ubaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

    Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli ataka Watanzania kukataa ubaguzi

    Ikiwa ni siku saba zimebaki kuelekea uchaguzi mkuu, mgombea wa Urais kupitia CCM Mhe. Dkt. John Magufuli, amewataka Watanzania kujitenga na propaganda za ubaguzi zinazoenezwa na baadhi ya wagombea. Pia amewatahadhalisha Watanzania wakiona mtu anaongea kuhusu chuki, wafahamu kwamba hayupo kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu mweusi aliyekamatwa na kuvutwa nyuma ya farasi ashitaki mamlaka ya jiji la Texas akidai fidia ya dola milioni 1

    Mtu mmoja mwenye asili ya Kiafrika ameishitaki Mamlaka ya jiji la Texas baada ya polisi waliomkamata kumfunga kamba na kumvuta nyuma ya farasi, akitaka kulipwa fidia ya dola milioni moja (sawa na zaidi ya shilingi bilioni 2) akisema kuwa alihisi kunyanyaswa na woga baada ya kukamatwa. Katika...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Nimegundua na kusikitika sana kuona ilani ya ACT-Wazalendo inahimiza ubaguzi kwa misingi ya umri

    Kwenye Taifa lenye zaidi ya 80% ya watu wake wakiwa na umri chini ya miaka 35, ni dhamira yetu, kuwekeza na kutengeza sera, sheria na taratibu zitakazohakikisha kuwa vijana wa taifa hili wanakuwa kipaumbele na chachu ya maendeleo, kwao wao na kwa taifa. Serikali ya ACT-Wazalendo, imekataa kuona...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

    Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

    "Mimi niwaambieni ukweli, nimechoka kuwabembeleza ,mkiniletea madiwani na wabunge wa kutoka upande mwingine(wapinzani), siwaletei maji na huu ndiyo ukweli sipendi kuwaficha, nimechoka kuwabembeleza" Magufuli (1/Oktoba/2020, Tunduma) Hisia za ubaguzi wa kimaendeleo zilianza mara tu Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho. Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
  8. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi: Tangazo la nywele lasababisha maandamano

    Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi. Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ubaguzi wa kiitikadi haukubaliki

    Salaam, Wandugu, binafsi nimesikitishwa sana kwa kauli za kibaguzi zilizotolewa na mgombea mmoja wakati akimnadi Diwani wa chama chake asiyekubaliwa na wananchi. Kwa kauli yake mgombea huyo wa Rais alitisha wananchi kwa kuwaambia wasipompa Diwani huyo ushindi wasimuulize yeye kuhusu maendeleo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali inapopendelea maeneo yaliyokipigia kura chama kinachounda Serikali: Ubaguzi huu ni sawa na ule wa Watusi na Wahutu!

    Ukweli lazima tuuseme ili tuinusuru nchi yetu isiwe kama Rwanda na Burundi ama hata South Africa zilivyokuwa siku za huko nyuma. Tutakuwa tumeirudisha nchi yetu miaka 60 nyuma! Uhasama mkubwa na wa kutisha uliokuwepo kati ya Watusi na Wahutu katika nchi za Rwanda na Burundi ulijikita katika...
  11. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa vikapu wamesusia kushiriki kwenye michuano ya finali wakilalamika dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi kumpiga risasi Jacob Blake Mmarekani Mweusi katika mji wa Kenosha, jimbo la Wisconsin mwishoni mwa...
  12. JamiiForums Tanzania Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

    Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson Mzungu mwingereza. Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu. Leo hadi mwandishi mmoja kaenda. Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo. Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure...
  13. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  14. JamiiForums Tanzania Gwajima hapa ulionesha ubaguzi wa kiimani. Usitegemee hawa unaowasema wakupe kura Kawe

    Sitaongeza chochote video inajisema.
  15. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa makabila katika kuoa

    Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo? Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Je, ubaguzi hufanywa na ‘weupe’ pekee?

    Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda wakati akikabidhi ofisi amesema wakati anafanya kazi kuna mbwa mwitu walikuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Theory ya Darwin imechangia kwa sehemu kubwa ubaguzi wa rangi

    Ubaguzi wa rangi ulikuwepo muda mrefu sana kabla ya Darwin na theory yake au kuja kuipa nguvu maana inasemekana yeye sio mwanzilishi, lakin pindi tu ilivyo kuja huyu bwana na habari zake ubaguzi wa rangi uliongezeka kwa kiwango kikubwa. Katika kitabu chake cha 1871 The Descent of Man Darwin...
  18. JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu

    9 Julai 2020 Haki msingi wa amani, na haki ni kwa wote, kokote, bila ubaguzi - Jenerali Ulimwengu Source : Jenerali Online Dhana ya Msamaria Mwema niliyoitumia kuhitimisha makala yangu ya mwisho ni muhimu sana katika falsafa ya kisasa kwa maana kwamba inaelezea wema unaotendwa na mtu ambaye...
  20. JamiiForums Tanzania Mbona CCM wanaanza kampeni mapema, tena wanapigiwa na wakuu wa mikoa na wilaya? Huu ubaguzi unajenga chuki na chanzo cha kulipiza kisasi

    Huu ubaguzi unaofanywa na tume ya uchaguzi na wahusika wake wanaojiita serikali ya CCM mwisho wake sio mzuri. Kiukweli, hata mnaposikia magaidi hawakuamka na wakawa magaidi bali ni kuminywa na kunyimwa haki katika nchi zao mwisho wa siku ndio bora tukose wote. Hii naona hali inajengeka kwa kasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…