Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1601426170824.png
 
Kawaida tu lakini
Has kwa Mwanadamu anapohitaji kitu. Sio kwa hao Wabunge tu!

Hata wewe jiulize mara ngapi kuna mambo ya ajabu na ya aibu umefanya ili kutimiza malengo yako??

So ni kawaida tu!!
 
Ukimuona kiumbe amevaa nguo za rangi hiyo mkemee.Ni pepo mchafu.Muangalie huyo mwenye kipara anavyopiga jicho la wizi.Ni vibaka hao.
 
Kawaida tu lakini
Has kwa Mwanadamu anapohitaji kitu. Sio kwa hao Wabunge tu!

Hata wewe jiulize mara ngapi kuna mambo ya ajabu na ya aibu umefanya ili kutimiza malengo yako??

So ni kawaida tu!!
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 
Kwakweli ni kwa miaka mingi sana CCm imekuwa ikiwekeza kwa watanzania wajinga na ujinga kwa jumla
 
Back
Top Bottom