tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa Tundu Lissu utaleta faida au madhara kwa jamii?

    Tundu Lissu ameamua kufuata ubunifu wa wanasiasa na viongozi kama Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Mahatma Gandhi, Muammar Gaddafi, Julius Malema, Thomas Sankara na wengine. Hao walibuni mitindo ya mavazi na mwonekano, na wafuasi wengi katika jamii zao wakawaiga. Kuna uwezekano mkubwa watu wengi...
  2. passioner255

    JamiiForums Tanzania Apreciation post for Tundu Lissu

    Kila mtu anajua kuwa sio rahis kutoa sadaka maisha yako ili mabadiliko ya watu wengi au nchi ipatikane. Lakini kuna mtu mmoja anayeitwa Tundu lisu amepigwa kwa fimbo na mateke na kila aina ya nyenzo na polisi Nk,ameonewa sana,akapigwa risasi na kunusurika kufa,pia amekamatwa mara nyingi na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE iliyobakia kwa Tundu Lissu KUFIKISHA TAARIFA za maumivu anayopitia ukonga ni NJIA ya kanisa katoliki, je Padri unae msalishaga.

    Moja ya changamoto iliyo ndani ya kanisa katoliki ni kitendo cha sisi waumini kwenda kanisani kusali na baada ya Ibada wale waumini utawanyika na kurudi majumbani mwao. Hali hii ni tofauti sana mathalani kwa WENZETU makanisa ya kilokole wao viongozi wao uwasikiliza waumini wao. Mfano mtu kama...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ewe mkiristu mkatoliki, fikilia mazingira aliyonayo Tundu Lissu mkiristu mkatoliki mwenzetu, je Askofu Rwaich una hata padri wa kumsalisha?

    Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mke wa Tundu Lissu azungumza

    Uonevu kwa mtu ambaye katoa maisha yake kwa kutetea haki za Watanzania! Kama wewe huoni tatizo wewe ndiyo tatizo. Lissu hajawahi kuchukuwa bunduki na siku zote anashinda kwa hoja https://youtu.be/ll2wwbGcOFI?si=TaPnMtGx3vr6r46r
  7. Kakondele

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ekseli shaft ya Nissan civilian

    Nahitaji ekseli shaft ya Nissan civilian model RYW40 ya tundu sita meno 42 mawasiliano 0759399805
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, arejeshwa Gerezani baada ya Kesi ya Mgawanyo wa Mali kufutwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, . Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rachel Dangwa anaomba: Free Polepole ijumuishe kwenye slogan ya Chadema ya Free Tundu Lisu

    Ni ombi lake ingawa Polepole was an accomplice to whatever cruelty done during Magufuli era! Tunafanyaje. Weka maoni yako.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanne wafanyiwa Upandikizaji Figo kwa Njia ya Tundu Dogo katika Hospitali ya Muhimbili

    Madaktari bingwa wa upandikizaji figo wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wamefanikiwa kufanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne kwa kutumia teknolojia ya upasuaji wa njia ya tundu dogo (laparoscopic surgery), hatua inayotajwa kuongeza ubora wa huduma na kuharakisha uponaji kwa wagonjwa...
  11. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    Nimeachia wimbo mpya unaomzungumzia Tundu Lissu kwa style ya kipekee. Nimeuweka kwenye website yangu mpya ya http://sosybrown.vercel.app Ukisign up utaweza kuusikiliza pamoja na kuona project nyingine zinazokuja Karibuni mu-support kazi ya kijana wa Kitanzania 🙏 Ningefurahi kupata maoni yenu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo: Kati ya Tundu Lisu na Sinde Warioba nani, Mungu akitenda muujiza, nani awe Rais?

    SWALI ni hilo hapo juu. Maana chungu kimeishiwa kabisa , sana sana uchaguzi ni hao wawili
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TLS Wanatoa Tamko Juu ya Tume ya Jaji Chande na Tundu Lissu

    https://www.youtube.com/watch?v=ex4HupJgtOg
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lisu atakufa na Msimamo wake. Atakuwa ndiye mtanzania shujaa wa muda wote Akifuatiwa na Magufuli. Hao watu hakuna anayesogea Kwa ukaribu

    Habari za Sabato! 1. Bado tunafuatilia mambo yanavyoendelea. 2. Shujaa na Legendary ni Yule mwenye msimamo wa Haki, mwenye uwezo wa kujitoa maisha yake kwaajili ya msimamo wake na kupigania Haki na Ukweli. 3. Si hivyo tuu. Shujaa na legendary katika level ya kitaifa ni Yule ambaye alionyesha...
  15. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kusikilizwa kwa kesinya Tundu Lisu: hii inaweza kuwa sababu?

    Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc. Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Video: Muonekano wa Tundu Lissu alivyofikishwa Mahakamani leo Aprili 30, 2026

    Leo April 30, 2026, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa tena mahakamani kuendelea na kesi yake. Soma pia Mahakama yakataa Lissu kuunganishwa kwenye kesi ya Chadema iliyofunguliwa na Said Issa Mohamed na wenzake
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
Back
Top Bottom