Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn
Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala,
Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
Inasikitisha sana. Ona kwamba Pole Pole na Tundu Lissu, hadi leo, wanashikiliwa na Polisi kwa sababu ya kutupigania Watanzania na Tanzania kama nchi.
Sasa kweli Watanzania tumeridhika na hali ya hawa watu wawili muhimu kuwekwa ndani na sie tukaona ni sawa tu, hatutaki kufanya lolote kuwapigania...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
Tulijua mmejifunza na maskio yamezibuliwa kumbe bado mna viburi na dharau kwasababu hamkujifunza October 29 suala Lissu ndo mnaenda kuzibuliwa vizuri maskio mmejaa viburi kitu ambacho hawajui October 29 hii nchi yote ilimwangiwa petrol na Lissu ni kama kiberiti Just wait
BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU
Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania,
Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu...
Hivi ndivyo Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alivyokamatwa na Jeshi la Polisi, tarehe 09 Aprili 2025 katika Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma wakati alipokuwa akiendelea na Oparesheni #NoReformsNoElection.
Leo Aprili 9, 2026, Lissu ametimiza siku 365 (mwaka mmoja) tangu akamatwe.
===========...
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma.
Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu
Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano.
Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui
Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe
Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
Kuna mtu makini sina shaka nae anasema waliotaka kumtoa uhai Lissu ni wale team mtandao walitumia chance ya kutokuelewana kwa Magufuli na Lissu wakataka kumtoa uhai Lissu wapate nafasi ya kumchonganisha Magufuli na wananchi maana na Lissu ni kipenzi cha wananchi ilo halina ubishi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi"
Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo.
Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba).
Jibu la Lissu...
Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa?
Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi?
Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
Zimetoka Tshirt zinaonesha picha ya Tundu Lissu na Ujumbe unaohusiana na Kesi yake zinauzwa kila moja TZS. 15,000/= haifahamiki hizo pesa za mauzo zinaenda wapi lakini pia BAVICHA hawana akili ya ku question mambo ambayo ni critical ila wanaweza kuelekeza Matusi ya kila aina kwa Rais wa Jamuhuri...
Inasikitisha sana kumuona amechoka phisically na kwakweli mentally ni kama yupo confused.
Mbaya zaidi, mamluki na wafuasi wake ndio wanaonyesha kuchoka na kukata tamaa zaidi, licha ya kuhamasishwa kwa vitendo na mtuhumiwa wa uhaini mwenyewe eti waonyeshe furaha na ujasiri ambao wote hawana na...
Unaweza nawe kunisaidia kushangaa na kujiuliza maswali ninayojiuliza mimi kila inapofika wakati wa mchezo
Tundu ni moja tuu lakini ufundi mwingi, MB wen we kibao, style kamala zote! Hivi haya yote ni ili upate nini wakati shimo ni lile lile moja?
Mchezo huu wa gofu huwa unanifikirisha na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Fredrick Mbwambo, mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwa tuhuma za wizi wa fedha za michango zilizokuwa zikikusanywa kwa ajili ya Mwenyekiti wa chama hicho aliyeko gerezani kwa tuhuma za uhaini, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.