tundu lissu

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu apeta tena, pingamizi lingine lakubaliwa, Mahakama yaikataa ripoti ya video ya uhaini

    Kutoka kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Alhamisi Oktoba 23.2025, chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: MwanaSheria wa Kiwango cha Juu Kisheria na Kifalsafa

    Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Lissu hawezi kufanya tofauti, kwa vile tatizo ni watanzania wenyewe

    Ukiisikiliza vizuri hiyo video mwanzo mwisho, utagundua kuwa huyu Lissu anayetaka kutuaminisha kuwa ana majibu ya kuikomboa Tanzani naye ni sifuri tu. Safari ya kuikomboa Tanzania ni ndefu na itaanzia pale watanzania wenyewe watapoweza kujikomboa kifikra. Hapo bado hatujafikia na si kwa...
  5. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na imani isiyotetereka!!

    Wakuu, Kila zama zina vita vyake, vingine hupiganwa kwa silaha, vingine kwa maneno, ukweli na ujasiri. Karne zilizopita, askari walibeba rozari vitani, wakiamini ni ngao ya imani na ishara ya tumaini. Kwenye uwanja wa vita, iliwakumbusha kuwa nguvu isiyoonekana ndiyo iliyo kati ya hofu na...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu ameshinda pingamizi lake FLASH Disk na Memory Card zakataliwa na mahakama kuu, shahidi wa 3 wa jamhuri kutoa ushaidi wake

    Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ameshinda mapingamizi yake, ambaye anajitetea mwenyewe kwenye kesi hiyo, ambapo miongoni mwa mapingamizi hayo aliyoyawasilisha mwishoni mwa juma lililopita ni pamoja na lile linalohusu kupinga Mahakama kupokea 'Flash Disk' na 'Memory Card' kama kielelezo kutoka...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kuendelea leo Oktoba 22, 2025, Mahakama kutoa uamuzi mdogo, shahidi wa 3 wa jamhuri kutoa ushaidi wake

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatano Oktoba 22.2025, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam kama ilivyo kawaida chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akiwa kizimbani: Wasalimieni, waambie nakuja

    "Habari za kitaa, wasalimieni waambie nakuja, nafanyaje? nakuja" Maneno ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu Tundu Lissu leo Oktoba 20, 2025 baada ya kupanda kizimbani alipokuwa amefikishwa katika chumba Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar Es Salaam inapoendelea kesi ya uhaini...
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 20; Jamhuri kuleta utetezi baada ya Lissu kupinga vielelezo vya ushahidi

    Kesi inayomkabili Mhe. Lissu itaendelea leo Mahakama Kuu kanda ya DSM, Mawakili wa Serikali wataleta utetezi wao baada ya upande wa Mshtakiwa kupinga Vielelezo vilivyoletwa Mahakamani kama Ushahidi kupokelewa na Mahakama kutokana na kutofuata utaratibu wa mwanzo wa ukabidhi. --- Upande wa...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbowe aliona Watanzania hawabebeki, akavuta hela akatulia?

    Leo nimetafakari juu ya kukosekana kwa Mbowe wala kauli yake kwenye hali ngumu inayopitia Tanzania Nikafikiria hivi kweli hawa watanzania ni watu wa kuwapigania mpaka tone la mwisho? Nikawahesabu watu kadhaa waliorisk maisha yao wakiwatetea watanzania. Nikamkumbuka Tundu Lissu na Mbowe na...
  11. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu anapiga kelele sana huko nje na katika vita jeshini watu wa namna hiyo ni sawa na wasaliti hivyo kazi huwa...
  12. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Lissu alinufaika na falsafa ya 4R za Rais Samia

    Wenje ameendelea kujimaliza, mwenyewe na kujiona mjanja Tumika baba! ==================== Mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ezekiah Wenje, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, jumla ya kesi 417 zilifutwa, ikiwemo kesi sita...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu: Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao?

    Mhe. TunduALissu anauliza; 1. Humphrey Polepole amepatikana au ni yale yale ya Mohamed Ali Kibao? 2. Mama anasemaje juu ya balozi wake Humphrey Polepole au ni kazi na utu? ========================== Baada tu ya kuingia kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kupitia LISSU tumegundua "Wahuni Ndani ya Jeshi la Polisi , wanapandishana Vyeo Kwa kazi zao za kiovu" na si kwa Mujibu wa PGO!

    Yaan haya maajabu , unakua na viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi ambao kupatikana kwao si Kwa Mujibu wa PGO Bali Kwa Mujibu wa kutoa Ahsante Kwa kazi ya Kiovu iliyofanyika. Mkianza na George Hadi huyu Kaaya wa Leo, UTAGUNDUA ni wahuni Ndani ya koti la Polisi ! Hawafai hata kua Migambo!!.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Tundu Lissu: Pingamizi la Jamhuri lagonga mwamba

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam mapema leo, Jumatatu Oktoba 13.2025 imetoa 'uamuzi mdogo' kufuatia pingamizi lililokuwa limewekwa mwishoni mwa juma lililopita na upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  17. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi mkali wa Polisi Mahakama Kuu Dar, Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kusikilizwa leo Oktoba 13, 2025

    Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 13, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Tundu Lissu ikitarajiwa kusikilizwa leo.
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Aitaka serikali ifute kesi ya Lissu inatumia gharama kubwa, Azungumzia suala la utekaji

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche hii leo Oktoba 10, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar Es Salaam amesema kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ifutwe ili gharama zinazotumika kipindi hiki cha kuendesha kesi hii ikasaidie...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu arudishwa rumande, kesi yaahirishwa hadi Oktoba 13, 2025

    Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu imeahirishwa hadi Jumatatu Oktoba 13, 2025. Kesi hiyo ilikuwa ikiunguruma leo Oktoba 10, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam ambapo leo Lissu alikuwa akimhoji shahidi wa pili...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Lissu kuendelea leo Oktoba 10, 2025, Mshitakiwa kumuuliza maswali ya dodoso shahidi wa 2 Inspekta wa polisi John Kaaya

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu tayari amepandishwa kizimbani kwenye chumba namba moja (1) cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Oktoba 10.2025 kwaajili ya kuendelea na kesi ya uhaini inayomkabili Kesi hiyo ambayo inasikilizwa kwa mfululizo Mahakamani...
Back
Top Bottom