Huyu jamaa anaga kupinda yani anapasua hapo hapo!
Inawezekana pia watu wengine wanaogopa kupigwa na hao polisi ambao wamegeuka maadui kwa Watanzania
===================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu wakati akitoka katika kizimbani cha Mahakama Kuu...
Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu .
Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
"Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa" Mwenyekiti Taifa, Tundu Lissu akiwaambia mawakili wake leo baada ya mapumziko mafupi mchana wa leo.
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa mahakamani katika Kesi hiyo ambayo mshtakiwa anajitetea mwenyewe, leo imekuja kwaajili ya Mawakili wa Jamhuri kumuhoji 're-examination' shahidi namba moja (1) wa Jamhuri ACP George Willbert Bagyemu baada ya mshtakiwa kumaliza kumuhoji maswali ya...
Part 74
Mhe. Lissu: Je unafahamu December 2020 mshitakiwa alipata tuzo inayoitwa BushThetcher Award for freedom kwasababau ya kupigania haki za binadamu?
George: Sifahamu
Mhe. Lissu : Je unajua mwaka jana TLS walimtunukia tuzo kwa utumishi wake ndani ya Chama cha Mawakili Tanganyika...
Mkuu TUNDU LISSU anatusaidia kupata Ushahidi zaidi wa baadae kuwashughulikia Hawa Wauaji.
Ni kwamba, Kumbe yale mauaji ya watu wengi yalotokea Kibiti, ni Kwa sababu RCO Mafwele na Msaidizi wake George waliyaongoza wao wenyewe Kwa kisingizio Cha Kupambana na Ugaidi.
Unaniuliza, kama tatizo ni...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa, Tundu Lissu
Waheshimiwa Majaji jana mliotoa order ya watu kuingia mahakamani kama sheria inavyosema na kama mlivyoelekeza. Mimi nilileta majina na mmoja wa watu wanaotakiwa kuingia ni mgeni wangu kutoka nje. Naambiwa amezuiliwa na uhamiaji hapa mlango wa mahakama...
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, akiwa kizimbani leo amesema kwa kujiamini "Nipo Imara, enyi wa imani ndogo acheni uwoga," kauli ikionyesha msimamo wake thabiti na imani ya kutoyumba licha ya changamoto zinazomkabili.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia Soma:
CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
Kama tunavyojua leo tarehe 6/10/2025 kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaanza kusikilizwa mfululizo kwa jamhuri kuanza kuwasilisha ushahidi wa mashikata yao..
Mara baada ya mahakama kuanza, Tundu Lissu ameibua hoja tatu za kisheria ambazo imewalazimu majaji kuahirisha mahakama kwa dakika 30 ili...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, amefikishwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo kesi yake ya uhaini inayomkabili itaanza usikilizwaji kamili wa kesi hiyo.
Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa leo.
Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika Mahakamani kufuatilia Kesi ya uhaini ya...
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia ndani ya mahakama kwenye kesi ya Mh. Tundu Lissu.
Soma
CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi...
Kesi ya uhaini, Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu A. Lissu inatarajiwa kusikilizwa mfululizo kuanzia Jumatatu, saa 4 asubuhi 06.10.2025 hadi 24.10.2025 na kuendelea kuanzia 03.11.2025 hadi 12.11.2025.
Kesi itasikilizwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam...
Mmefanya hila dhidi yake na kumuweka ndani kwa mambo ya kubumba bumba. Pasipo kujua au kujua kuendelea mshikiloa mnazidisha moto na ghadhabu, ilahali na nyie mda wenu wa kukaa ndani unajongea na ikiwezekana kunyongwa kabisa
Mwigizaji Rose Ndauka na Msanii Lukamba wameeleza matamanio yao ya kumuona Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiachiwa na kushiriki shughuli za kisiasa kama ilivyokuwa hapo awali.
Kupitia mtandao wa Instagram Lukamba amechapisha picha ya Lissu akiambatanisha na maneno...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri kutafutwa kwa namna itakayowezesha kufutwa kwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu
Katika machapisho yake ya septemba 30.2025 aliyoweka kwenye mtandao wa...
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza suala la Wakili Mahinyila kukamatwa katika eneo la Mahakama
“Sote tunajua kuwa Tundu Lissu anajitetea mwenyewe mahakamani, lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.