tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA/ Tundu Lissu

    CHADEMA, Fanyeni upesi, mtuletee Tundu Lissu aje Kumjambisha huyu wa maendeleo ya vitu Kuliko watu. Lissu anafaa sana na ana vigevyo vyote. Pombe ikichacha humwagwa, nani wa kuimwaga basi, ni Lissu. Pombe ya bia haiwezi kujiona bora bila kupambanishwa na vileo vingine kama gongo, whiskey...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 1: Wakala wa Tundu Lissu, David Jumbe akabidhiwa fomu ya kugombea Urais kupitia CHADEMA

    Mkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa tamko baada ya Wakala wake kuchukua fomu, akumbusha sifa za wanaostahili kuwa wadhamini, asisitiza kurudi nchini

    Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano. Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa vijijini hawamjui Tundu Lissu, Chadema mtapata kazi ya ziada kumnadi

    Huku vijijini Tundu Lissu ambaye anatarajia kuwa Mgombea Urais wa Chadema hajulikani kabisa. Hapa Usser Rombo kwa mfano Wananchi bado wamekariri kuwa Mgombea urais wa Chadema ni mzee Lowassa. Niwape tu angalizo Chadema kwamba muda si rafiki sana kama vipi apitishwe Mbowe tu kugombea urais kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Tundu Lissu katika utimilifu wa dhana ya "House nigger"

    ZITTO KABWE NA TUNDU LISSU KATIKA UTIMILIFU WA DHANA YA "HOUSE NIGGER". Leo 13:15pm 04/07/2020 Tunaye Jemedari makini,Rais John Magufuli ambae ameifanya Tanzania kuhisi kama mahala tofauti na ilipokuwa muda mfupi uliyopita,Sasa Tanzania ni Taifa kubwa lenye nguvu kiuchumi,Sasa Tanzania ni...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea nchini kabla ya tarehe 27 mwezi huu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa. Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa aina ya utoaji hoja wa Magufuli, atapata shida sana kwenye kampeni akipambana na mtu dizaini ya Tundu Lissu au Bernard Membe

    Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno. Usahihi na umakini ni silaha muhimu sana unapoongea kwenye umati wa watu ambao wanatofautiana utamaduni, imani, na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea

    Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais Sababu ni hizi; Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake wa kujenga hoja umeporomoka kwa kiasi kikubwa. I mean, Tundu lissu wa sasa ni tofauti kabisa na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu akipitishwa kugombea na chama chake, asitume hii kauli mbiu kwani tayari kuna mtu ameshaiharibu na imeshakosa mvuto kwa watanzania wengi

    Japo hili bango huwezi sema ni la kampeni,lakini ni wazi iwapo Lissu atapitishwa,bango kama hili linaweza kutumika na huenda kwa sasa wana-test tu mitambo. Ushauri wangu:kauli mbiu hii kwa sasa sio tu imeshachuja,bali inaonekana ni sawa na kuwadanganya watu wazima maana kuna mtu hakuitendea...
  12. JamiiForums Tanzania Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais. ............... APR 17 EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
  13. JamiiForums Tanzania Ujumbe kutoka Tundu Lissu kwa wote wenye mapenzi mema

    na #TUNDU_LISSU Kuhusu sarakasi za Mahakama ya Kisutu, nina haya ya kusema; Acheni hofu. Kama nitakamatwa na kuwekwa mahabusu, hilo litakuwa ni jambo jema kuliko jambo lingine lolote Magufuli na watu wake watayatendea mapambano ya kudai demokrasia katika nchi yetu. Wakifanya hivyo basi...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu karibu CCM

    Awali ya yote namshukuru Mungu Mwenyezi Mwenye Nguvu zote aliyotenda Muujiza ambao kila mtanzania mwenye macho aliona. Uhai wako ulikuwa kitu Cha thamani sana kwa sababu maalumu. Kwaniaba ya Chama Changu Cha Kidemokrasia, Chama Cha Mapinduzi niseme maneno machache karibu CCM. Karibu uitumie...
  15. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Sijawahi kumjulia hali Tundu Lissu kwani ananiona kama shetani | Mbowe asikimbilie Urais kuficha aibu ya kushindwa Ubunge

    Natazama 360 Clouds naona Hassan Ngoma anambana Spika maswali mpaka anajichanganya kuhusu suala la Mbowe. Kuhusu sheria ya habari analalamika lalamika tu kuwa wapinzani wanapendelewa na mitandao ya kijamii na waandishi wa habari. ===== Katika Mahojiano ya Spika Job Ndungai na Clouds Media...
  16. JamiiForums Tanzania Wadhamini wa Lissu waiomba Mahakama kutoa hati ya kumkamata Tundu Lissu

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa siku saba kwa upande wa Jamhuri kuwasilisha majibu ya kiapo kinzani na maombi ya wadhamini Ibrahim Ahmed na Robart Katula wa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Julai 14, mwaka huu. Wadhamini hao amefungua maombi...
  17. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu vumilia, ''bado hujakomaa'', endelea kukitumikia chama achana na madaraka

    Ndugu zangu, Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini kinafuata. Zengwe lile lile lililowapata Zitto na Dr.Slaa ndilo linamwandama Tundu Lissu ambaye kwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Jicho la Tatu: Mgombea Urais CHADEMA ni Freeman Mbowe! Tundu Lissu Pacemaker! Nyalandu ni Serious Contender, Msigwa anatania, Dkt. Mayrose Majinge...

    Wanabodi, Leo natoa somo linaliutwa Logical Progression kwenye kufanya analysis kwa Kuangalia kitu kwa Jicho la Tatu, ni kuliangalia jambo kwa critical angle kwa kutumia predictions based on logical thinking kwa kutumia critical thinking na kufanya logical progression kwa kupima the motive...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kabla ya kupitishwa kuwa mgombea tujiulize haya kuhusu Tundu Lissu

    Kutokana na misimamo yake na itikadi kali za kisiasa kama ikitokea Tundu lissu akapitishwa na chama chake(CHADEMA)kuwania Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2020 kwa bahati mbaya akashindwa; Je, atakuwa tayari kukubaliana na matokeo hayo ya uchaguzi? Je, misimamo yake na itikadi zake...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu bado unayo nafasi ya kurekebisha hotuba yako! Usiongelee Macro issues kupita kiasi!

    Kweli kabisa ile hotuba yako ya mwanzo kuna sehemu hukufanya vizuri kabisa. Bado una muda katika siku zijazo hebu jaribu kufikiria kuongeza baadhi ya mambo ambayo hukuyagusa vizuri kwenye hotuba yako. Hukugusa baadhi ya mambo nyeti sana yanayoendelea nchini. Hukuongela kuhusu hatima ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…