Uchaguzi 2020 Ramadhani Ighondo, mgombea Ubunge Singida Kaskazini: Nitakuwa mkali kweli kwenye mambo ya maendeleo ya Jimbo letu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika. Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.

Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.
Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Hivi huo umaskini anaodai atauondoa ulisababishwa au unalelewa na nani?
 
IGHONDO NASIKIA HATA KWAO MRAMA NA ILONGERO HAWAMTAKI SINGIDA WALIMTAKA MUHINDI CCM IKAWAPELEKEA IGHONDO HATOBOI ANAFANYA VIKAO VYA USIKU TU

NA HAPO SINGIDA KASKAZINI NASIKIA ANAVIKUNDI KWENYE KATA MBALI MBALI KAISHAVIUNDA MPUUZI YULE ILI VIWE VINAGONGA WATU NYUNDO

KUNA NDUGU YANGU YUPO HUKO ANANIAMBIA IGHONDO ATABEBWA NA AFISA UCHAGUZI ANOLD MBOGOWE AMBAYE NI KADA WA CCM MPAKA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NDUGU RASHID MANDOA YULE ALOKUA KWENYE LIST YA ZITTO KWENYE KESI YA NEC

SASA NYALANDU JIPANGE KOKOTE UNAKONISIKIA WANAKUOGOPA SANA HAPO SINGIDA KASKAZINI ONDOKA NA KATA ZOTE UKAUNDE NA HALMASHAURI
 
Laana ya Mwenyezi Mungu insmtembelea atakoma na kwa Nyalandu hatoboi na kumng'oa kucha hawezi
 
IGHONDO NASIKIA HATA KWAO MRAMA NA ILONGERO HAWAMTAKI SINGIDA WALIMTAKA MUHINDI CCM IKAWAPELEKEA IGHONDO HATOBOI ANAFANYA VIKAO VYA USIKU TU

NA HAPO SINGIDA KASKAZINI NASIKIA ANAVIKUNDI KWENYE KATA MBALI MBALI KAISHAVIUNDA MPUUZI YULE ILI VIWE VINAGONGA WATU NYUNDO

KUNA NDUGU YANGU YUPO HUKO ANANIAMBIA IGHONDO ATABEBWA NA AFISA UCHAGUZI ANOLD MBOGOWE AMBAYE NI KADA WA CCM MPAKA NA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI NDUGU RASHID MANDOA YULE ALOKUA KWENYE LIST YA ZITTO KWENYE KESI YA NEC

SASA NYALANDU JIPANGE KOKOTE UNAKONISIKIA WANAKUOGOPA SANA HAPO SINGIDA KASKAZINI ONDOKA NA KATA ZOTE UKAUNDE NA HALMASHAURI
Hatoboi ana mikono michafu huyo.
 
Uma
Msikilize huyu jamaa yetu na jirani yangu anavyohangaika.

Ndio anataka kumshinda Lazaro Nyalandu huyu kweli. Mungu ana maajabu yake makubwamno tumwachie aamue yeye.

Kwa imani yangu ni kwamba huyu Munyampaa siasa ndio anajaribu.

View attachment 1583945
Anasema umaskini uliowazonga na ccm imetawala hapo miaka 59.

Anakazia kazia eti wamchague wamwamini......anaona kabisa wananchi hawama imani naye. Naona damu za watu hizizinamlilia.
 
Back
Top Bottom