Najiepusha kuzungumzia matokeo ya leo pale Kwa Mkapa. Kwa Yanga hii, Simba haifui dafu. Simba walipotoka sare mbili na Al Ahly nilisema kuwa walikutana vibonde watupu. Wababe wa AFL wanacheza baadaye: Wydad v Mamelodi
Ilipotoka ratiba kuonesha kuwa Yanga amepangiwa mechi nne 'ngumu' mfululizo...