tundu lissu

  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, kuna sababu ya msingi ya kuendelea na kesi ya uhaini ya Tundu Lissu?

    Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inahusu kuzuia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 October 2025. Wote tumeshuhudia uchaguzi feki uliofanyika kwa kuwa na mahudhurio duni, vurugu zilizosababisha mauaji ya mamia ya wananchi kwa bunduki za polisi, kura feki kupigwa, mali za umma na watu binafsi kuharibiwa kwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu uso kwa uso na Sugu. Amwagiza akamtembelee gerezani, Sugu ajitetea

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa ndani ya chumba cha Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam leo Novemba 12, 2025 akiteta jambo na John Heche, Said Kubenea (aliyekuwa Mwanachama wa CHADEMA na Mbunge Mstaafu wa Ubungo kupitia chama hicho). sauti ya Lissu imesikika ikisema...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nov 12: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu yaahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka Mahakama itakapotoa Notisi ya siku ya kusikilizwa

    Leo Novemba 12, 2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu inatarajiwa kuendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam. Kesi hiyo iliahirishwa Jumatatu ya Novemba 10, 2025 baada ya upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Thawabu Issa kuieleza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Lissu kutoletwa Mahakamani kwa sababu za kiusalama; Kesi yapangwa November 12, 2025 , Jamhuri waagizwa kuleta mashahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Tundu Lissu, ambayo ilipangwa kuendelea kusikilizwa tarehe 3 Novemba 2025, haikuweza kuendelea kama ilivyopangwa. Kesi hiyo iliahirishwa hadi 10 Novemba 2025, lakini hata tarehe hii ya leo Lissu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu kuendelea leo Novemba 10 baada ya kukwamishwa na uchaguzi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu iliyoahirishwa kupisha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, inarejea leo Jumatatu, Novemba 10, 2025. Kesi hiyo inayosikilizwa Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam na jopo la majaji watatu...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tundu Lissu: CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe

    Salamu kutoka gerezani Ukonga; Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29. Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua wao wenyewe. Tusikate tamaa ushindi umekaribia. Tukutane Mahakamani Kesho.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnauelewa. Tusipinge kila kitu

    Ushauri wa Lissu wa kizalendo wa kusogeza uchaguzi mbele sasa ndiyo mnaulewa! tusipinge kila kitu Lissu alitoa ushauri Samia aendelee wakati wa mchakato wa katiba ili twende kwenye uchaguzi tukiwa wamoja. Badala ya kuchukuwa huu ushauri mzuri amekuwa akibezwa na kufunguliwa kesi za uaini...
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia angesikiliza rai ya Tundu Lissu kuahirisha uchaguzi ili mageuzi yafanyike angeinusuru nchi na vurugu za sasa hivi

    ..Kichwa cha habari chahusika. ..Raisi alipuuza ushauri wa Tundu Lissu na Chadema katika kila hatua. ..Na kibaya zaidi akamtengenezea fitina, na hila, za kumtesa. ..kosa la Tundu Lissu ni nini? ..Je, ushauri aliotoa Tundu Lissu usingeepusha haya yanayoendelea? ..Sasa mhaini ni Tundu Lissu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM ilipigwa na mshituko mzito January mwaka huu baada ya pandikizi lao muhimu walilokuwa wanalitegemea (Mbowe) kun'golewa CHADEMA

    CCM ilishajifia kitambo tangu mwaka 1995 ilizoea kushinda kwa kutumia vyombo vyao vya Dola na kupandikiza mimamluki mi Double Agents. Kwenye vyama vikubwa vya upinzani nchini pamoja na kusajili vikaragosi vyao 17 CCM inavyoviita ni vyama vya upinzani. Vinavyolindwa na tume ya uchaguzi...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Namuona Tundu Lissu akiwa Rais wa Tanzania

    Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli. Mungu akiamua kitu hakuna wa kumpinga imebaki muda tu. Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili.
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  12. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atunukiwa tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika

    Leo Jijini Nairobi, Kenya, @dua_africa imemtunukia Mwenyekiti Tundu Lissu tuzo ya Demokrasia Afrika ya Nana-Akufo kutokana na mchango wake madhubuti wa kupigania demokrasia Tanzania na Afrika licha ya kukabiliwa na mazingira magumu na hatari. Tuzo hiyo imetolewa na Rais Mstaafu wa Ghana Mh Nana...
  13. Patriot

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu For Nobel Prize 2026 Tumuunge mkono

    Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania haki za watanzania. Labda wengine wanaona kama mpigananji wa CHADEMA, lakini Huyu m-TZ anastahili...
  14. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shabiki wa Simba aliyevaa jezi iliyoandikwa "I Love Lissu" hajulikani alipo

    Wakuu, Shabiki hiyo anayefahamika kwa jina la Abaissa Georgina (KE) alikuwa amevaa jezi yenye maneno "I LOVE LISSU" mgongoni, alipokuwa anaingia uwanjani akiwa ameongozana na ndugu zake kuangalia mechi ya Simba dhidi ya Nsingizini leo Oktoba 26, 2025. Wakati anaingia uwanjani alikamatwa na...
  16. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

    Number 3 is a magical number 🔥 Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka #MO29 is a movement 💪🏽
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Polepole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika hata Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika

    Pole pole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika, Gwajima ameshasahaulika hata na Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika. Ni neema ya Mungu pekee ndio itatuokoa, maana tunaowategemea watutetee (polisi+wanajeshi) ndio kwaaanza wanaunga mkono haya machafuzi ukijenga...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya Lissu kuendelea leo Oktoba 24, shahidi wa nne wa jamhuri asubiriwa kwa hamu

    Shahidi wa Tatu (3) wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya amemaliza kutoa ushahidi wake hapo jana Leo, Ijumaa Oktoba 24.2025, kesi hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje: Ukiona miezi 3 mwanaume yupo gerezani na mke hajamtembelea, ujue sio kiongozi

    Wakuu, Ezekiah Wenje, Kwenye kampeni za Chama Cha Mapinduzi CCM kwenye Viwanja vya CCM Buza, Temeke Mkoani Dar Es Salaam Oktoba 23, 2025 alisema: Leo nataka niwakere, uongozi unaanza kwenye familia, ukiona baba wa familia yupo gerezani zaidi ya miezi mitatu na mke hajawahi kwenda kumuona wala...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi inayoendelea kwa kuwaweka think tank wao pembeni?

    .
Back
Top Bottom