tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu hata akiachiwa kwa sasa haina maana yoyote. Too late

    Hamjambo wote! 1. Ndugu zangu Watanzania, mnakumbuka miezi ya nyuma kidogo niliandika nyuzi takribani tatu mfululizo nikiisihi serikali kumiachia Tundu Antipas Lisu. 2. Nafikiri wengi wenu mnakumbuka. Niliandika vile kutokana na sababu kuna Jambo na mambo mengi niliyaona katika spiritual...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gereza kuu Ukonga: Msikubali kupita njia isiyo na haki!!

    =============================== Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema; "....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...." "......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  5. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo

    Tundu Lissu utata aliuanza tangu zamani akiwa Shuleni, tujitahidi kumvumilia, ni mtu anayejikuta ameumbwa hivyo Yeye mwenyewe haelewi kwanini yuko hivyo kwasababu ni mambo ya uumbaji Watu wa aina hii tunao katika familia zetu hata katika ndoa zao basi wapenzi wao wanapata tabu sana kila wakati...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mnataka tupendane, turidhiane na wakati waliofanya uhalifu mnawapandisha vyeo

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, aliwahi kuzungumza kuhusu maridhiano akibainisha kuwa wanasiasa wanaotawala wanataka tuwe na upendo na turidhiane. Hata hivyo, aliongeza kuwa wakati huo huo, waliofanya uhalifu waziwazi badala ya kuchukuliwa hatua, wanapandishwa vyeo. Maneno haya...
  7. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliliona hili, hatimae Leo tunaishi katika maneno yake

    Alikua mbele ya muda
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  10. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na imani isiyotetereka!!

    Wakuu, Kila zama zina vita vyake, vingine hupiganwa kwa silaha, vingine kwa maneno, ukweli na ujasiri. Karne zilizopita, askari walibeba rozari vitani, wakiamini ni ngao ya imani na ishara ya tumaini. Kwenye uwanja wa vita, iliwakumbusha kuwa nguvu isiyoonekana ndiyo iliyo kati ya hofu na...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashangaa kuwa kuna kikao kimekaa na kupanga hukumu yake kuwa 12/11. Awataka majaji waeleze limetoka wapi hilo na kwa sheria gani..

    Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao.. Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
  13. nikuweke

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu wamuachie huru, na mambo mengine ya kushughulika na wahuni yaendelee

    Mmefanya hila dhidi yake na kumuweka ndani kwa mambo ya kubumba bumba. Pasipo kujua au kujua kuendelea mshikiloa mnazidisha moto na ghadhabu, ilahali na nyie mda wenu wa kukaa ndani unajongea na ikiwezekana kunyongwa kabisa
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mastaa Lukamba, Rose Ndauka watamani kuachiwa kwa Tundu Lissu

    Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali. Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
  15. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Heche na Wapigania Demokrasia wote

    1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote: 2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi. 3 Namshukuru Mungu...
  16. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama mahakama ni chombo cha kisheria kwelikweli, then there's no way bali kumwachia huru Tundu Lissu J'3 15/09/2025 aendelee na maisha yake!

    https://youtu.be/lXYcasdnW3g?si=j-3229TRJTlB6ORF 1. Mahakama ni chombo cha kisheria, kinachoamua na kutoa haki za watu kwa kutafsiri kwa usahihi hizo sheria ili kumpa kila mtu haki yake kwa kadiri ya ustahili wake kisheria.. 2. Haina shaka kuwa mchakato (process) yote ya mashitaka ya Tundu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ulinzi mkali Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani

    Ulinzi umeimarishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu akiondolewa Mahakamani hapo mchana wa leo Septemba 10.2025. Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu itaendelea tena Mahakamani hapo kesho chini ya jopo la Majaji watatu...
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hotuba ya Tundu Lissu itakayoishi miaka 10,000 ijayo

  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
  20. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wazo Fyatu: Tundu Lissu Asijitete - Ameshakubali hatima yake mikononi mwa watawala!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mashtaka ya tuhuma za Uhaini dhidi ya Tundu Antipas Lissu hadi yalipofikia sasa hivi yanatuelekeza kuwa mashahidi wa viti vya mbele vya mashtaka ya Tundu Lissu dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano. Japo kesi hii imeletwa na watawala katika jitihada za kumnyamazisha...
Back
Top Bottom