanzibar, wawili wafariki

    Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili. Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 RPC Ruvuma: CCM ni kubwa huwezi ukaingia ghafla na kuishinda, sisi tunatetea wote mdogo na mkubwa

    Kwahiyo hapa Kamanda ndio ametuambia kimtindo kwamba CCM washashinda hata wananchi tufanye nini? Yaani wameshachagua upande wao kwa maana mwingine, tuwatake tusiwatake hakuna kitu kitabadilika! Hawa ndio wananchi wanataka waweke imani zao kwao kuwalinda hasa inapotokea kuna mtazamo tofauti...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wa JKT Waonywa Kuhusu Mitandao, Waandaliwa kwa Mapambano ya Taifa

    Brigedia Jenerali Paul Masinde amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya Operesheni Nishati Safi katika Kikosi cha Mgambo 835 JKT wilayani Handeni, mkoani Tanga, kutumia ipasavyo mitandao ya kijamii na kujiepusha na kujiunga na vikundi vya uhalifu. Kwa upande wake, Kaimu Kamanda wa Kikosi hicho...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange: Serikali yatoa maagizo ya kuwatambua Viongozi wa Dini wasiomuunga mkono Rais Samia

    Ameandika Mangekimambi "Amkeniiiiiii, mnalala mna raha gani na huku Mchengerwa, mkwe wa Rais katuma barua kwa wakuu wa mikoa wote wapeleke listi ya wachungaji ambao hawapo na Samia. Yani ni hivi Mchengerwa anataka listi ya majina ya wachungaji ambao hawapo upande wa Samia na list itaenda ikulu...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Mvumi: Watu wanapewa tu cheo kidogo, wanatembea kama wana majipu

    Wakuu, Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji, amesema baadhi ya viongozi wa umma wakishapewa nafasi za uongozi wanasahau utu kwa wananchi wanaowaongoza. Kibajaji ameyasema hayo jijini Mbeya, alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za CCM Jimbo la...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aliyekuwa mtiania Jimbo la Ulanga Abdallah Kirungu amuombea radhi mgombea aliyesema Ulanga watamroga mtu ambaye hatampigia kura Samia

    Wakuu, Aliyekuwa mtia nia wa Ubunge jimbo la Ulanga na Mshindi wa Pili wa Kura za Maoni Mkoani Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Abdallah Kirungu, amemuombea radhi mgombea wa nafasi ya Ubunge wa jimbo hilo Mhe Salim Alaudin Hasham kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia alivyokwepa kumrushia vijembe Zitto Kabwe kufuatia maneno ya Baba Levo

    Mgombea Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan amesema kwa Jimbo la Kigoma Mjini Wagombea Ubunge wa mwaka huu wa CCM Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Babalevo na Zitto Zubeir Kabwe wa Chama cha ACT Wazalendo wote ni wanae na wananchi ndio watakaoamua nani awaongoze. Dkt. Samia ameyasema...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanu Hafidh Ameir: Nimegombea Jimbo la Makunduchi maana tuko nyuma kwenye kila kitu

    Wakuu, Wanu ameyasema hayo huko Viwanja vya Mtende kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho kwa Wilaya ya Kusini Unguja, uzinduzi huo Mgeni rasmi ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla.
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Masanja Kadogosa: Shida na changamoto za wananchi ndio zimenifanya niache kazi kwenye Shirika la Reli

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bariadi Vijijini, mkoani Simiyu kupitia CCM, Masanja Kadogosa, amesema sababu kubwa ya kuacha kazi katika Shirika la Reli Tanzania (TRC) ni kutokana na shida na changamoto zinazowakabili wananchi wa jimbo hilo. Kadogosa, ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TRC...
  10. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais CUF: Mtoto akizaliwa kabla hajapewa jina tutampa NIDA

    Mgombea wa CUF Gombo Samandito Gombo ameahidi endapo atashinda atahakikisha kila mtoto atakayezaliwa nchini kabla hata ya kupewa jina na wazazi wake atapewa kitambulisho cha taifa cha Nida ili kumuondolea usumbufu pindi atakapokuwa mtu mzima Gombo Samandito Gombo ameyasema hayo leo Septemba 14...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais ADA TADEA: Tutajenga jiji la Kiteknolojia. Litaitwa Bongo Selcom

    Wakuu, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA) George Gabriel Bussugu amesema kuwa endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, atahakikisha Tanzania inamiliki Satellite yake. Akizungumza leo katika...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Simba jana Kuvimba, CCM kuandaa Mamluki Tamasha la Yanga

    GT Jana lilikuwa ni bonge la suprise CCM hawakutegemea kabisa walidhani simba wamesombwa ķwa malori kufika taifa. Sasa ili kufuta makosa kesho camera man ataonyeshwa angle ya kuweka camera yake kwa kikundi ambacho kitakuwa kimeandaliwa kupiga vigelegele. Mpaka sasa CCM wamenunua tickets 5000...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu Gerson Msigwa anapambana Sana, jamaa anajituma mno kwenye mazingira magumu

    Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa! Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai...
  14. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya kujiuliza: 1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya watu watakavyotembea baada ya CCM kushinda

    Huyo Comedian wa Malawi anacontent makini sana za kisiasa. Hii ni response yake kwa Kasesela aliyetaka watu waache kutumia huduma kama hawatampigia kura mgombea wa CCM
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais kupitia NRA aahidi kulibadili jina Jeshi la polisi, kuwa Police service

    Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) Hassan Almas, amesema ndani ya siku thelethini baada ya kupewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atafanya maboresho makubwa kwenye sekta mbalimbali hapa nchini ikiwa ni pamoja na...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi yeleza Sababu ya kukamatwa kwa Isihaka Mchinjita ni kufanya maandamano yaliyozuiliwa, yamwachia kwa dhamana

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi limetoa taarifa kwa umma kufuatia kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita. Pia Soma GE2025 - Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo Isihaka Mchinjita Akamatwa na Polisi Baada ya Uzinduzi wa Kampeni === 07/09/2025 TAARIFA KWA UMMA Tarehe...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasira: Badala ya kulalamika fanyeni kazi muwe kama Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amewataka watu wanaohoji kwanini wanamsifia Mwenyekiti wa chama hicho Samia Suluhu Hassan kuacha kulalamika badala yake nao wafanye mambo mazuri ya maendeleo ili wasifiwe. Amezungumza hayo mjini Musoma Septemba 6, 2025 kwenye...
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
Back
Top Bottom