tundu lissu

  1. Kwa mapenzi ya wananchi kwa Tundu Lissu, wamechapisha T-shirt hii

  2. M

    GE2020 Kauli mbiu ya Uhuru na Kazi yampaisha Tundu Lissu

    Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za kuteuliwa kutoka tume ya uchaguzi NEC Lissu amekuwa gumzo kila kona huku akijadiliwa zaidi kupitia...
  3. Umati wajitokeza nje ya jiji la Mbeya kumlaki Tundu Lissu akiwa bado Iringa, ataingia Mbeya usiku ila wamekusanyika ili wamlaki

    Aisee huu mwaka mambo yamebadilika kabisa. Hapa ni Mlima Nyoka watu wamekusanyika kupokea ujio wa Lissu ambaye anakadiriwa kuwa umbali wa kilomita zaidi ya 150 kufika hapo walipo. Ikumbukwe kutokana na msafara wake jana kusimamishwa mara kwa mara alishindwa kuhutubia mwembe togwa Iringa na...
  4. Namfananisha gentamycine na Tundu Lissu

    Namfananisha ndugu yangu GENTAMYCINE Na Tundu Antipas Mughway Lissu. Hii ni kwasababu sifa zote za GENTAMYCINE alizonazo au anazojinasibisha nazo ni za Tundu Lissu. Mfano Charismatic fella Pure talented Entertainer Game changer Hizi sifa zote ni za Lissu. Hivyo sikosei kusema GENTAMYCINE ni...
  5. GE2020 Tundu Lissu akiwa Iringa: Upinzani ni Watu, ukitaka kuua Upinzani ua kwanza Watu

    Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES!! Iringa muda huu kinawaka. Iringa bado hatujamalizana, imeitwa na imeitika kweli kweli. Lissu CHUMA...
  6. Mbeya: Magari yote ya Matangazo yatakiwa kusajiliwa upya kwanza kabla ya kutangaza chochote

    Kama mnavyotambua ujio wa Mh Lissu Mbeya ni alhamis hii kwa Jiji la Mbeya, Mamlaka imeziamuru gari zote za matangazo kufanya usajili upya kwanza kabla ya kutangaza matangazo na gari yeyote itakayobainika kufanya matangazo bila kuruhusiwa hatua kali zitachukuliwa ikiwemo kufutiwa kibali kabisa...
  7. S

    GE2020 Tundu Lissu kwenye mikutano yako ongelea suala la kurudisha Bunge Live, kurekebisha Makato ya Bodi ya Mikopo na suala zima la Mafao ya Wastaafu

    Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro. Awamu hii ya tano...
  8. GE2020 Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

    1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili msitu wa Mahambe kua hifadhi ya wanyama. 3. Ni muelewa mzuri wa masuala ya kimataifa, atasaidia...
  9. Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  10. GE2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

    Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli. Upendo wa kweli kutoka moyoni, hawakuchoka kumsubiri
  11. Mapokezi ya Tundu Lissu, mjini Morogoro leo

    Mikumi kata ya Ruaha
  12. R

    GE2020 Kama juma moja tu la Tundu Lissu kusimama jukwaani akitafuta wadhamini limewafanya CCM watafutane kwa kurunzi, siku 60 za kampeni itakuwaje?

    Kuanzia Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli, mwenezi Polepole na makada wengine ni kama vile wamepigwa ganzi! Maendeleo waliyohubiri kuyafanya kwa miaka mitano yameyeyuka mithili ya theluji kwenye joto la jua! Stigler's, flyover, ndege na SGR zimewekwa kwenye mizani ya uhalisia wa maendeleo ya...
  13. GE2020 CHADEMA mmekosea sana kumpitisha Tundu Lissu kuwa Mgombea Urais

    Ni makosa ambayo wanayafanya Kwa mara ya Pili ndani ya vipindi muhimu vya Uchaguzi, Uchaguzi wa mwaka 2015 walikosea na hii tena wamekosea. Moja ya advantage kubwa ya Chama cha Mapinduzi wakiacha pressure na mihemuko Kwa kipindi hiki ni kama hawana Mpinzani katika nafasi ya Uraisi, Tundu Lissu...
  14. Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

    Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu. Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari...
  15. GE2020 Tundu Lissu anajitutumua kuitumia Corona kisiasa lakini wapi!

    Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi alivyoamua kukabiliana nayo. Kamkosoa Magufuli kwa kuwaambia watu wasivae barakoa, ‘kwanza zinafanana na...
  16. Waliovamia Msafara Wa Mgombea Urais Wa Chadema Tundu Lissu Wilaya Ya Hai Hawa Hapa

    Wadau wavamizi wa msafara wa Tundu Lissu wilayani hai siku za hivi karibuni wametambulika Ni hawa Hapa , walivamia mpaka magari.
  17. GE2020 Same Magharibi: Tundu Lissu apata wadhamini 6893

    Mbowe akiwasili Same magharibi mapema leo. Tundu Lissu akiwa jimboni Same magharibi amepata wadhamini 6893. Safari inaendelea. Ninachukua helicopter chap kuwahi uwanja wa UHURU kuleta updates maana maccm ya humu ni kama yamesusa kutuonyesha zile nyimbo za Samia mama lao!
  18. M

    Tundu Lissu na fimbo yake kama Musa kwa Farao

    Katika siasa huwa kuna symbolism au utambulisho wa kisiasa na kimamlaka. Ukisoma maandiko utakutana na nabii mkubwa kabisa wa wana wa Israel Musa akiwa na fimbo yake ambayo kama tunavyofahamu ilitumika kupitishia miujiza mikubwa kabisa ya Mwenyezi Mungu. Hapa kwetu Tundu Lissu na yeye...
  19. Tundu Lissu akitoa heshima kwenye kaburi la marehemu mzee Ndesamburo

    Baada ya sekeseke la jana hatimaye leo mapambano yanaendelea. Lissu amepita hapa kumpa salamu mzee wetu marehemu Ndesburo, mahali ambapo amelazwa makazi yake ya kudumu.
  20. GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…