Ubaguzi EPL bado upo mkubwa

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.

Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.

Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.

Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.

Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure hastahili sanamu city?

Ubaguzi mkubwa sana
 
mkuu wazungu nao ni kama watu wengine, kuna wenye wivu, chuki, ubaguzi, wema pia na nk... haya mambo hata hapa kwetu yapo baina yetu wenyewe watu weusi hivo tusiwalaumu wazungu
 
Kiukweli Mane alistahili Tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa klabu,...

Ni wazi kabisa huwezi kulinganisha mchango wa Mane na Henderson kwenye mafanikio ya klabu mwaka uliopita....

Basi waingereza nao wabaguzi tu
 
Sisi Liverpool Sadio mane amekosa tuzo amepewa Jordan Henderson
Mzungu mwingereza.

Sasa huko Man City ndo komesha. Washaamua kumjengea sanamu David Silva...na baadae Aguero akistaafu.

Leo hadi mwandishi mmoja kaenda.

Kumhoji Yahya Toure kuhusu hilo.

Akasema sina cha kusema kweli Yahya Toure hastahili sanamu city?

Ubaguzi mkubwa sana
Hastahili kwakuwa ni muislam, uislam na masanamu ni mbingu na ardhi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom