Wakuu amani iwe kwenu!
Bila kupoteza muda napenda kuzungumzia list ya wagombea 65 wanaodaiwa kutia nia kwa tiketi ya CCM katika jimbo la Rorya. Hii list mara ya kwanza niliipata ikitokea kwa rafiki yangu aliyeko nchi ya China kwasasa ikiwa na majina 50 nilipopitia hayo majina nilipigwa na...