Tundu Lissu aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Aandika kitabu kuhusu uwajibikaji wa Mabunge ya Afrika Mashariki

Cover la juu lina picha na maneno haya:

Remaining in the Shadows- Parliament and Accountability in East Africa.

Screenshot_20210618-221638_Twitter.jpg
 
Hivi... Kwenye kichwa cha habari ungeandika Tundu Lissu aandika kitabu ingekuwaje? Umetoa kichwa cha habari kama magazeti ya udaku ya shigongo.
Ni kweli hiyo heading haijakamilika, ila nilipitiwa na nimeshituka nikiwa tayari nime-post na bahati mbaya members hatuna access ya ku-edit kichwa cha habari.

Nawaomba mods warekebishe.
 
Rekebisha kidogo kwenye andiko lako hapo mkuu. Umeandika "ANDIKA" badala ya "AANDIKA".

TAML genius wa taifa huyu.
 
Back
Top Bottom