tundu lissu

  1. Mdaiwa-Sugu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni jasiri sijapata kuona

    Japokuwa sikubaliani na Tundu kwa vitu vingi lakini kitendo cha kushambuliwa kwake kilinisononesha sana Shambulio lake halikuwa la kibinadamu- ulikuwa ni unyama tena unyama uliopitiliza. Ingawa_pamoja na madhira yote hayo. Tundu ameendelea kuwa jasiri-haonyeshi hali ya kukata tamaa, majonzi...
  2. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu afanya misa ya shukrani Ikungi, Singida. Aahidi kutompitisha mtu kwenye maumivu aliyopitia

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeo (Chadema), Tundu Antiphas Lissu, leo Jumatatu, Agosti 10, 2020 amefanya Misa ya Shukrani kwenye kanisa la Mtakatifu Rita wa Kashia lililopo Ikungi, jimboni kwake Singida Mashariki. Kwenye Misa hiyo iliyoongozwa na Paroko Laurent Bahale...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Tundu Antipass Lissu amesema kisasi chake kitalipwa na Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi wa Kijiji chake Ikungi Singida Mashariki hapo Jana Tundu Lissu aliwaambia ndugu zake na watu wa Damu yake kulipa kisasi kwa...
  4. Tindikali

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu, aliyepigwa risasi akipinga ukabila na u-Mobutu, na yeye aiga kuongea vilugha majukwaani

    Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa. wote mnakaribishwa === Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
  6. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Uchaguzi mkuu - 2020 mitandaoni ni mtifuano wa kufa mtu kati ya TEAM Tundu Lissu (CHADEMA) vs TEAM John Magufuli (CCM)

    This is very interesting, kwa kweli... Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa (NEC), kampeni rasmi za kila mgombea za nchi kavu, angani au majini za kutembea kijiji kwa kijiji, kata kwa kata, jimbo kwa jimbo Tanzania nzima zitaanza trh 26/8/2020.... Lakini kampeni zisizo rasmi za MTU kwa MTU...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata mapokezi ya Kifalme Kijijini kwao Singida

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo. Akiwa na msafara mkubwa wa magari, pikipiki, bajaji, baiskeli na Punda kiongozi huyo kipenzi Cha Watanzania ameingia rasmi kwenye Jimbo...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

    Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake. Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano. Hongera sana. Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atoa salamu kwa wakulima

    Dodoma, Tanzania MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii. Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nawashauri CHADEMA wamtulize kwa sasa Tundu Lissu aache kufanya mashambulizi makali kwa Rais Magufuli

    Tundu Lissu amefanya mashambulizi makali kwa Magufuli leo mara baada ya kuchukua fomu, amemsema Magufuli kwa namna amabavyo hajawahi kusemwa kwa miaka mingi huku wananchi wakishangilia kwa mwendo huu Tume ya Uchaguzi na System nzima Tanzania huenda wakamuengua asigombee maana itakuwa hatari kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sina shaka CCM watafanya kampeni za matusi na kashfa kama 2015. Je, Tundu Lissu ajibu mapigo? Je, vyombo vitakaa pembeni au vitapendelea CCM?

    Uwezekano wa ccm na Jpm kufanya kampeni za MATUSI na KASHFA ni 99%. Kwanza, wameshaonja mafanikio ya kampeni za namna hiyo kwa kumshambulia na kumkashifu Lowassa mwanzo mwisho mwaka 2015. Bahati nzuri ni kwamba Lowassa hakuwa ktk hali ya kuweza kujibu matusi hayo, au hata kufanya kampeni za...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na kuruka vihunzi

    Maisha ya Tundu Lissu yamejaa majaribu makubwa na vizingiti vingi anavyowekewa na wasiomtakia mema ikiwepo system. Mfano, Walidhani watamshinda kwa hoja bungeni ikashindikana. Walidhani watamshinda mahakamani kwa makesi ikashindikana. Wakaona wamuuwe Mungu akakataa ikashindikana. Wakasema...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Kuna taarifa kuwa katika tukio la shambulizi dhidi ya mwanasiasa makini na mkosoaji sana wa Serikali, Ndugu Tundu Lissu risasi nyingi zilimpata miguuni. Sasa katika picha zinazozunguka mitandaoni nimezipitia kwa ukaribu sioni makovu/kovu lolote la risasi. Hii imekaaje?
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu Mbona Watanzania wanakuelewa ila punguza ukali kidogo we jenga tu hoja

    Najua pengine ukali wa speech zako kwa namna Fulani unachangiwa na madhila uliyopitia ambayo Mungu wa Rehema alikuepusha. Labda tu kukushauri unapoanza safari ndefu ya kampeni katika kuwaomba watanzania wakuchague jaribu kuwa moderate unapokuwa unatoa speech zako na pia jikite Zaidi katika...
  16. Matojo Cosatta

    JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma na sifa za Tundu Lissu kugombea Urais wa Jamhuri

    UVUNJAJI WA SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NA SIFA ZA TUNDU LISSU KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. SEHEMU 1: UTANGULIZI. Jana tarehe 4 Augosti, 2020 nilisoma waraka ulioandikwa na Kaka yangu Daddy Igogo ambapo kupitia waraka huo alijenga hoja kuwa Mhe. Tundu Lissu hana...
  17. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nimeshawishiwa, nimeshawishika na kukubali kuwa Tundu Lissu ni mgombea sahihi wa Upinzani mwaka huu

    Si siri humu Jamvini kuwa mimi ni kada mwandamizi wa CCM. Nimekuwa ndani ya CCM kwa zaidi ya miaka arobaini. Nimeshuhudia chaguzi nyingi za nchi hii kuanzia zile za chama kimoja na hata za vyama vingi. Nimejionea wagombea na nimesikia sera zao kwa miongo kadhaa. Kuna chaguzi zilikuwa na wagombea...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  19. Kennedy

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kumekucha salama, Leo tarehe 06.08.2020 mgombea nafasi ya kazi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwa Chama cha Mapinduzi, atachukua fomu kwenye ofisi ya NEC makao makuu ya Dodoma. Baada ya kuchukua fomu ataongea na wananchi pia wanachama wa CCM kwenye ukumbi wa White House...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ipo mifano hai kuwa Lissu atashinda Urais 2020, CCM tusijipe matumaini nawaambieni

    Wasalaam wajumbe wa jukwaa hili! Naomba kudeclear kabisa kua mimi ni Mwanaccm toka 1997, nachozingumzwa hapa naomba nisipelekwe ufipani. Ninachoshangaa na wanaccm wenzangu kujawa hopes kua tunaweza kushinda uchaguzi huu kwa urahisi hivyo, naomba ni waambieni kwa ushahidi huu kua Lissu ni...
Back
Top Bottom