Mlipuko wa kunguni ufaransa, ni uchafu ama ni pigo la Mungu?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Tañgu zama na zama ufaransa na hasa jiji la Paris ndio limekuwa linasifiwa kwa usafi na ustaarabu! Hata ukitembelea majiji mengine usafi kwa wafaransa ni jadi Yao !

Hao kunguni wametoka wapi ? Nini chanzo chake ? Kwa afrika mtu akiwa na kunguni hata mmoja kwenye shati yake ni tukio la aibu na fedheha kwa sababu hutafsiriwa kama uchafu !

Je hao kunguni Ninini chimbuko lake ama ni pigo la mungu katika nyakati hizi za mwisho ! Katika rejea ya maandiko matakatifu Kuna miji mungu amewahi kuipiga mapigo ya wadudu

Mfano wake ni misri ambapo mungu aliamuru vyura wazagae mji mzima mpaka vyumbani wanakolala watu ,kitanda Cha pharaoh kilijaa vyura Hata aliposalimu amri , !

Na baadae akaongeza pigo lingine la chawa mpaka ikulu ya pharaoh !

Je Ninini kinaikumba ufaransa?
 
Lete ushahidi vinginevyo ni majungu! Chanzo cha habari hii kiko wapi?
 
Sio habari mpya hii, majiji mengi na makubwa duniani yalishapatwa na outbreak sio mara moja! Chicago Marekani ilipatwa na worst aoutbreak miaka mingi na nyuma na hadi leo hawajaweza kuwamaliza. Mwaka huu pia inaongoza

Mungu anasingiziwa tu kwa akili zetu za kuwaza miujiza muda wote!
 
Back
Top Bottom