tundu lissu

  1. Francis12

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kukamatwa Mbowe ni juhudi ya watu kwenye vyombo vya dola

    Siku Moja kabla ya kumkamata Freeman Mbowe nilipigiwa simu na Ikulu Ila nilikuwa safarini, kesho yake Usiku ndiyo wakamkatama Mbowe Tumefanya juhudi kubwa sana kujaribu na Mama Samia lakini amekuwa anakwepa kwepa mazungumzo kwa muda mrefu. Kuna watu ndani ya Serikali ambao awataki kuwe na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tunashukuru Mashekhe wa Uamsho kuachiwa huru. Je, Mashekhe 70+ waliotajwa na Tundu Lissu kuwa wanaozea magerezani wametoka? Kama bado watatoka lini?

    Nampongeza Tundu Lissu kwa kuwatetea Mashekhe wa Uamsho, Answar Sunna, waliotupwa katika mahabusu mbalimbali. Wanasiasa wengi walikwepa kuwazungumzia Mashekhe hao kwa kuogopa mkono wa dola, au kutengwa na jamii yenye mtizamo hasi dhidi ya viongozi hao wa kidini. Nimesikia kwamba Mashekhe wa...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, wewe unakula posho Ulaya unataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya

    Mpumbavu ni nani? Ni Mtanzania anayeshangilia Tundu Lissu aliyepo nje ya nchi anakula posho wazungu Ulaya halafu huyo anataka Tanzania wasipewe misaada kutoka Ulaya. Anaomba Jumuiya ya Kimataifa na nchi wafadhili waiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi na kuzuia misaada. Lissu angekuwa wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumshikilia Mbowe ni ili kuwatisha Lema na Lissu wasirudi Tanzania

    Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania. Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wote waliowahi kubambikizwa mashitaka waliishia kuwa Wakuu wa Serikali

    Hivi ndivyo kaandika kupitia Twitter:
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CHADEMA haijahodhi mchakato wa Katiba bali inaongoza mapambano, anayetaka ajiunge nayo

    Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema, “Kama makundi mengine ya vyama vya kiraia, vyama vya siasa, NGOs, viongozi wa dini wanasita au wanaogopa dola kujitokeza...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

    Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali. Wote Mnakaribishwa.
  8. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

    Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli. 1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe. 2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania IGP kwenye suala la Lissu chutama, umatusononesha sana Watanzania kwa kumshambulia mhanga kwa maneno badala ya kutafuta wahalifu

    Ndugu IGP Sirro Nimesikiliza mahojiano yako uliyofanya na mwanahabari mmoja hapa nchini ,katika mahojiano yako umeonyesha bila chembe ya shaka kuwa hauna interest ya kufuatilia, kuchunguza na hatimaye kuwafikisha katika mkono wa sheria wahalifu waliotenda tendo baya na la kinyama kabisa la...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

    Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata. Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
  11. Kijogoodi

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Kipindi cha kampeni nilimtafuta Tundu Lissu aje kuhojiwa lakini hakuja

    Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema kwenye kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 alimpigia simu Lissu ili aje kituo cha polisi amhoji na atoe maelezo ya nini kilitokea hasa aliposhambuliwa kwa risasi jijini Dodoma lakini hakwenda kituo cha polisi hadi leo. Sirro amesema...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

    Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya 1. Haki 2. Ukweli na usuluhishi 3. Mabadiliko ya katiba 4. Harakati za kisiasa 5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania 6. Maendeleo endelevu. Tundu...
  13. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Awamu iliyopita ilituondoa kwenye Staha na Utu wa Kiafrika, sasa ni zama za kufuata Katiba na Sheria

    Wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana, haya yalipatwa kunenwa na aliyekuwa makamu wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Je, hapo alinena kama mama, kama makamu wa rais na mjumbe wa kamati ya usaama ya taifa au kama mwanasiasa? Kwa kauli hii mama alikuwa na staha kweli hasa kwa raia wa...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Tundu Lissu akitoa 'central theme' ya kitabu chake na sababu za kufanyia uzinduzi wake Kenya badala ya Tanzania

    Harakati za kisiasa za Tundu A. M. Lissu sasa ziko kwenye maandishi. Kitabu chake "REMAINING IN THE SHADOWS: PARLIAMENTS AND ACCOUNTABILITY IN EAST AFRICA" kinachambua historia (history), mapungufu (weaknesses) na mazuri (strengths) ya mabunge ya nchi zote mama za Afrika Mashariki i.e Kenya...
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kama msimamo wa Rais Samia ndio huu, tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni

    "Kama msimamo wa Samia Suluhu Hassan ndio huu aliousema juzi, maana yake ni kwamba tujiandae kwa mapambano makali na magumu mbeleni. Huyu mama ni Magufuli wa kike, kwa hii kauli yake kuhusiana na haki za vyama vya siasa na katiba mpya ni anataka kuendeleza Umagufuli bila Magufuli mwenyewe...
  16. Memento

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mageuzi wote inahitajika nguvu na akili kidogo tu tuweze kushinda, tumuunge mkono Lissu

    Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi. Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya kuzuia wananchi wanachodai na tayari kishaanza kuchoka. Tusipotumia nguvu na akili kidogo kwa huyu...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Nitarudi nyumbani ikiwa Rais Samia ataahidi kuwa nitakuwa salama nikirudi nyumbani

    Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema mapambano ya Katiba Mpya anaweza kuyafanya nchini ikiwa Rais Samia atamuita na umhakikishia usalama...
  18. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Lissu: Samia Suluhu Hassan has finally revealed her true colors

    "Samia Suluhu Hassan has finally revealed her true colors. It's Magufulism without Magufuli & it's unacceptable. We can't, & we won't, accept the continuation of the illegal ban on lawful political activity imposed by the departed dictator. She'd be denounced & openly opposed!"- Tundu Lissu
  19. JF Member

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Atakayefanya usaliti hata kama ni mkubwa, tutamshughulikia

    Moja kati ya maelezo ya Lissu wakati akihojiwa na kituo cha Habari huko nchini Kenya alieleza kwamba atakae fanya usaliti hata uwe mkubwa aina gani tutakushughulikia. Maelezezo haya yalitokana na kile kinachoonekana kwamba wale wabunge 19 wamesaliti Chadema na wameshawashughulikia. Haraka...
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndiye mtu Jasiri zaidi Tanzania tangu tupate Uhuru

    Nchi yetu pendwa, kipenzi cha nchi nyingi duniani, kilimbilio la watu wote waliokua wakikandamizwa kwenye nchi zao hakuwahi kutawaliwa na Rais wa ajabu kama Magufuli. Rais ambaye hakuwapenda raia wake, hakusikiliza tulio hai, akitoa matamko ya kudhalilisha na kukejeli. Rais ambae hakuheshimu...
Back
Top Bottom