ubaguzi wa rangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yussufhaji

    JamiiForums Tanzania Waafrika Kusini walikuwa wamechoshwa na sera za ubaguzi wa rangi

    13/11/2021 Yafaa kusema wakati wa kipindi cha ukingoni cha Afrika Kusini na sera za ubaguzi wa rangi dhidi ya wasio weupe (wasio wazungu) watu wengi nchini humo ukijumuisha na baadhi ya hata wazungu wenyewe walikuwa tayari wameshachoka na sera hizo, Hatua kali zilizo chukuliwa dhidi ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

    Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni virusi vya Corona au ni watu wenye ubaguzi wa rangi?

    Maambukizi ya virusi vya Corona yamefichua unafiki kuwa nchi zile zinazopinga vikali ubaguzi wa rangi ndio zenye vitendo vibaya zaidi vya ubaguzi wa rangi. Wakati virusi vya Corona vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza mjini Wuhan, China, wao walitoa kauli ya ubaguzi kama “virusi vya China”...
  5. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Nimeacha damu yangu ughaibuni (Michigan, US) kisa ni ubaguzi wa rangi. Ushauri please

    Mnamo mida ya jioni( saa kumi hivi), ikiwa ni majira ya spring katika mji wa Houghton (Michigan) nilikuwa nimetoka kufaidisha kinywa katika mghahawa wa Rodeo Mexican Kitchen, nilipokea simu ya dharula kutoka kwa kiongozi wetu wa tech club, kwamba tunahitajika mara moja kwa dean of students wa...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Siamini kama duniani kuna ubaguzi wa rangi

    Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao. Wajapan wenyewe walikuwa wana wabagua wachina na kuwaita watu wagonjwa wa Asia. Leo mchina ameonyesha uwezo wake duniani...
  7. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli South Africa kulikuwa na ubaguzi wa rangi?

  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi: Tangazo la nywele lasababisha maandamano

    Waandamanaji nchini Afrika Kusini wamewalazimisha wenye maduka ya dawa na vipodozi kufunga maduka yao, baada ya kurushwa kwa tangazo la nywele ambalo wanadhani kuwa la ubaguzi wa rangi. Tangazo hilo linaonesha picha za nywele za kiafrika zikiwa kavu na hazina muonekano mzuri wakati nywele za...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa vikapu wamesusia kushiriki kwenye michuano ya finali wakilalamika dhidi ya ubaguzi wa rangi

    Wachezaji wa kulipwa wa mchezo wa mpira wa vikapu wanaume na wanawake hapa Marekani wamesusia wiki hii kushiriki kwenye michuano ya finali ambayo imekuwa ikiendelea wakilalamika dhidi ya polisi kumpiga risasi Jacob Blake Mmarekani Mweusi katika mji wa Kenosha, jimbo la Wisconsin mwishoni mwa...
  10. Zacht

    JamiiForums Tanzania Theory ya Darwin imechangia kwa sehemu kubwa ubaguzi wa rangi

    Ubaguzi wa rangi ulikuwepo muda mrefu sana kabla ya Darwin na theory yake au kuja kuipa nguvu maana inasemekana yeye sio mwanzilishi, lakin pindi tu ilivyo kuja huyu bwana na habari zake ubaguzi wa rangi uliongezeka kwa kiwango kikubwa. Katika kitabu chake cha 1871 The Descent of Man Darwin...
  11. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi nchini Marekani na matumizi ya nguvu ya polisi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika

    George Floyd Mauaji ya Mmarekani mwenye asili ya Afrika GeorgeFloyd yamesababisha wimbi kubwa la maandamanondani nan je ya Marekani, watu wa rangi tofautiwakiungaika pamoja kupigania haki zao. Kifo hichopia kimeibua maswali mengi kwa watu wa ngazimbalimbali, kuangalia kwa makini maisha yao...
  13. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Vladimir Putin wa Urusi akosoa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi Marekani. Asema yale sio maandamano, ni fujo

    Rais wa Jamuhuri ya Urusi Bwana Vladimir Putin amekosoa vikali maandamano yanayoendelea nchini Marekani ya kupinga ubaguzi na kusema yale sio maandamano bali ni fujo. Putin anasema zile ni fujo zilizojificha kwenye mgongo wa maandamano ya kudai haki za usawa na ubaguzi wa rangi. Binafsi...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson: Waandamanaji wa Ubaguzi wa Rangi wamekuwa ni wafanya fujo

    Waziri Mkuu wa Uingereza, amesema raia wana haki ya kuandamana lakini wanaoleta fujo wanapaswa kuchukuliwa hatua. Amesema wameacha lengo la msingi la maandamano hayo na kufanya fujo Waandamanaji mjini London wamewafanya polisi kukimbia baada ya kuwashambulia kwa chupa. Polis 8 wamejeruhiwa na...
  15. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump kulihutubia taifa wiki hii. Ajenda kuu | Ubaguzi wa rangi na umoja wa kitaifa

    Habari! Katika kipindi kifupi kijacho, rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kulihutubia taifa la Marekani kulingana na vyanzo kutoka Ikulu ya White House huku ajenda kuu ikiwa ni masuala ya ubaguzi wa rangi pamoja na umoja wa kitaifa. Jambo jingine linalotarajiwa kuzungumziwa zaidi na...
  16. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Madee: Siamini katika ubaguzi wa rangi

    Rais wa Manzese Madee Ali amesema kuwa haamini kwenye ubaguzi wa Rangi unaotajwa kuendelea Duniani na hata George Floyd inawezekana alikuwa mhalifu. Madee amezungumza hayo kupitia kipinfi cha XXL cha *CloudsFm. Nikimnukuu Madee "Siamini kwenye ubaguzi wa rangi, hata yule jamaa aliyekatishwa...
  17. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Suala la ubaguzi wa rangi Marekani lina mzizi mkubwa

    Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
Back
Top Bottom