ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. Anti-tozo

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Pitch Benjamin Mkapa

    Jamani jamani pamoja na mahela yote tunasikia yakitangazwa uwanja kufanyiwa maboresho ni sawa na hamna kitu ya ile pitch pakinyesha mvua tu maji yanatuama uwanja matope na kuteleza tunaweka afya za watu lehani kimzaha mzaha tuu.
  2. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza mpira wa siasa hapa Tanzania, matokeo wanayopata hauna uhalisia na ubora wao

    Hapo vip!! GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara. Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi. Ukiangalia mwenendo wa ushindi wa yanga, anapata magoli mengi anapocheza na timu zilizo sajiliwa na GSM Pia ili yanga...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wapange kwa ubora wa 1 hadi 5 waigizaji hawa maarufu wa Hollywood

    Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
  4. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Jeshi la 6 kwa ubora duniani linaweza kujilinda dhidi ya mashambulizi ya anga?

    Kwa mujibu wa msemaji wa jeshi letu, JWTZ inashika namba 6 kati ya majeshi bora duniani. Swali langu, ikitokea tumerushiwamakombora angani tunao mfumo wa kuyazuia na kuyaharibu? Nimeuliza hivi baada ya kuona jeshi la Israel ambalo ni namba 17 kwa ubora duniani linajitahidi sana kwenye upande...
  5. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni mtu ambaye ukimwambia aelezee ubora au faida za Nzi ni nyingi kuliko Nyuki anaweza shawishi watu wengi

    Ni moja katika ya ma profesa wachache wenye kujua kuzungumza na kujua kuchezea lugha ya Kiswahili. Huwa namsifu. Ni profesa ambaye unaweza ukampa kazi awaelezee watu faida za kufuga Nzi ni nyingi kuliko kufuga Nyuki. Na akaelezea kwa mbwembwe sana na wengi wakafurahia sana na kuanza kuangalia...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nilisema, ubora wa hizi timu upimwe baada ya kucheza ugenini

    Nadhani leo nimeeleweka baada ya mechi ya Dodoma v Simba. Walau tutaanza kuchagua maneno na kuchunga ndimi. Tuendelee kujenga timu
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Je Simba itafanikiwa kuwa top 5 katika ubora msimu huu ranking ya CAF?

    Wazee wa vichaka hauwasikii tena wakiongelea habari za kubeba mafyekeo. Kelele zilikuwa kwa ajili ya kujaza watu uwanjani, zoezi ninalosikia halikufanikiwa. Wamekwenda machakani, wamekuta vyura wenzao wamezaliana, zoezi likasitishwa. Tuachane na hayo, turudi kwenye mada kuu. Simba ina nafasi...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania yashinda Tuzo ya Ubora katika Usalama

    Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa Usalama Afrika kwa mwaka 2024. Tuzo hii imetolewa na Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (Airport...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kasi ya ujenzi ya vituo vya kujazia mafuta ya magari inaendana na ubora, usafi na usalama wa mafuta yenyewe?

    Kuna maswali mengi muhimu ya kujiuliza kwenye hii biashara ya vituo vya nafuta mpaka inakimbiliwa na karibia kila mfanyabiashara? Je magari yameongezeka sana nchini? Je kumekuwa na urahisi wa upatikanaji wa bidhaa husika? Je ni njia ya utakatishaji pesa na biashara haramu Je kuna 'syndicate' ya...
  11. tajiri wa fikra

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Unatafuta laptop bora kwa bei nafuu? Usihangaike tena!

    Jipatie Laptop original zenye ubora kwa bei rafiki. Tunapatikana Dar es Salaam Kariakoo. Kwa mawasiliano: 0712793505
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa kuona kahawa ya ubuyu. Je kahawa hii ina ubora kiasi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeona kahawa iliyotengenezwa na ubuyu rafiki yangu aliitumia Ni mara ya kwanza kuona na nimeshangaa Mwenye uzoefu atujuze ubora au madhara yake kiafya kama yapo Nimeweka na kielelezo Dominika njema
  13. T14 Armata

    JamiiForums Tanzania Shule zenye ubora ni gharama lakini muhimu sana

    Bila kupoteza muda leo natoa mawazo yangu yanayotokana na uzoefu niliokutana nao mwenyewe. Kuna mkanganyiko unatokea kwenye suala la elimu na shule hasa za msingi, sekondari na Advanced level. Kuna kundi la wazazi wavivu, sizitaki mbichi hizi na wazembe wa majukumu hasa wakiongozwa na chairman...
  14. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wabovu wa Simba wako ligi ya tatu kwa ubora Africa

    Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23. Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
  15. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu ulichukua hatua gani na nini ulijifunza ulivyoyumba kiuchumi kurudi kwenye ubora wako

    Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea kuangukia kwenye madeni mpaka kuuza gari langu aisee heshima yangu ilishuka mpaka sakafuni kuna...
  16. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tshirt hii ya Yanga inauzwa 85,000/= ina ubora mzuri

    Tshirt hii alivaa GSM siku ya mwananchi. Ikawa gumzo, mtaani wakasema ni bei. Jamaa yangu kaenda kuinunua kauziwa 85,000 na risiti halali ya EFD kapewa. Mambo mazuri yanahitaji pesa!
  17. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Simba nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza

    Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake. Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!? Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.
  18. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Ubora wa kikosi Cha Simba

    Nikiwa nimetulia vyema siku ya Jana nikiangalia mpira nikiwa peke yangu. Nimebaini timu ya Simba imesajili haswa,ni vitu vidogo tu ambavyo vimewafanya wakose ushindi. 1.Presha ya kucheza kwa kutaka kufuta uteja,hii imesababisha timu kukosa ile kujiamini Moja kwa moja. 2.beki ya Simba...
  19. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Je tablet za atoch zina ubora?

    Wakuu salamu za usiku. Naombe munijuze kuhusu tablet za atoch ambazo naona zimeenea sana. Hasa spidi katika matumizi na uimara pia. Asante
  20. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
Back
Top Bottom