tundu lissu

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hamisi Kigwangalla ashauri kesi ya Tundu Lissu ifutwe

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis Kigwangalla ameshauri kutafutwa kwa namna itakayowezesha kufutwa kwa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu Katika machapisho yake ya septemba 30.2025 aliyoweka kwenye mtandao wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Albert Msando: Tundu Lissu anajitetea mwenyewe, Je, Mahinyila alikamatwa pale kama Wakili au Mwenyekiti wa BAVICHA?

    Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza suala la Wakili Mahinyila kukamatwa katika eneo la Mahakama “Sote tunajua kuwa Tundu Lissu anajitetea mwenyewe mahakamani, lazima...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Huu ni mkutano wa kwanza baada ya Lissu kuachiwa huru

  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Hakuna mpinzani wa kweli anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu, walimuhonga wakashindwa, walitaka kumuua wakashindwa

    Wakuu Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa. Soma pia >> GE2025 -...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi, watakuja kufafanua vifungu vya sheria ya uhaini vinavyotaka kutumika kumtia hatiani Tundu Lissu?

    Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili: Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
  6. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania GE2025 USHAURI: Tundu Lissu akubali kusimamiwa na Wakili kama ambavyo George Bizos alivyomuokoa Nelson Mandela dhidi ya adhabu ya kifo

    George Bizos alikuwa wakili muhimu wa Nelson Mandela na wenzie waliokuwa wanashtakiwa pamoja naye wakati wa Kesi ya Rivonia 1963-74. Anakumbukwa kwa kumshauri Mandela kuongeza neno "ikiwa ni lazima" kwenye hotuba yake ya kesi, nyongeza ya kimkakati ambayo inadaiwa kumsaidia kuepuka hukumu ya...
  7. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anateseka gerezani

    Huyu jamaa ndio msema kweli, tena wazi wazi bila kujali kesho yake. ila nyie Watanzania mnaenda mahakamani na kuchukulia poa Hayo maaandamo bila ya Lissu ni siasa tu na hamtofanikiwa. Bila Lissu chama pinzani hamna. Napenda sana mabadiliko ila kwa hila.
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kitendo cha CCM kumuweka ndani Lissu ili kulegeza uchaguzi kumemuinua zaidi Lissu kuliko wangemuacha na kupambana naye uraiani

    Kipindi cha nyuma Lissu hakuwa na wafuasi wengi kama ilivyo hivi sasa ,ndio maana hata alipogombea urais 2020/2025 dhidi ya Magufuli alibwaga kirahisi tu kulinganisha na Magufuli dhidi ya Lowasa 2015/2020. Na mpaka kufikia mwanzoni mwa mwaka huu bado hakuwa na kundi kubwa kiasi hicho kuanzia...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kati ya Nabii wako Mwamposa na Tundu Lissu, nani anayeyaishi mafundisho ya Yesu?

    Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER. Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo. Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini. Kupitia maneno yake na matendo yake...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu yaahirishwa hadi Oktoba 6, 2025

    Wakili Deogratias Mahinyila aliye upande wa jopo la Mawakili wa Tundu Lissu na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA) akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam amesema mapingamizi yaliyowekwa na Lissu yametupiliwa mbali, kesi ya msingi ikaendelea ndipo...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu ataja mashahidi 15 kwenye kesi yake ya uhaini. Wamo Rais Samia, Mpango, Majaliwa, Jaji Mutunga na Martha Karua

    Shahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma. Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma. Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Upande wa Jamhuri walalamikia taarifa za Upotoshaji kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeiomba Mahakama Kuu kupima maneno na taarifa zinazoripotiwa na vyombo vya habari, wakidai baadhi yake ni za upotoshaji na zinavunja hadhi ya Mahakama. Soma > Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la...
  13. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika Mahakamani Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu akiwa na T-shirt yenye ujumbe wa Biblia kuhusu Haki

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, leo ameonekana katika Ukumbi wa Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam akihudhuria Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu. Kilichovutia macho ya wengi ni mavazi yake, ambapo Mnyika alivaa fulana...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Hati ya Mashtaka

    Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na Tundu Lissu kuhusu uhalali wa hati ya mashtaka pamoja na maelezo ya mashahidi ambayo yanadaiwa kuandikwa kinyume cha sheria. Lissu alidai hati hiyo pamoja na viambatanisho vyake, ikiwemo maelezo ya mashahidi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu akifikishwa Mahakamani kuendelea na Kesi ya Uhaini leo Septemba 18,2025

    Leo, Alhamisi Septemba 18.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu inaendelea tena kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam Leo Jamhuri itaanza kujibu mapingamizi mawili yaliyowekwa na Tundu Lissu, ikiwemo pingamizi linalohusu uhalali wa...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025

    Utetezi wa saba wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 18, 2025 Kilichojiri kwenye utetezi wa siku ya sita kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025 Hadi muda huu watu...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu: Jaji Danstan Ndunguru na wenzako mtaibeba Jamhuri kinyume cha sheria hadi lini? Jiokoeni na mjiepushe la laana ya Mungu

    DCI Ramadhani Kingai na polisi wake, DPP na mawakili wake wa walichokiira "Kesi ya uhaini wa Tundu Lissu" wakiongozwa na wakili wa Jamhuri Nassoro Katuga na Hakimu Franco Kiswaga wa Kisutu Magistrate Resident Court mpaka hapa tulipo, walipaswa kuwa wamekula pingu na kuwa gerezani kwa makosa ya...
  19. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025

    Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025. Kilichojiri kwenye utetezi wa tano kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025 === Majaji wameingia kwenye...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025

    Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025. Hii ni baada ya kutupiliwa mbali kwa pingamizi lake la awali, hukumu ipo hapa: GE2025 - Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa...
Back
Top Bottom