ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hata baada ya kudhalilishwa na OCD, Freeman Mbowe aendelea na Kampeni zake za Ubunge jimbo la Hai

    Mh Freeman Mbowe leo anaendelea na kampeni kwenye kata ya Rundugai , licha ya jana kudhalilishwa na OCD ambaye ni Mkuu wa Polisi Wilaya ya Hai aliyeshindwa kuzuia mapenzi yake kwa Chama chake cha CCM =======
  2. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Natamani katika haya majimbo 11 ya Ubunge uchaguzi uwe Huru na wa Haki ili nipime nguvu ya upinzani Tanzania!

    Ni majimbo yafuatayo: 1. Kawe 2. Mikumi 3. Iringa mjini 4. Mbeya mjini 5. Tunduma 6. Hai 7. Karatu 8. Bunda 9. Tarime mjini 10. Tarime vijijini 11. Arusha mjini Natamani kuona nguvu ya wapinzani katika maeneo haya "kiuhalali" kabisa kwa sababu majisifu yao yamezidi sasa. Maendeleo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke, Kilave Dorothy George aweka hadharani vipaumbele vyake akipewa ridhaa ya Ubunge

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi vipaumbele vyake endapo akipewa ridhaa na Wananchi ifikapo Oktoba 28,2020. ELIMU -Kuimarisha ubora wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani huzingatiwa katika kuchagua Wabunge wa Afrika Mashariki?

    Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa? Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA? Mishahara na marupu rupu yao yapoje?
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

    Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na huduma za usafiri wa majini, anga na nchi kavu. Kutokana na kauli za mgombea huyo wa Urais, wagombea wa...
  7. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rufaa ya Mgombea Ubunge wa CHADEMA jimbo la Mlimba bado haijatolewa na NEC?

    Huyu Mama Susan Kiwanga amefuatilia sana rufaa yake kule NEC. Je, rufaa yake tayari imetolewa uamuzi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi?
  9. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aweza kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani

    Wakuu heshima sana, Sheria Number 5 ya mwaka 1992 viongozi ngazi ya kitaifa wa fursa ya kuwanadi wagombea Ubunge & Udiwani nchi nzima. Kwakuwa Tume ya Uchaguzi imemzuia Lissu kufanya kampeni kwa siku saba, Lissu atatumia nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti Taifa kuwanadi wagombea Ubunge na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Watu wanamhurumia Tundu Lisu kwa sababu alifukuzwa ubunge baada ya kushambuliwa kwa risasi !

    Kinachoendelea kwa sasa kwa mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Tundu Lisu ni huruma ya wananchi kwa vile alifutwa kazi ya ubunge akiwa kwenye matibabu. Ni vema hili likaeleweka huruma ikizidi inamfanya anayehurumiwa aonekane ni mtu maarufu hata kama hana umaarufu. Na wengine wanaweza kumpigia...
  11. Patriot

    JamiiForums Tanzania Lissu namuona majukwaani, wagombea Ubunge wako wapi?

    Kazi nzuri bw. Lissu, bila kujali maamuzi ya wapiga kura na bila kujali ubora wa sera ambao kwa kweli kila chama kuna udhaifu. Lakini, wako wapi unaowategemea kushika nafasi za ubunge? Sioni wagombea wa CHADEMA katika harakati zao za kampeni! Je, hakuna matumaini ya ushindi au ukubwa wa...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  13. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ramadhani Ighondo, mgombea Ubunge Singida Kaskazini: Nitakuwa mkali kweli kwenye mambo ya maendeleo ya Jimbo letu

    Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye. Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli(Mlowa): Ubunge sio 'madigrii' ni kipaji kutoka kwa Mungu; mkichagua Wapinzani nitashindwa kuwatumbua wasipofanya kazi

    Katika kipindi cha miaka 5 tumefanya mengi, hata kuhamishia Makao Makuu Dodoma halikuwa jambo dogo. Miaka 47 haijawezekana ila miaka 5 tumeweza. Makao Makuu yanamaanisha ustawi wa eneo hili unakuja kwa nguvu. Tunajenga Uwanja wa Ndege mkubwa huko Msalato ili ndege za kimataifa zije. Tumeleta...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuna Mgombea wa Ubunge kafanyia Kampeni Kanisani

    Ni Ramadhan Ighondu wa Singida Kaskazini. Alifanya hivyo jana katika kijiji cha Mangida kata ya Msange katika kanisa la FPCT. Je, hii inaruhusiwa na sheria za uchaguzi?
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Same Magharibi kupitia CHADEMA, Gervas Mgonja asimamishwa kufanya kampeni kwa siku 14. NEC mtueleze huu utararibu ulianza lini?

    Jana Boniface Jacob wa Ubungo alisimamishwa kwa siku saba. Leo Gervas Mgonja amesimamishwa kwa siku 14. Wote ni wa CHADEMA. Huu utararibu ulianza lini? Kamati ya Maadili ya Jimbo la Same Magharibi, imekuta na hatia katika fujo zilizotokea kati yake na Diwani wa CCM kwenye jimbo Husika. Mwenyeki...
  17. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

    Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
  19. mmakinitz

    JamiiForums Tanzania Rufaa ya kugombea Ubunge wa Suzan Kiwanga

    Wadau naomba kuuliza kama mgombea Ubunge Jimbo la Mlimba kupitia CHADEMA, mheshimiwa Susan Limbeni Kiwanga kama rufaa yake ya kupinga kuondolewa kugombea Ubunge ilishatolewa uamuzi na tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)?
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Sura mpya za Wagombea ubunge CHADEMA kunaashiria kutokubalika

    Mwaka 2010 na 2015 Chadema ilifanikiwa kupata wagombea ubunge wengi ambao ni ingizo jipya. Mwaka huu sijasikia kamanda mpya anayetajwatajwa kujiunga na Chadema na kugombea ubunge. Kwa upande wa CCM wapo wagombea wengi wenye influence na ni damu mpya itakayoleta chachu ya majadiliano bungeni.
Back
Top Bottom