ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mawaridi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

    Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili. PIA SOMA = > Uchaguzi...
  2. Jelavic

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

    Kwa tetesi nilizopata kwa Jimbo la mbeya ambalo tayari CCM Walikuwa na mtaji wa madiwani 16 waliopita bila kupingwa mpaka usiku huu tayari wameisha shinda katika kata tano ambazo majuimuisho ya matokeo yake yamekamilika, hii maanayake ni kuwa , CCM mpaka sasa wanamadiwani 21 katika ya 36 wa jiji...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 Idadi ya Wagombea Wanawake katika nafasi ya Urais, Ubunge na Udiwani

    UCHAGUZI 2020: WAGOMBEA WANAWAKE KATIKA NAFASI YA URAIS, UDIWANI NA UBUNGE Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Kaijage amesema Wagombea wanawake katika kiti cha Rais ni 2 kati ya 15 sawa na asilimia 13 na kwa Makamu wa Rais wanawake ni 5 kati ya 15 sawa na asilimia 33. Amesema kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anatarajia kushinda uchaguzi wa jimbo

    MGOMBEA Ubunge Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Saed Kubenea amesema anataraijia kushinda uchaguzi wa jimbo hilo kwa wastani wa asilimia 52.8 hadi 58.2. Kubenea ametoa kauli hiyo leo tarehe 26 Oktoba 2020 wakati anazungumza na wanahabarii jijini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa...
  5. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Arumeru: Mawakala wa CHAUMA bado wanasota Ofisi ya Mkurugenzi

    Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge. Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
  6. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Geita, Upendo Peneza anashikiliwa na Polisi

  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM hali mbaya huko Kusini. Mgombea ubunge apiga magoti huko LIWALE akiomba kura

    Jina lake sijalipata vizuri. Lkn bunge lililopita alikuwa mbunge viti maalumu mkoa wa Lindi kupitia Chadema. Mwezi June akafika bei na kuamua kuunga juhudi. Hivi sasa anaomba tena nafasi ya ubunge viti maalumu kupitia CCM. Akiwa anaomba kura mbele ya Kassim Majaliwa ameona watu wako kiduchu na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kondo Bungo alishinda Ubunge Mbagala, lakini hakutangazwa. Kesi yake ilikaa mahakamani miaka 4 kisha hukumu ikasema kesi "ime-expire"

    ..Kondo Bungo anaeleza jinsi alivyodhulumiwa. ..Kuna sababu za msingi wapinzani kutokuwa na imani na tume zetu za uchaguzi.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee apelekwa kupekuliwa nyumbani kwake na Jeshi la Polisi baada ya kwenda kuripoti matukio ya kutishiwa amani

    Jeshi la Polisi limemkamata mgombea ubunge wa jimbo la Kawe Dada Halima Mdee na sasa wanakwenda naye kumpekua nyumbani kwake Mbweni. Halima Mdee alikwenda kuripoti Polisi juu ya Matukio ya kutishiwa Amani lakini cha kushangaza alipofika amewekwa chini ya Ulinzi. ===== Mdee ahojiwa kwa tuhuma...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

    Rais Magufuli amesema kuna watu wanadai anamchukia Mrisho Gambo na kwamba alimfukuza kazi ya mkuu wa mkoa wa Arusha lakini hiyo siyo kweli. Gambo alinifata akaniomba agombee ubunge ili aiokoe Arusha ambayo inaonekana kukwama, amesema Dr Magufuli. Ningekuwa namchukia ningempitisha kugombea...
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kuhusu Uwepo wa Vituo Feki/ Bubu/ Hewa vya Kupigia Kura

    Nimeona Video clip inayomwonyesha Mgombea Ubunge wa CHADEMA Nyamagana (John Pambalu) akishtukia uwepo wa kituo Feki/Bubu/Hewa Jimboni humo. Namba ya utambulisho wa Kituo hicho haikuwepo kwenye orodha ya Vituo halali vya Kupigia Kura Jimboni hapo na wala Tume haikuapisha Mawakala wa Kituo hicho...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Kilwa Kusini, Bwege(ACT-Wazalendo) akiwa kwenye Mkutano wa Kassim Majaliwa akinadi wagombea wa CCM

    Mgombea Ubunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Selemani Bungara ‘Bwege’ akifuatilia kwa makini hotuba ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Kassim Majaliwa wakati alipomuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Rais John Magufuli, wabunge na madiwani wa CCM.
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chief kalumana Mgombea Ubunge wa CHADEMA Bukoba mjini akamatwa, Mabomu yapigwa uapishwaji wa Mawakala

    Chief kalumana inasemekana amakamatwa na polisi akiwa eneo la kuapishwa mawakala na mawakala wa chadema hawajaapishwa hadi sasa. ===== Jeshi la polisi mkoani Kagera limelazimika kutumia nguvu kuwatawanya wafuasi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na mgombea ubunge jimbo...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

    Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote. Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mchague Boniface Jacob ubunge Jimbo la Ubungo

    Kijana anayejali watu
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa faida ya wengi, Tundu Lissu aandike kitabu kuhusu harakati na changamoto anazopitia katika Uchaguzi huu

    Ameweka kubadilisha sura ya siasa katika nchi yetu. Upinzani anauonyesha unelectable hamasa hata kwa wale walikata tamaa ya kupiga kura, hasa kundi la vijana. Haiku’s na maana tena ya kuwa na upinzani kwakua upinzani ulisha minywa mpaka kupoteza nguvu. Lissu amerudisha hamasa katika siasa za...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamtaka Catherine Ruge mgombea ubunge jimbo la Serengeti kuomba radhi yeye asema haombi

    Jana nimeletewa barua hii baada ya Kamati ya maadili kuketi, wamenihukumu bila hata kuniandikia tuhuma zangu wala kuniita kujitetea kwenye Kamati. @TumeUchaguziTZ fundisheni wasimamizi wenu kufata kanuni za Uchaguzi na Maadili ya Uchaguzi.#SitaombaRadhi.
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitila Mkumbo: Vyama vya Upinzani havijajipanga kisera na kiuongozi

    Prof. Kitila Mkumbo ambaye unaweza kumuita kuwa ni engeneer wa Chama kimojawapo cha upinzani hapa nchini (tukirejea sakata la waraka wa mabadiliko ndani ya Chadema) ameeleza kwa kujiamini kuwa bado vyama vya upinzani nchini havijajipanga KISERA NA KIUONGOZI hivyo Rais Magufuli anaenda kushinda...
  19. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa CHADEMA Karagwe, Adolf Mukono, Wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi

    Mgombea Ubunge wa Chadema Karagwe, Adolf Mukono, wagombea udiwani Kata za Chanika na Kituntu wakamatawa na Jeshi la polisi “Tumewakamata baada ya kupata malalamiko kutoka upande wa CCM wakidai kwamba Chadema hawana ratiba ya kufanya kampeni zozote katani Chanika. Tulipomwuliza Msimamizi wa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti wa CHADEMA Catherine Ruge alalamika kudhalilishwa na Polisi

    Kupitia akaunti yake ya Twitter Mgombea Ubunge wa Jimbo la Serengeti kwa tiketi ya CHADEMA, Bi. Catherine Ruge amelalamika kudhalilishwa n polisi ikiwamo kupigwa mabomu, kuchaniwa nguo na kushikwa baadhi ya sehemu za mwili. CATHERINE ATOA UFAFANUZI WA MADAI YA KUNYANYASWA NA POLISI Akitoa...
Back
Top Bottom