tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Leo mahakamani kwenye kesi ya mchongo ya TUNDU LISSU..soma hapa

    #UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Agosti 13, 2026 Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -; Part 237 Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza. Wanaingia Mawakili wa Serikali, Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mauaji ya 29/10 ndio maafa makubwa zaidi kutokea ktk historia ya nchi yetu tangu Ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza ktk miaka 42!!

    “......Mbali na mauaji ya Vita vya Maji Maji chini ya utawala wa Kijerumani, mauaji yaliyotokea 29 Oktoba 2025 ndiyo makubwa zaidi katika historia ya nchi yetu. Hakuna awamu yoyote ya utawala kuanzia Waingereza waliodumu miaka 42, hadi marais wa awali kuanzia Mwl J. K. Nyerere, Ally H. Mwinyi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kwa nafsi zetu. Ni nani mwingine CCM zaidi ya Dkt. Nchimbi anayeweza kusema jambo na WaTanzania wakamsikiliza

    Nilisema nimejiweka tayari kuzibua masikio yangu yote kumsikiliza Dr Nchimbi kama analo jipya la kuwaambia waTanzania juu ya ubovu wa chama chake. Hii ni bila kuathiri uamzi wangu niliokwisha hitimisha kwamba "Kupona kwa Tanzania, hakuna budi CCM yenyewe ife", kwanza. Nimemsikia Dr Nchimbi...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa kumchosha na kumpotezea Muda Tundu Lisu utafanya kazi?

    Hamjambo! Naona hasimu wa Lissu wanachokifanya kutumia mbinu ya kumchosha na kumpotezea Muda wake. Mbinu hii kisiasa hasa zile siasa chafu inafanyaga kazi hasa kwa watu wenye misimamo mikali kama aina ya Tundu Lisu. Kuna watu huwezi kuwashinda kwa kifo. Na hawaogopi kufa. Lakini mbele ya muda...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mnyika aomba DPP afute mashtaka ya uhaini dhidi ya Tundu kama alivyomfutia Mbowe

    Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa. Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Taarifa maalumu ya kumpokea M/Kiti wa chama Taifa Mh Tundu A. M. Lissu kwa wana CHADEMA wote, wafuasi na wapenzi toka gereza la Ukonga - DSM

    Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach 1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee wa kutupa Katiba Mpya ni Tundu Antipasi Mughwai Lissu, au kwa maana hiyo CHADEMA ya Lissu na Heche

    Sima cha kuongeza. Ongeza wewe msomaji.
  14. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania From Ukonga Prison: Tundu Lissu atoa taarifa kuwa yupo katika tishio la kuuawa!!

    ================ URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk. For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case. His...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Katibu Mkuu watu ni wachache, maana yake hujafanya mobilization?

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno ya Lissu Akilalamika na kumlalamikia Katibu Mkuu wake John Mnyika kuwa watu waliojitokeza ni wachache sana na kwamba inaonyesha hajafanya Hamasa ya kutosha ili watu waende kwa wingi kusikiliza kesi. Lissu ni lazima afahamu kuwa watu wana kazi zao na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kati ya Samia na Tundu Lissu nani Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu

    Hilo swali hapo juu huwa linanisumbua. Nikiwaangalia wawili tajwa, na;pata taabu kidogo. Kila mmoja anajionyesha kama mwokozi wa taifa letu. Wawili hawa wametawala siasa za nchi yetu hadi kuanza kuvutia mataifa na mashirika ya nje. Lissu ni mfungwa. Samia ni rais. Lissu anajionyesha kama...
  17. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: ni heri Tundu Lissu afungwe maisha jela ili tupate Katika Mpya iliyo bora, hata kuandamana kutakuwa sahihi.

    Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania BBC News Africa: Tundu Lissu: A Fight Too Far?

    Ahsante BBC. Endeleeni kumuangazia mwanga huyu dikteta muuaji Samia. Hii makala imerushwa mapema leo Jumapili, Julai 12, 2026. https://youtu.be/9V11iRcPX1A?is=XxVPX6elzuSWUZI-
  19. K

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo’s touching Tribute to Hon. Tundu Lissu: A Debt of Fellowship and Unbending Fortitude

    "To my learned friend and compatriot, the Hon. Tundu Lissu… .. There was a season, not so distant in memory, when I myself stood in the storm; and in that season you were among those who took up my cause, lending your learning and your labour to my defence when such service carried neither...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kapanya: Samia mwachie huru Tundu Lissu taifa inamuhitaji. Acheni kufungia Mikutano watu waseme wakombolewe

    Mwenyekiti wa CHAUMMA Jimbo la Tarime Mjini, Butiku Masaku Mwita maarufu kwa jina la Kapanya akizunguma leo Julai 5, 2026 katika Mazishi ya aliyekuwa Dereva wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki...
Back
Top Bottom